Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Lazima kuweka maneno ambayo yanaamsha hisia za watu kuwa hil ni la kwetu na si la serikali kama wanavyotaka kufanya kuuteka tena mchakato wa katiba. Napendekeza 1. Wananchi Ndio wenye Nchi Katiba...
8 Reactions
17 Replies
1K Views
Kutokana na mamlaka aliyonayo spika na bunge dhidi ya Serikali nilitarajia serikali ije haraka na ufafanuzi wa yale aliyosema spika. Badala yake tumeshuhudia mtu kutoka kwenye chama akimshukia...
12 Reactions
65 Replies
4K Views
Nimeona wengi wamekua na mkanganyiko sana kuhusu deni la taifa, lakini hii naona ni changamoto kwa wanahabari. Wanahabari wanapaswa kuweka sawa ila hawajafanya hivyo kwa sababu wanazojua wao na...
26 Reactions
246 Replies
16K Views
Duniani kote utawala wowote unawekeza nguvu kubwa kwenye kilimo na hata wananchi karibia 78% ni wakulima wanategemea kilimo tu kuendesha maisha yao. Rais wetu nimefuatilia hotuba zake zote...
8 Reactions
25 Replies
2K Views
Sina Shaka nyie ni Madaktari pia mliopitia mafunzo haya magumu yatakayo moyo na maamuzi magumu kuchukua fani hii. Naomba mjitokeze na mtoe ufafanuzi kuhusu mitiani ya Madaktari wetu wanaomaliza...
16 Reactions
77 Replies
14K Views
Kwa mujibu wa Zitto Kabwe mkopo wa ujenzi wa SGR tuliokopeshwa na benki ya Kibiashara tumepewa kwa riba inayoitwa nafuu ya 9% kwa muda wa miaka 20. Nimejaribu kuichakata kujua hayo malipo...
6 Reactions
58 Replies
49K Views
Leo nimepata Habari za kustusha sana. Makampuni ya chuma ya China, Urusi na Uturuki yamehonga baadhi ya watendaji wa Serikali ya Awamu ya Tano kuchelewesha Mradi wa Mchuchuma na Liganga mpaka...
56 Reactions
320 Replies
34K Views
Chadema Singida Makamu Mwenyekiti kanda ya Kati Bi. Aisha Yusufu Luja anaripoti kuwa viongozi wawili wa CHADEMA wamekamatwa wakiwa wamevaa T-shirts za Tundu Lissu zilizoandikwa PRAY FOR LISSU...
11 Reactions
94 Replies
16K Views
Zitto Kabwe: Uharibifu wa Uchumi unaofanywa na Serikali yaMagufuli ni mkubwa sana. Itachukua miaka 10 kurudi Hali ya mwaka 2015 ( ambayo nayo haikuwa nzuri) iwapo ataondolewa madarakani mwaka huu...
16 Reactions
65 Replies
11K Views
Hata kama Bunge limepatikana kwa njia ovu, hata kama Ndugai alifanya makosa mengi wakati wa awamu ya 5, lakini bado ana nafasi kubwa sana ya kuweza kuchangia katika kuweka mstakabali muhimu wa...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
Kama huna bando ni hivi, Ndugai aliupata Uspika kwa fitna dhidi ya Mama Anne Makinda, Ndugai alitibiwa kwa mamilioni ya fedha ughaibuni na hajapona Bado, Ndugai ana tabia ya kuwachapa bakora...
14 Reactions
135 Replies
11K Views
Tarehe 31 Disemba,2021 saa kumi na mbili jioni Mheshimiwa Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa kulihutubia Taifa- kufunga mwaka 2021 kuzungumzia mipango na mikakati ya kuingia mwaka 2022.
31 Reactions
188 Replies
14K Views
MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA TUNDU LISSU, AFICHUA UOZO WA KATIBA INAYOPENDEKEZWA NA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA, TUNAPIGWA TENA Kufuatia taarifa ya Prof. Rwekaza S. Mukandala kubainisha kuna...
5 Reactions
192 Replies
58K Views
Heri ya Mwaka mpya 2022 wanaJf wote. Askofu Gwajima amefanya maombi kwa kila mtanzania ili apokee talanta yake kutoka kwa Mungu moja kwa moja na siyo hivi vitu tunavyopewa na binadamu wenzetu...
19 Reactions
35 Replies
2K Views
Wanabodi, Niliposema Rais wa JMT anaweza Kuondolewa madarakani na Bunge, wengi walibeza kuwa nilikuwa nazungumzia hypothetical situation, yaani kitu ambacho hakipo, nikauliza hakipo vipi wakati...
21 Reactions
144 Replies
19K Views
Baada ya jana kuahirishwa, Kesi ya mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe inaendelea kuunguruma leo mahakamani. Jana kesi iliahirishwa kutokana shahidi kupata dharura ya kiafya na upande wa utetezi...
39 Reactions
273 Replies
45K Views
(i) Kuongezeka kwa tofauti (Gap) za Kiuchumi na Kijamii miongoni mwa Wananchi: Sehemu nyingi Wananchi wote wana haki ya kushiriki Uchaguzi lakini Matajiri ndio wana nafasi ya kushinda. Watu...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Katika hali ya kustaajabisha, DC wa Arusha Kenani Kihongosi ambae aliwahi kutoa 'Singo' niliyoambatanisha hapo chini ya kumsifia Magufuli kwa kudai kuwa Magufuli alikuwa ni jembe la kila kitu...
18 Reactions
82 Replies
7K Views
Waheshimiwa wabunge mmekuwa mkiburuzwa na kiti cha Spika bila kujua yeye hana chakupoteza 2025. Kwani ni automatic ni mstaafu. Hivyo anajikomba kwa Rais kuwa mstaafu mtarajiwa mwema huku...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Kwa sisi Mawakili wasomi kuhoji ni jadi yetu. Nimesikia Mhe. Waziri Mkuu akizungumzia kuhusu madaraka yanatoka Kwa Mungu. Nikajiuliza tunao wabunge wa bunge la Sasa ambapo wapo waliopita bila...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…