Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,549
Hapa nasemea hivi kwa sababu ya wagombea wawili na historia za maisha ya jamii husika na wagombea wenyewe.
Mchuano ni kati ya LAZARO NYALANDU mbunge mkongwe aliyeongoza jimbo hilo muda mrefu dhidi ya RAMADHANI IGHONDO anayetajwa kuwa mtumishi mkongwe kutoka nyumba kuu.
Hili ni jimbo rahisi na la kwanza kwenda Upinzani Tanzania liwake jua inyeshe mvua kwa mujibu wa sauti za wananchi wa eneo husika. Kutokana na legacy aliyoacha Nyalandu baada ya kujiuzulu ni kwamba wananchi wana hamu naye sana.