Kitu kimoja nina hakika ni kwamba wahuni hawatashinda lakini kitu kimoja nina imani kubwa sana ni kwamba ni Chama Cha Mapinduzi (CCM) pekee ndio kina uwezo wa kitaasisi na kidhamira wa kukabiliana...
WATU wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu mashitaka ya kuendesha Chanel ya Utube bila kuwa na leseni.
Washitakiwa hao Adamu Thabit( 28) kutoka kampuni ya MMJ Steel...
Chadema wanasema Freeman Mbowe abaki gerezani hadi pale haki ya kisheria itakapoonekana imetendeka. Wanaamini hii itakiimarisha chama na Mbowe mwenyewe kisiasa wakiwa wameanza kumfananisha na RIP...
Hapa nasemea hivi kwa sababu ya wagombea wawili na historia za maisha ya jamii husika na wagombea wenyewe.
Mchuano ni kati ya LAZARO NYALANDU mbunge mkongwe aliyeongoza jimbo hilo muda mrefu dhidi...
Namsihi Waziri wa kilimo Prof Mkenda ajikumbushe hali ilivyokuwa mwaka 1980 baada ya vita ya Kagera. Wakati ule tulikula ugali wa njano kwa sababu nchi nyingine hazikuwa na matatizo ya uchumi...
Wanabodi
tuko Live
Karibuni
Paskali
Rejea za Mandiko ya The Same Author Kuhusu Janga la Corona
Mtu kama huyu ni binadamu au shetani? Anaombeaje Corona ifike Tanzania. Kuiombea nchi yako...
Kwa muda mrefu hawa wapiga debe wamekuwa sio tu kero bali pia wanaongeza kupanda kwa nauli za mabasi.
Yaani hata wenye vyombo vya usafiri twawaogopa. Hata ukiwa na gari yako binafsi huwezi...
BASHE: SERIKALI KUUNGA MKONO SEKTA BINAFSI KATIKA UZALISHAJI WA MBOLEA NCHINI
Dodoma,
Naibu Waziri wa Kilimo *Mhe. Hussein Bashe mapema leo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda...
Muda wa kuwaambia CCM & co kwamba imetosha ni sasa na si wakati mwingine wowote tena.
CCM hii iliyochokwa hadi na Viongozi wa taasisi za Ulinzi kuiondoa madarakani ni sasa tena kwa fedheha kuu...
Kwa mujibu wa Katiba yetu hii mbovu ktk ibara ya 52 (2).
(..)Rais atamteua mbunge wa kuchaguliwa kutoka katika Jimbo la Uchaguzi, kuwa waziri Mkuu (..)
N.B. Kila kwenye (..) kuna maneno...
Nadhani kuna zuio la kuingiza mafuta kutoka nje ya nchi jamani zuio hili kama lipo liondolewe
maana hali saivi ni hatari sio siri jana nimeuziwa mafuta ya kula lita moja 7500/= nimeshangaa sana...
Wizara ya Afya imesema kuwa taarifa ya Waziri Mkuu kwamba hakuna wimbi la 4 la UVIKO19 na ile ya Katibu Wizara ya Afya, kuhusu kuongezeka kwa maambukizi ya UVIKO19, zote ni sahihi. Kwani...
Rais Samia Suluhu Hassan, anaendelea kutakata na kuitakatisha Tanzania. Amejibu ombi la muda mrefu la watu wengi, kuhusu kuitenganisha Wiazara ya Afya na idara nyingi zilizokuwa chini yake.
Rais...
Serikali imekamilisha ujenzi wa nyumba za gharama nafuu katika mji unaokua wa kasi na wenye International Airport (Chato Geita).
Wananchi changamkieni fursa hii
USALITI WA VIONGOZI WA CHADEMA KWA MBOWE "HAWATAKI MBOWE ATOKE GAREZANI!"
Viongozi wa CHADEMA wanataka ruhusa ya kumpelekea MBOWE vyakula na vinywaji huko GEREZANI lakini hawataki ATOKE GEREZANI...
Prof NDALICHAKO YUPO kwenye wizara ya elimu tangu awamu ya hayati Magufuli kama waziri mpaka sasa lakini naona kama elimu haiendeshwi nae inajiendesha yenyewe.
Kuna shule inaitwa NGUVU MPYA...
Mosi, kuna azimio linalosema sasa uwekwe utaratibu wa Baraza la Vyama kutatua migogoro ndani ya vyama.
Pili, uwekwe utaratibu wa vyama kuadhibiana unapokiuka utaratibu wa mikutano ya hadhara...
Kuendesha gari Zanzibar unahitaji kuwa na permit, unalipia 10$. Hii ni bila kujali wewe ni Mtanzania au la, we are all regarded as foreigners in this case.
Hapa issue si hiyo $10 but how tuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.