Kama kuna zuio la kuingiza mafuta ya kula kutoka nje, Tunaomba liondolewe wananchi tutakufa jamani

muafi

JF-Expert Member
Oct 6, 2015
2,113
4,793
Nadhani kuna zuio la kuingiza mafuta kutoka nje ya nchi jamani zuio hili kama lipo liondolewe

maana hali saivi ni hatari sio siri jana nimeuziwa mafuta ya kula lita moja 7500/= nimeshangaa sana, hivi mbona mambo yanakua magumu kiasi hiki,
sasaivi tumerudi enzi za kupika chakula bila mafuta Rais samia tuhurumie

kipindi cha nyuma mafuta yalikua yanatoka nje tuliyapata kwa bei nzuri sana, nakumbuka tulikua na mafuta ya mukwano toka uganda lita moja elfu tatu hadi 4000 lakini sasaivi baada ya zuio tunaelekea elfu nane lita moja

kuna watu wanajinufaisha na mazuio ya kuagiza vitu nje, tunapata shida sana huku wananchi wako

viwanda vya ndani vimeahindwa kazi bora tukanufaishe viwanda vya nje

hali ngumu ajira hakuna mishahara haipandi vitu bei juu dah
 
20211200.jpg
 
Tumpatie miaka 10 kwa lazima
 
Wanakwambia wanalinda viwanda vya ndani, ukute hivyo viwanda wanavyodai kulinda ni miongoni mwa wamiliki.........
 
Kuleni tu vyakula chukuchuku

Mafuta hayo muwaachie wenyewe wayatumie

Tatizo wabongo mna addiction

Ova
 
Akunyimae Kunde, Akupunguzia Mashuzi...,

Mafuta sio Mazuri, ukiweza kula michemsho
 
Bidhaa za mafuta nyingi hazi toki tanzania, na kiuhalisia soko la mafuta lili athirika sana na uviko 19, hata pembejeo ambazo tuna zilalamikia
 
Back
Top Bottom