Serikali yakamilisha ujenzi wa nyumba za gharama nafuu Chato/Geita

Nibozali

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
572
1,055
Serikali imekamilisha ujenzi wa nyumba za gharama nafuu katika mji unaokua wa kasi na wenye International Airport (Chato Geita)
‪+255 756 997 052‬ 20170504_081633.jpg
.
Wananchi changamkieni fursa hii
‪+255 756 997 052‬ 20170504_081633.jpg
 
Hizo nyumba wala sina tatizo nazo na mtu hawezi kuwa na grounds ya kuzipinga!!

Lakini linapokuja suala la International Airport; HAPANA... HAPANA... HAPANA!!!

Chato haina sifa hata moja ya kibiashara na kiuchumi ya kuifanya iwe na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa kwa sasa, na hata kwa miaka 10 ijayo labda JPM aendelee kuhamishia raslimali za taifa huko Chato!!! Kujenga international airport Chato ni ufisadi usio na maana yoyote!!
 
HUO uwanja wa Kimataifa Chato uko wapi?Acheni kudanganywa hivyo..Weka picha tuuone kama niwakimatiafa au ni air strip kama ya Morogoro au Katoke Biharamulo. Tuspende kundanywa na siye kufanya mambo ovyoovyo.

Hizo nyumba wala sina tatizo nazo na mtu hawezi kuwa na grounds ya kuzipinga!!

Lakini linapokuja suala la International Airport; HAPANA... HAPANA... HAPANA!!!

Chato haina sifa hata moja ya kibiashara na kiuchumi ya kuifanya iwe na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa kwa sasa, na hata kwa miaka 10 ijayo labda JPM aendelee kuhamishia raslimali za taifa huko Chato!!! Kujenga international airport Chato ni ufisadi usio na maana yoyote!!
 
Sasa ajenge ukumbi wa mikutano wa kimataifa na hotel ya nyota tano

White elephants
 
Back
Top Bottom