Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

"Msimamo wetu kanisani ni uleule, mimi nilishaishinda Corona hata kabla sijawa mbunge, sitishiki, kwanini sisi Waafrika kila tunachoambiwa na wazungu tunakikubali kirahisi? Hajazaliwa mtu wa...
14 Reactions
82 Replies
5K Views
Ikiwezekana Wafanyakazi wake wote wafukuzwe kazi , wana tuhuma nyingi mno za upendeleo unaotokana na kutumikishwa kama chombo cha ukandamizaji . Wako vijana wapuuzi sana wametukana na...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Nadhani Gerson Msigwa anaomba mama afuatilie kuona kama anafaa au amteme. Mambo anayopost Msigwa siyo mambo yakupamba kurasa za watu wa kariba yake. Ukurasa wake wa mtandao wa kijamii unasave...
7 Reactions
33 Replies
3K Views
Kitendo hicho kimetafsiriwa kama cha kishujaa na wadau wote wapenda haki duniani , Hii ni kwa vile lengo la nyuma ya pazia la kikao hicho cha unafiki HAIKUWA MARIDHIANO KAMA ANAVYOJARIBU...
45 Reactions
96 Replies
6K Views
Mwamba Mbowe na wenzake wataendelea kusota Rumande mpaka mwaka ujao ambako pingamizi la upande wa utetezi kuhusu vielelezo litatolewa uamuzi. Hayo yamesemwa leo Mahakamani na Mtukufu Jaji Tiganga...
5 Reactions
68 Replies
7K Views
"....Mfalme hata akivimba wewe mwache avimbe lililo kuu songambele." Askofu Gwajima. "....muulizeni tuedit maandiko Matakatifu?!" Askofu Gwajima. "....Corona niliipinga kabla hata ya Ubunge na...
12 Reactions
28 Replies
3K Views
Hebu angalia Tangazo hili halafu jaribu kutafakari , ukiacha UCHAWA ulioasisiwa na Steve Nyerere kwenye awamu ya 6 , hakuna sababu yoyote ya kongamano hili la kibwege Hivi ni maboresho yapi...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
MVUVI HALISI MITEGO HAKOSI. Mjadala mzito wa chuki, kiburi, ujuwaji na tambo unaendelea kupamba moto mitandaoni. Si kuwa tayari kupitwa kwa vile dhulma sio tu kama naichukia, bali napambana nayo...
2 Reactions
7 Replies
759 Views
Baada ya kusoma mijadala yenu hapa Jf nimeonelea nijipe elimu zaidi kuhusu taifa hili la Amaleki ambalo waisrael wanaamini limejaa Ukatili, Laana na nguvu za giza. Najaribu kupitia vitabu...
8 Reactions
55 Replies
5K Views
Ktk vitu ambavyo intelijensia haijachukulia mzaha ni pamoja na swala la Polepole. Hata kama mlichelewa kumfumba mdomo lakini atleast mmejaribu. Huyu Polepole tungemchekea mwisho wa siku tungevuna...
25 Reactions
192 Replies
10K Views
Leo ikiwa ni mwendelezo wa kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu kwenye Mahakama Kuu divisheni ya Uhujumu Uchumi , Wafuasi wa chama chake wamefika kwa wingi kama ilivyo...
24 Reactions
80 Replies
6K Views
Hivi ni kweli kuwa Huna Taarifa Kama Simenti Leo huku Mara ni Tshs 25,000, Nondo ni Tshs 28,000, muda huo huo upande wa pili hapo kwa ndugu zetu Simenti ni Tshs 12,000 Nondo Tshs 16,000, Ni nini...
23 Reactions
135 Replies
8K Views
Shalom from Jerusalem, Licha ya ukweli kwamba Rais Samia alikuwa kwenye utawala wa dikteta Magufuli alikuwa na nafasi kubwa sana ya kubadilika na kusimamia matakwa yote ya demokrasia na kuheshimu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Moja ya sababu kushinda Jambo lolote lile ni kukubali uhalisia wake. Huwezi kushinda Jambo fulani bila kukubali uhalisia wake, bila kujua pande zote za shilingi na hii inatutesa sana nchi zetu...
1 Reactions
3 Replies
925 Views
Jana huko geita mwananchi mmoja amedai alitumwa na Mkuu wa Wilaya kwenda kudai tsh 3,000,000 kwa familia ya mtoto aliyefufuka ikiwa ni gharama za kufukua kaburi. Mzazi wa yule mtoto alitilia...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari! Sina maneno mengi nakwenda kwenye mada. Hivi pesa za msaada sijui mkopo zilizotolewa na wazungu kupambana na UVIKO 19 zinatumikaje kujengea madarasa? Tumeshindwa kujenga madarasa kwa...
6 Reactions
57 Replies
3K Views
Kiukweli nichukue fursa hii kukiri kuwa Tundu Antipas Lisu ni mwanasiasa mpambanaji wa viwango vya dunia. Alithubutu kwa ujasiri mkubwa kumshauri na kumkosoa Rais Magufuli wakati wa uhai wake...
57 Reactions
202 Replies
13K Views
NAOMBA SERIKALI IHIMIZE ELIMU YA UZALENDO KWA WANANCHI WAKE. Na Felix Ajuna Kuna muda nakaa nafikiria nchi yangu natamani sana serikali ingehimiza zaidi juu ya Elimu ya uzalendo ilihali...
1 Reactions
1 Replies
870 Views
CHONGOLO AWAPONGEZA UMOJA WA WANAWAKE TANZANIA (UWT) Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amewapogeza Jumuiya ya umoja wa wanawake Tanzania (UWT) kwa kazi kubwa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom