Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna aina ya watu waliopigania kuingia kwenye siasa mpaka hawawezi kuwa na maisha nje ya siasa. Baadhi yao mfano ni hawa: 1. Nape Nnauye - Huyu bila siasa hana maisha 2. Yusuph Makamba - Mzee huyu...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Hii kampuni iliwahi kuhudumu kwenye mradi wa Mwendokasi kipindi fulani na baadae kupewa kazi hiyo Suma JKT. Sasa inaonekana kampuni hiyo imerudi tena ulingoni. 1. Je, nini kilifanya iondolewe...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Tatizo la elimu ya Tanzania sio kukariri bali ni ugumu wa lugha inayotumika bila kuwekewa msingi mzuri katika lugha hiyo. Kila kitu huja kwa kukariri lol. Bila kukariri huwezi kuelewa. Bila...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
NI CHAMA GANI CHA UPINZANI KIMEJIPANGA KUIONDOA CCM MADARAKANI? Wakati Chama Cha Mapinduzi CCM kikiendelea kujiimarisha katika nyanja mbalimbali uku kikiendelea kutekeleza kwa vitendo ilani ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni lini Watanzania tutakuja kuelewa kwamba hakuna kitu cha bure? Yaani Mchina atoke kwao aje kukujengea wewe Bandari kwa lipi hasa? Inanikimbusha Mji wa Kigamboni kwamba USA wanakuja kujenga Mji...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Mbunge wa viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam Mh. Mahawanga Janeth leo amekutana na Kamati ya Ujenzi na Uongozi wa Jumuiya ya Wanawake Wilaya ya Kigamboni na kukabidhi tani tano za saruji kwa ajili...
0 Reactions
5 Replies
839 Views
Nimekuwa nikisikia viongozi/watawala wetu wakituambia tuache siasa, tunatumika kisiasa ama tunaleta siasa. Najiuliza swali; Hivi siasa huwa ni nini na kwa nini tusifanye siasa? Siasa ni kwa ajili...
3 Reactions
21 Replies
6K Views
Kamati ya siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Simiyu, imeiomba serikali kuajiri walimu wengi wa kutosha, ili kukabiliana na ongezeko la wanafunzi watakaoanza masomo yao mapema mwakani...
0 Reactions
0 Replies
692 Views
Katibu mkuu mstaafu wa Chadema Dr. Slaa ameitembelea Makumbusho ya taifa na kushiriki siku ya utamaduni wa kabila la Wairaki kutoka Manyara. Dr Slaa amewataka Watanzania wakumbuke walikotoka...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Anaitwa Joan Wicken, raia wa Uingereza aliyefariki mwaka 2005 huko kwao Uingereza. Huyu ndiye aliyekuwa Personal Assistant wa Waziri Mkuu wa Kwanza wa Tanganyika baadaye Rais wa kwanza wa...
0 Reactions
29 Replies
9K Views
Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Joseph Mbilinyi amesema serikali inategemea mapato yake kutoka Vilevi hasa vya TBL kuliko hata Madini na Utalii. Sugu amewataka Walevi wenzake wasusie kunywa...
6 Reactions
46 Replies
3K Views
ZITTO ANAVYOWAFUNDISHA CHADEMA KUFANYA SIASA Achana na habari za Polepole na manyang'unyang'u na maroroso yake, mganga keshakufa mteja lazima atapetape, habari ya mjini kwa sasa ni kitendo cha...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Hakika inashangaza sana CCM chama kikongwe duniani kilichikubali mfumo wa vyama vingi duniani kinahangaika kuhakikisha kinakiua chama cha upinzani cha chadema kwa kutumia nguvu zake zote ikiwa ni...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Hii clip inajieleza: Wananchi hawa wa kata ya Mandawa wilaya ya Kilwa mkoani Lindi wameona wala isiwe taabu. Wamejielekeza vilivyo kwenye mada. Vinginevyo chukueni vyenu wala tusijuane! Haki...
0 Reactions
2 Replies
507 Views
Comred Mnyika mdogo wangu na Katibu Mkuu wa chama kikuu Cha upinzani CHADEMA tunataka tuuone utashi na hekima na busara zako katika kipindi hiki kigumu, chama chako kina Kariba kubwa ya vijana...
16 Reactions
91 Replies
6K Views
Supermarket maarufu iitwayo Game imefuata nyayo za makampuni mengine kwenye MALL za Dar hasa Mlimani city kufunga biashara zao na kuondoka nchini. Kuna tetesi DSTV ambayo zipo Channel maarufu za...
22 Reactions
112 Replies
15K Views
Kitu kimoja nina hakika ni kwamba wahuni hawatashinda lakini kitu kimoja nina imani kubwa sana ni kwamba ni Chama Cha Mapinduzi (CCM) pekee ndio kina uwezo wa kitaasisi na kidhamira wa kukabiliana...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
WATU wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu mashitaka ya kuendesha Chanel ya Utube bila kuwa na leseni. Washitakiwa hao Adamu Thabit( 28) kutoka kampuni ya MMJ Steel...
10 Reactions
108 Replies
17K Views
Chadema wanasema Freeman Mbowe abaki gerezani hadi pale haki ya kisheria itakapoonekana imetendeka. Wanaamini hii itakiimarisha chama na Mbowe mwenyewe kisiasa wakiwa wameanza kumfananisha na RIP...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Hapa nasemea hivi kwa sababu ya wagombea wawili na historia za maisha ya jamii husika na wagombea wenyewe. Mchuano ni kati ya LAZARO NYALANDU mbunge mkongwe aliyeongoza jimbo hilo muda mrefu dhidi...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Back
Top Bottom