Zanzibar kuendesha gari ukitoka bara unalipa $10

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
821
1,337
Kuendesha gari Zanzibar unahitaji kuwa na permit, unalipia 10$. Hii ni bila kujali wewe ni Mtanzania au la, we are all regarded as foreigners in this case.

Hapa issue si hiyo $10 but how tuna tritiwa wote kama foreigner ? Hii imeshajitenga kama nchi peke yake na Tanganyika peke yake au ni kitu gani ?
 
Hata kwa upande wa ardhi ipo hivyo. Mtanganyika haruhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar lakini Mzanzibari anaruhusiwa kumiliki ardhi Tanganyika.

Huu Muungano inabidi "ukapimwe mkojo" haraka sana!
 
Kuendesha gari Zanzibar unahitaji kuwa na permit, unalipia 10$. Hii ni bila kujali wewe ni Mtanzania au la, we are all regarded as foreigners in this case.

Hapa issue si hiyo $10 but how tuna tritiwa wote kama foreigner ? Hii imeshajitenga kama nchi peke yake na Tanganyika peke yake au ni kitu gani ?
Sasa wewe hujui kwamba Zanzibar ni nchi yenye mamlaka kamili ?
 
huu ni upumbavu usiokubalika kabisa,huku kwetu wapemba wanaendesha magari free tu na mpaka sasa ivi wana mitaa yao kabisa.
yani wamenunua viwanja na nyumba kila sehemu ila ukienda kwao mambo haya hakuna kabisa,kumiliki tu hata kibanda cha tigo pesa inshu.

Suluhisho ya haya yote ni serikali 3 tu au tuvunje muungano kila mtu apambane na hali yake.

Linachanishwa zege sembuse Nchi
 
Kuendesha gari Zanzibar unahitaji kuwa na permit, unalipia 10$. Hii ni bila kujali wewe ni Mtanzania au la, we are all regarded as foreigners in this case.

Hapa issue si hiyo $10 but how tuna tritiwa wote kama foreigner ? Hii imeshajitenga kama nchi peke yake na Tanganyika peke yake au ni kitu gani ?
Vipi kuhusu Wazanzibari kuendesha gari Bara? Tafadhali fanya utafiti kidogo.
 
Kuendesha gari Zanzibar unahitaji kuwa na permit, unalipia 10$. Hii ni bila kujali wewe ni Mtanzania au la, we are all regarded as foreigners in this case.

Hapa issue si hiyo $10 but how tuna tritiwa wote kama foreigner ? Hii imeshajitenga kama nchi peke yake na Tanganyika peke yake au ni kitu gani ?
Mkuu huku Bara ukiwa na leseni iliyotolewa Zanzibar pia huruhusiwi kuendesha gari. Sio hiyo tu, plate number ya Zanzibar pia haitambuliki Bara. Tusemeni kweli
 
Hizo ni kero za Muungano "yako yangu yangu yangu" waasisi wa huu Muungano utasema walikuwa wanakimbizwa kuungana sijui walikuwa wanaogopa nini.

Nafikiri kwa sauti tu na maandishi
👇

Kama Magufuli aliihamishia Ikulu ya Jamhuri ya Muungano Chato kwenye nyumba yake.

Kwanini Samia nae haihamishii Ikulu huko Nungwi.
 
Back
Top Bottom