Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesitisha kwa Muda Matumizi ya Mfumo wa Kielektroniki wa Ukusanyaji wa Ada za Maegesho ya Magari Unaosimamiwa na Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA)...
Leo kuna kongamano kubwa la makanisa ya Pentecoste ambapo mgeni rasmi ni waziri wa mambo ya ndani mh Simbachawene.
Katika kongamano hili mchungaji Mashimbo amejilipua kwa kumwambia Waziri...
Anaandika Balozi Khamis Sued Kagasheki kupitia ukurasa wake wa Twitter na ninamnukuu;
Humphrey siyo rafiki yangu. Pia siyo adui yangu. Sikuwahi kuketi popote na yeye kwa maongezi. Mara moja tu...
"Kuna gharama kubwa ya kuwa shujaa"
Kesi ya Mbowe ilipoanza tulisikia watu mbalimbali wakihudhuria mahakamani na wengine kushinikiza aachiwe, tulishuhudia mabalozi kutoka nchi za Marekani...
Kwamba Laigwanan, Aboubakar Mbowe kapokea ugeni mzito huu mahakamani:
Kwa hakika mtenda mema hajifichi.
Tunayo mengi ya kujifunza kutoka kwa mja wake mola huyu.
Eeh mola wetu umpishilie mbali...
Kwa Wazanzibar walio wengi leo hii ni kuona kwamba Zanzibar kama Nchi inajitawala wenyewe huku ikiongoza tawala zake kama vile historia ya kweli unavyotufahamisha, jinsi ya utawala halali wa...
Huwa muwe mnaelewa tunaposema huyu ndio mwamba wa siasa za Tanzania ,anayewazidi hata wapigania uhuru wa enzi za Wakoloni, Huyu ndiye gwiji wa zile siasa za kupigania haki hasa, hebu jaribu...
Nawakumbusha watumishi wa serikali mshahara wa mwezi huu wote matumizi yake MAKUBWA ni Kodi januari na ada za watto.
Msije sema sifi leo hakuwakunbusha mkaanza vimemokwa wakuu wa shule.
Nimeona mengi kuanzia kwa RC Hadi Mawaziri hakuna anayemkumbuka tena zaidi hata yale aliyoyafanya wakawa wanayahubiri kumbe na wao yaliwachosha
Kumbe hakuna hata mmoja aliyapenda matendo yake...
Watanzania wengi hawaelewi tozo ni kitu gani na wanaona ni jambo lipo hapa Tanzania tu huko duniani halipo, na wanahisi wameonewa, hawastahili wao kutoa tozo, wanaona mambo mengine hayatakiwi...
Kama kuna mtu muongo, msema ovyo na generally haaminiki, basi ni huyu Askofu Gwajima.
Kuna video nyingi akiongea vitu tofauti, kuna wakati lisema ananunua helikopta, mara atawapeleka wana Kawe...
CHADEMA WANAKOSEA
Badala ya kumshambulia Rais kwa hotuba ambayo ilijaa upotoshaji mwingi ambao hata haukufanana na alichokisema Zitto Chadema wanapoteza muda kumsakama Zitto ambaye alikuwa...
Leo nimepitia makala iliyopo mtandao wa Chanzo ikijadili malumbano yaliyojaa matusi, kashfa na kudhalilishana kati ya Chadema na ACT. Inapatikana HAPA
Aya moja inasema: "Lakini katika hali ambayo...
Maneno ya hekima na busara kutokea kwake Mwalimu Lwaitama:
Kwa hakika hayupo asiyejua kuwa kesi ya Mbowe ni ya kubumba.
"Sasa anapohitaji kuaminiwa, labda kama ni kuaminiwa anataka kumnyazisha...
“Ukishakuwa mpinzani ile keki ya Taifa huioni sawa sawa, naringa kama ni Mbunge wa Chama Tawala na pia naringa kama ni Mbunge wa Serikali iliyopo madarakani" - John Palangyo, Mbunge wa jimbo la...
Habari za kutwa miamba na majabali ya jukwaa mujarabu.
Rejeeni kichwa cha maada, nimetafakari nyakati nyingi na kwa marudio kwanini nchi hii ina ombwe kisiasa,kidemokrasia na kikatiba.
Kwanini...
Wakuu,
Kuna picha nimeziona mitandaoni huko mpaka zimenishangaza, yani makamu wa Rais anafunga safari kutoka Dodoma kwenda kufanya ziara ya kukagua miche ya miti huko Kigoma!
Hilo jukumu si hata...
Utasikia 'rea kuna utapeli mwingi ukome mara moja. Kazi hazikamiliki vifaa vinaibiwa. Kampuni hizo zisipewe tena kazi' 😂😂. Usanii mtupu akisema hivyo ndio imetoka.
Wananchi wanahitaji mawaziri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.