Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Najiuliza kwa sauti kubwa
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Leo katika pita pita, yangu nimeona andiko linaro muusu mke wa Rais wa Zanzibari ndugu Ally Hassan Mwinyi, akiwaaidi vijana kuwa anawaunga mkono, na kuwataka wasisite kwenda ofisini kwake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CCM ndo mungu mtu wa Tanzania, wafuasi wa CCM 98% wapo mentally disturbed kwa kiwango kikubwa mno. Kwao kila kitu ni kizuri tu, yaani hakuna baya lolote ndani ya Tanzania. Kwao Uchumi uko vizuri...
9 Reactions
57 Replies
3K Views
Kwa ufupi ni kuwa hii kesi inaenda kuivua nguo serikali ya Samia Suluhu, inenda kuwavua nguo kina DPP, IGP na DCI. Kwanini Mbowe hana cha kupoteza katika hii kesi 1. Kama Mbowe atafutiwa kesi na...
31 Reactions
92 Replies
8K Views
Hii kesi ya Mbowe inakata kotekote kwa Mbowe na serikali pia. Samia amemharibia Mbowe kwenye - Mbowe yupo ndani kwa Bogus terrorism charges - Mbowe ana biashara zake ndani na nje, kuwa kwake...
28 Reactions
96 Replies
7K Views
Wadau Nawasalimu Watanzania tunasubiri Kujua Hatima ya Makada 3 wa CCM ambao Wanatakiwa kufika mbele ya Kikao Kizito cha Chama.Makada hao ni Pamoja na Humphrey Polepole,Jerry Slaa na Askofu...
1 Reactions
56 Replies
47K Views
Hivi serikali ikifuta kesi ya Mbowe peke yake Chadema watafanya nini? Watamshauri Mwenyekiti kiti wao asikubali kutoka mpaka wakina Adamoo nao waachiwe? Au watasema atoke ili awaongoze kupambania...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Mbeya kupitia CHADEMA, Joseph Mbilinyi ameshauri watu kuacha kunywa pombe ili waikomoe Serikali ikubali kukaa mezani kujadili Katiba. Sugu amesema kwa mawazo yao wao...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimetafakari sana Washirika wakubwa wa Zitto Kabwe ambao hushirikiana nae katika harakati zake wanaula sana Serikalini,kuna tafsiri yoyote inaweza kuhusishwa na Asante kwa kazi...
1 Reactions
3 Replies
893 Views
Kelele zilikuwa nyingi kumkomesha Polepole kuropoka ropoka kupitia shule yake. Akashupaza shingo yake na kutoa shule kubwa Zaidi yenye vijembe kibao ndani yake. Mwishowe tuliona kabisa wakaja...
2 Reactions
2 Replies
647 Views
Nimesikia kuwa serikali ya Tanzania ina mipango ya kupanuka kidogo kuongeza Wizara moja au mbili hivi. Serikali yoyote kubwa sana yenye wizara nyingi huwa siyo mzigo tu kwa nchi, bali pia ni...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa muongo mmoja uliopita umuhimu wa elimu ulikuwa na thamani sana kwa vijana maana thamani yake iliendana na mazingira yaliyokuepo na watu wengi walitamani kupata elimu ili waweze kujikomboa...
9 Reactions
72 Replies
6K Views
Leo 1 of july 2020 Tanzania imeingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati "middle income economies " Tanzania imeweka rekodi hii haraka kuliko ilivyotarajiwa hapo awali Benki...
33 Reactions
925 Replies
64K Views
Wengine walisema " ukimuona kobe juu ya mnazi ujue kapandishwa" Jamani fanyeni mtakalofanya huyt Freeman Mbowe wakati tunasherehekea sikukuu ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar 12/01/2022 awe yuko...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Hapa chini ni nukuu halisi kutokea kwa baba Askofu Lusekelo: Kauli yake inaakisi kauli za maaskofu na masheikh wengine wengi wakiwamo kina: "Sheikh Ponda, Dr. Shoo, Niwemugizi, Mwamakula, Dr...
18 Reactions
62 Replies
5K Views
Ndugu Albert Msando umemteua wewe kuwa mkuu wa wilaya Morogoro. Kitaaluma huyu ndugu ni mwanasheria, lakini kinachoshangaza manispaa Morogoro inajengwa vibanda kila kona tena katikati ya mji...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Je mtampokea ?
1 Reactions
53 Replies
2K Views
Wauzaji wengi ni wale wanaotoa huduma za mkoba, yaani wanatembelea nyumba kwa nyumba, wakifika kwako (mara nyingi wanakuwa wawili) baada ya kukupa elimu unawashukuru na kuwaambia hauko tayari ila...
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Kiukweli CCM ni kama mbuyu tu na matawi yake ndio hayo ya Chadema, ACT wazalendo, Nccr mageuzi, TLP, Cuf, UDP, ADC, Chaumma, DP nk....nk. Fikiria mkutano wa juzi wa vyama vya siasa key speakers...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom