Kisheria, Spika wa Bunge anaweza kuondolewa. Je, Job Ndugai aondolewe?

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
36,310
2,000
Wanabodi,

Niliposema Rais wa JMT anaweza Kuondolewa madarakani na Bunge, wengi walibeza kuwa nilikuwa nazungumzia hypothetical situation, yaani kitu ambacho hakipo, nikauliza hakipo vipi wakati kipo kwenye Katiba yetu?, sema haijatokea tukapata rais wa kulazimika Kuondolewa.

Leo ninazungumzia Kuondolewa kwa Spika wa Bunge la JMT. Kuna watu wanadhani mtu akiishachaguliwa kuwa Spika wa Bunge, basi anageuka mungu mtu, anaweza kufanya lolote na asiguswe!. No!. Nafasi ya Spika ipo kwa mujibu wa Katiba, na atatekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Katiba, sheria, taratibu na kanuni, akikiuka na ikathibitishwa amekiuka, Spika anaondolewa!. Swali ni Jee Spika Mhe. Ndugai amekiuka Katiba, sheria, taratibu na kanuni kustahili Kuondolewa? .

Declaration of interest.

Mimi ni muumini wa Katiba, unauhusisha uendeshaji wa nchi kwa mujibu wa Katiba kwa kutumia sheria, taratibu na kanuni.

Naomba kukiri nimekuwa inspired kupandisha bandiko hili kufuatia bandiko hili

Tundu Lissu apinga vikali adhabu ya Mdee na Bulaya,
Tanzania ni nchi inayofuata Katiba kwa kuzingatia misingi ya haki, kuwa "no one is above the law" kumaanisha Katiba ndio the supreme law, hakuna yoyote aliye juu ya Katiba na sheria.

Chini ya Katiba hiyo, tunayo mihimili mitatu, ya Serikali, Bunge na Mahakama ambayo yote inapaswa kuwa huru kwa kutenda bila kuingiliwa na mihimili mingine (independently) lakini wakati huo huo kila mihimili ukiwa na majukumu ya kutenda kwa mujibu wa Katiba, ikitokea mihimili mmoja umekiuka mamlaka yake, then hii mihimili mingine ina jukumu la kuufanyia checks and balance.

Hii inaitwa "the doctrine of separation of powers".

Bunge lina jukumu la kutunga sheria, Mahakama inatafsiri sheria na Serikali inatekeleza sheria.

Serikali inatakiwa kuliwezesha Bunge na Mahakama ikiwemo kulidhibiti Bunge kupitia mamlaka ya rais kuteua mtendaji mkuu wa Bunge ambaye ni katibu wa Bunge.

Serikali inaidhibiti Bunge kwa kuridhia sheria zinazotungwa na Bunge haziwi sheria hadi mkuu wa serikali aridhie, na asiporidhia rais ana mamlaka ya kulivunja Bunge.

Serikali pia inawajibu wa kuihudumia Mahakama kwa kuiwezesha ila pia kulidhibiti kwa kuteua Mtendaji Mkuu wa Mahakama, Jaji Mkuu lakini haiwezi kumuondoa, ila pia serikali inaidhibiti Mahakama kwa kusaini hati za capital punishment.

Bunge kwa upande wake lina jukumu la kuisimamia Serikali na Mahakama kwanza kwa kuitungia sheria, kupitisha bajeti zao, na kuisimamia matumizi yake.

Serikali inapokosea kwa kukiuka mamlaka yake, inashitakiwa Mahakamani au bungeni, na mkuu wa mihimili huu wa Serikali akienda kinyume cha Katiba, anashitakiwa na Bunge na kufukuzwa kazi kupitia "impeachment process"

Kama serikali inaweza kushitakiwa Mahakamani, Mahakama inashitakiwa Bungeni na Serikalini, Jee Bunge haliwezi kushitakiwa Mahakamani?.

Serikali imewahi kushitakiwa mahakamani mara kibao tuu na ikashindwa. Sina kumbukumbu ya Mahakama kushitakiwa nje ya Mahakama, nakumbuka zile kesi za Mtikila, lakini Bunge la Tanzania halijawahi kushitakiwa mahakamani.

Hii ya Bunge kutokushitakiwa kumemfanya Mkuu wa Mhimili huu Bunge, kujisahau, kujiiunua na kujiona kama mungu mtu hivyo kutaka kuabudiwa, kuigopwa na kunyenyekewa hadi kujiona anaweza kufanya chochote, kusema chochote na kutoa maamuzi yoyote hata yaliyo kinyume cha sheria, taratibu na kanuni na asiguswe!.

Adhabu kwa Wabunge Halima Mdee na Ester Bulaya now goes down to history books za Bunge letu kwa mara ya kwanza kushitakiwa mahakamani if at all kesi itafunguliwa kweli.

Kwa kumbukumbu zangu mtu pekee mwenye kinga ya kisheria ya kutokushitakiwa mahakamani ni Rais wa JMT pekee, hivyo serikali Inashitakika, Mahakama Inashitakika swali ni Jee Bunge nalo pia Linashitakika?!.

Mihimili hii ya dola inaongozwa na binadamu ambao sio malaika na wanaweza kukosea, ikitokea wakuu wa mihimili hii kukosea, sheria imeweka utaratibu wa jinsi ya kumuondoa rais, Jaji Mkuu na Spika wa Bunge. Swali ni Jee Spika wa Bunge Job Ndugai aondolewe?.

Kwa vile utaratibu wa kumuondoa spika ni kwa mujibu wa katiba, sheria, taratibu na kanuni, kwa vile mimi sio mwanasheria, naomba niwakabidhi kwa mmoja wa wanasheria wetu humu jf,
Mkuu The Learned Brother
Petro E. Mselewa
ili muweze kupata vifungu vya sheria, kanuni na utaratibu was kumuondoa spika .
Spika anaondolewa hivi...
Utangulizi na Utaratibu
Kanuni ya 134,Fasili ya 1,2,3,4,5 na 6 za Kanuni za Kudumu za Bunge,Toleo la 2007 zinaelezea namna ya kumwondoa madarakani Spika wa Bunge.Kanuni hii ni utekelezaji wa Ibara ya 84(7)(d) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,1977(ikifanyiwa marekebisho mara kwa mara).
  • Kanuni ya 134,Fasili ya 1 inamtaka Mbunge anayekusudia kumwondoa Spika madarakani,kuwasilisha kusudio hilo kimaandishi kwa Katibu wa Bunge akielezea sababu kamili ya hoja yake.
  • Katibu akipokea taarifa hiyo,ataipeleka kwenye Kamati ya Haki,Maadili na Madaraka ya Bunge kwa ajili ya kuijadili. Hii ni kwa mujibu wa Kanuni ya 134,Fasili ya 2.
  • Kamati ikijiridhisha kuwa Spika amevunja Ibara ya 84(7)(a),(b),(e),(f),(g) na (h) ya Katiba,Sheria au Kanuni zinazoongoza shughuli za Bunge(ambazo kimsingi ni Kanuni za Kudumu za Bunge),Kamati itaidhinisha hoja hiyo kupelekwa Bungeni kwa kuamuliwa. Hii ni Fasili ya 3 ya Kanuni ya 134.
  • Naibu Spika ataongoza kikao cha Bunge kujadili hoja hiyo huku Spika akipewa nafasi ya kujitetea wakati wa mjadala.Ndivyo itakavyo Kanuni ya 134,Fasili ya 4.
  • Kura za siri zitapigwa juu ya hoja hiyo na endapo theluthi mbili (2/3) ya Wabunge watakubaliana na hoja hiyo,Spika atakuwa ameondolewa rasmi madarakani. Hii ni Fasili ya 5 ya Kanuni ya 134.
  • Hatahivyo,Spikaanaweza kujiuzulu hata kabla ya uamuzi juu ya hoja ya kumwondoa madarakani. Ni Kanuni ya 134,Fasili ya 6.
Paskali
Rejea
Wito: Wabunge Badilini Kanuni Kuondoa Udikteta wa Spika/N.Spika!

Vurugu za Jana Bungeni: Chanzo ni Mhe. Job Ndugai!- Ni Dikteta Hatari Kuliko Spika Anne Makinda!.

Nani Zaidi Kati ya Bunge na Mahakama?!. The Doctrine of Separation of Powers is it Nothing, Just a Myth? ...
Katazo la Rais Kusafiri Nje ya Nchi bila Vibali: Je, Halikiuki ...
Bunge Litii Mahakama; Lisipotii Nani Aitii Basi? | Page 15 ...
 
MIGNON

JF-Expert Member
Nov 23, 2009
3,165
2,000
Wanabodi,

Nilipasema Rais wa JMT anaweza Kuondolewa madarakani na Bunge, wengi walibeza kuwa nilikuwa nazungumzia hypothetical situation, yaani kitu ambacho hakipo, nikauliza hakipo vipi wakati kipo kwenye Katiba yetu?, sema haijatokea tukapata rais wa kulazimika Kuondolewa.

Leo ninazungumzia Kuondolewa kwa Spika wa Bunge la JMT. Kuna watu wanadhani mtu akiishachaguliwa kuwa Spika wa Bunge, basi anageuka mungu mtu, anaweza kufanya lolote na asiguswe!. No!. Nafasi ya Spika ipo kwa mujibu wa Katiba, na atatekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Katiba, sheria, taratibu na kanuni, akikiuka na ikathibitishwa amekiuka, Spika anaondolewa!. Swali ni Jee Spika Mhe. Ndugai amekiuka Katiba, sheria, taratibu na kanuni kustahili Kuondolewa? .

Declaration of interest.
Mimi ni muumini wa Katiba, unauhusisha uendeshaji wa nchi kwa mujibu wa Katiba kwa kutumia sheria, taratibu na kanuni.

Tanzania ni nchi inayofuata Katiba kwa kuzingatia misingi ya haki, kuwa "no one is above the law" kumaanisha Katiba ndio the supreme law, hakuna yoyote aliye juu ya Katiba na sheria.

Chini ya Katiba hiyo, tunayo mihimili mitatu, ya Serikali, Bunge na Mahakama ambayo yote inapaswa kuwa huru kwa kutenda bila kuingiliwa na mihimili mingine (independently) lakini wakati huo huo kila mihimili ukiwa na majukumu ya kutenda kwa mujibu wa Katiba, ikitokea mihimili mmoja umekiuka mamlaka yake, then hii mihimili mingine ina jukumu la kuufanyia checks and balance.

Hii inaitwa "the doctrine of separation of powers".

Bunge lina jukumu la kutunga sheria, Mahakama inatafsiri sheria na Serikali inatekeleza sheria.

Serikali inatakiwa kuliwezesha Bunge na Mahakama ikiwemo kulidhibiti Bunge kupitia mamlaka ya rais kuteua mtendaji mkuu wa Bunge ambaye ni katibu wa Bunge.

Serikali inaidhibiti Bunge kwa kuridhia sheria zinazotungwa na Bunge haziwi sheria hadi mkuu wa serikali aridhie, na asiporidhia rais ana mamlaka ya kulivunja Bunge.

Serikali pia inawajibu wa kuihudumia Mahakama kwa kuiwezesha ila pia kulidhibiti kwa kuteua Mtendaji Mkuu wa Mahakama, Jaji Mkuu lakini haiwezi kumuondoa, ila pia serikali inaidhibiti Mahakama kwa kusaini hati za capital punishment.

Bunge kwa upande wake lina jukumu la kuisimamia Serikali na Mahakama kwanza kwa kuitungia sheria, kupitisha bajeti zao, na kuisimamia matumizi yake.

Serikali inapokosea kwa kukiuka mamlaka yake, inashitakiwa Mahakamani au bungeni, na mkuu wa mihimili huu wa Serikali akienda kinyume cha Katiba, anashitakiwa na Bunge na kufukuzwa kazi kupitia "impeachment process"

Kama serikali inaweza kushitakiwa Mahakamani, Mahakama inashitakiwa Bungeni na Serikalini, Jee Bunge haliwezi kushitakiwa Mahakamani?.

Serikali imewahi kushitakiwa mahakamani mara kibao tuu na ikashindwa. Sina kumbukumbu ya Mahakama kushitakiwa nje ya Mahakama, nakumbuka zile kesi za Mtikila, lakini Bunge la Tanzania halijawahi kushitakiwa mahakamani.

Hii ya Bunge kutokushitakiwa kumemfanya Mkuu wa Mhimili huu kujisahau na kujiona mungu mtu hivyo anaweza kutoa maamuzi yoyote hata yaliyo kinyume cha sheria, taratibu na kanuni na asiguswe!.

Adhabu kwa Wabunge Halima Mdee na Ester Bulaya now goes down to history books za Bunge letu kwa mara ya kwanza kushitakiwa mahakamani if at all kesi itafunguliwa kweli.

Kwa kumbukumbu zangu mtu pekee mwenye kinga ya kisheria ya kutokushitakiwa mahakamani ni Rais wa JMT pekee, hivyo serikali Inashitakika, Mahakama Inashitakika swali ni Jee Bunge nalo pia Linashitakika?!.

Mihimili hii ya dola inaongozwa na binadamu ambao sio malaika na wanaweza kukosea, ikitokea wakuu wa mihimili hii kukosea, sheria imeweka utaratibu wa jinsi ya kumuondoa rais, Jaji Mkuu na Spika wa Bunge. Swali ni Jee Spika wa Bunge Job Ndugai aondolewe?.

Paskali
Umeandika vizuri ingawa nina wasiwasi na kushtakiwa kwa bunge.Nahisi bunge linaweza kustakiwa kwa mfano limeshindwa kumlipa mzabuni lakini si kwa maamuzi ndani ya bunge.

Kinachoweza kuombwa toka mahakamani ni tafsiri ya kanuni au sheria katika jambo lililofanywa ndani ya bunge.

Kwa hili la Ndugai na wabunge wawili binafsi naona Ndugai kachemka mnooo.Ghadhabu ilimjaa na tayari alishakuwa na maamuzii mdomoni na busara ikashindikana.

Nawaza tu,hivi Ndugai angesema hivi,"Mheshimiwa Mnyika nimemsikia aliyekuita mwizi lakini naomba uendelee kuchangia wakati taratibu zingine zikifanyika".Angepoteza nini?

Tunaambiwa tunajenga nyumba moja na tusigombee fito lakini si kweli,tunagawanyika katika kasi ya ajabu!!

Hivi ule umoja wa kinamama wabunge bado upo?
 
Martin George

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,694

Kwanini aondolewe! Kwani ameonyesha Tabia gani ' mpya' ambayo wabunge na taifa kwa ujumla haliijui au haimo ktk wasifu wa spika Kazi?
 
kilokiki

JF-Expert Member
May 3, 2016
1,366
2,000
Huyo mwenyekinga ya kutoshitakiwa akiridhia jambo lolote atalikingia kifua na hakuna chochote kitakachotokea.

Anamamlaka makubwa mno ndio maana nyerere aliliofia hilo na akadai kwa katiba tukipata raisi kichwa maji tumekufa

Mi naona watu mnapiga kelele tu kila siku ambazo hazizai matunda

Kama mnataka mabadiliko anzeni na katiba bila ya hivyo ni kumpigia mbuzi gitaa kwani mfumo wa katiba unamfanya raisi kutuongoza anavyotaka na akikipenda kitu lazima kiwe. Hivyo kama ya ndugai yakiridhiwa na raisi hakuna kitakachobadilika

Chukua mfano wa makonda kuitwa bungeni kipi kilichotokea? Waliohusika walifyata mkia
Badilisheni katiba
 
MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Oct 23, 2013
8,864
2,000
Nafikiri it's time now haya maamuzi ya Spika yapelekwe Mahakamani kwenda kupata tafsiri kama ni sawa au la.

Ndugai has completely failed.

Nafasi aliyo nayo ya Uspika needs someone to be humble and not rude kama alivyo..

Alipo pale ni mgonjwa anaweza kuja kudondoka pale sababu ya kuwa too emotional... Mungu epushia mbali.
 
yomboo

JF-Expert Member
May 9, 2015
6,144
2,000
Wanabodi,

Nilipasema Rais wa JMT anaweza Kuondolewa madarakani na Bunge, wengi walibeza kuwa nilikuwa nazungumzia hypothetical situation, yaani kitu ambacho hakipo, nikauliza hakipo vipi wakati kipo kwenye Katiba yetu?, sema haijatokea tukapata rais wa kulazimika Kuondolewa.

Leo ninazungumzia Kuondolewa kwa Spika wa Bunge la JMT. Kuna watu wanadhani mtu akiishachaguliwa kuwa Spika wa Bunge, basi anageuka mungu mtu, anaweza kufanya lolote na asiguswe!. No!. Nafasi ya Spika ipo kwa mujibu wa Katiba, na atatekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Katiba, sheria, taratibu na kanuni, akikiuka na ikathibitishwa amekiuka, Spika anaondolewa!. Swali ni Jee Spika Mhe. Ndugai amekiuka Katiba, sheria, taratibu na kanuni kustahili Kuondolewa? .

Declaration of interest.
Mimi ni muumini wa Katiba, unauhusisha uendeshaji wa nchi kwa mujibu wa Katiba kwa kutumia sheria, taratibu na kanuni.

Naomba kukiri nimekuwa inspired kupandisha bandiko hili kufuatia bandiko hili

Tundu Lissu apinga vikali adhabu ya Mdee na Bulaya,

Tanzania ni nchi inayofuata Katiba kwa kuzingatia misingi ya haki, kuwa "no one is above the law" kumaanisha Katiba ndio the supreme law, hakuna yoyote aliye juu ya Katiba na sheria.

Chini ya Katiba hiyo, tunayo mihimili mitatu, ya Serikali, Bunge na Mahakama ambayo yote inapaswa kuwa huru kwa kutenda bila kuingiliwa na mihimili mingine (independently) lakini wakati huo huo kila mihimili ukiwa na majukumu ya kutenda kwa mujibu wa Katiba, ikitokea mihimili mmoja umekiuka mamlaka yake, then hii mihimili mingine ina jukumu la kuufanyia checks and balance.

Hii inaitwa "the doctrine of separation of powers".

Bunge lina jukumu la kutunga sheria, Mahakama inatafsiri sheria na Serikali inatekeleza sheria.

Serikali inatakiwa kuliwezesha Bunge na Mahakama ikiwemo kulidhibiti Bunge kupitia mamlaka ya rais kuteua mtendaji mkuu wa Bunge ambaye ni katibu wa Bunge.

Serikali inaidhibiti Bunge kwa kuridhia sheria zinazotungwa na Bunge haziwi sheria hadi mkuu wa serikali aridhie, na asiporidhia rais ana mamlaka ya kulivunja Bunge.

Serikali pia inawajibu wa kuihudumia Mahakama kwa kuiwezesha ila pia kulidhibiti kwa kuteua Mtendaji Mkuu wa Mahakama, Jaji Mkuu lakini haiwezi kumuondoa, ila pia serikali inaidhibiti Mahakama kwa kusaini hati za capital punishment.

Bunge kwa upande wake lina jukumu la kuisimamia Serikali na Mahakama kwanza kwa kuitungia sheria, kupitisha bajeti zao, na kuisimamia matumizi yake.

Serikali inapokosea kwa kukiuka mamlaka yake, inashitakiwa Mahakamani au bungeni, na mkuu wa mihimili huu wa Serikali akienda kinyume cha Katiba, anashitakiwa na Bunge na kufukuzwa kazi kupitia "impeachment process"

Kama serikali inaweza kushitakiwa Mahakamani, Mahakama inashitakiwa Bungeni na Serikalini, Jee Bunge haliwezi kushitakiwa Mahakamani?.

Serikali imewahi kushitakiwa mahakamani mara kibao tuu na ikashindwa. Sina kumbukumbu ya Mahakama kushitakiwa nje ya Mahakama, nakumbuka zile kesi za Mtikila, lakini Bunge la Tanzania halijawahi kushitakiwa mahakamani.

Hii ya Bunge kutokushitakiwa kumemfanya Mkuu wa Mhimili huu kujisahau na kujiona mungu mtu hivyo anaweza kutoa maamuzi yoyote hata yaliyo kinyume cha sheria, taratibu na kanuni na asiguswe!.

Adhabu kwa Wabunge Halima Mdee na Ester Bulaya now goes down to history books za Bunge letu kwa mara ya kwanza kushitakiwa mahakamani if at all kesi itafunguliwa kweli.

Kwa kumbukumbu zangu mtu pekee mwenye kinga ya kisheria ya kutokushitakiwa mahakamani ni Rais wa JMT pekee, hivyo serikali Inashitakika, Mahakama Inashitakika swali ni Jee Bunge nalo pia Linashitakika?!.

Mihimili hii ya dola inaongozwa na binadamu ambao sio malaika na wanaweza kukosea, ikitokea wakuu wa mihimili hii kukosea, sheria imeweka utaratibu wa jinsi ya kumuondoa rais, Jaji Mkuu na Spika wa Bunge. Swali ni Jee Spika wa Bunge Job Ndugai aondolewe?.
NB nitarejea na vifungu.
Paskali
Paskali you are truly right

But for that situation it is only if the citizens of that country wangekuwa wako hai na wamesoma

But truly you are talking to the dead people
 
Tetty

JF-Expert Member
Jan 6, 2012
26,387

Naona leo bandugu umekuja na hasira.Bunge letu hili sidhani kama ni Bunge kwa mantiki ya chombo cha kuwawakilisha wananchi watanzania.

Sidhani kama ni Bunge maana limeshindwa kuidhibiti Serikali badala yake Serikali imeidhibiti Bunge kwa 100%.Wabunge wamekuwa ni YES sir,wakisubiri wa waponde wapinzani ili wapate teuzi za Uwaziri (unaibu/full).

Wako pale kupiga kelele za kuipongeza serikali ili waweze kesho kupenyeza jamaa,ndugu na marafiki kwenye system ili waweze kupewa nafasi mbalimbali.

In short Shemeji hatuna Bunge ,tuna kitu kinaitwa Bunge lakini si Bunge labda NEC ya CCM au Mkutano Mkuu wa CCM uliobadilishwa jina kuitwa Bunge
 
Gangongine

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
3,857
2,000
Wanabodi,

Nilipasema Rais wa JMT anaweza Kuondolewa madarakani na Bunge, wengi walibeza kuwa nilikuwa nazungumzia hypothetical situation, yaani kitu ambacho hakipo, nikauliza hakipo vipi wakati kipo kwenye Katiba yetu?, sema haijatokea tukapata rais wa kulazimika Kuondolewa.

Leo ninazungumzia Kuondolewa kwa Spika wa Bunge la JMT. Kuna watu wanadhani mtu akiishachaguliwa kuwa Spika wa Bunge, basi anageuka mungu mtu, anaweza kufanya lolote na asiguswe!. No!. Nafasi ya Spika ipo kwa mujibu wa Katiba, na atatekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Katiba, sheria, taratibu na kanuni, akikiuka na ikathibitishwa amekiuka, Spika anaondolewa!. Swali ni Jee Spika Mhe. Ndugai amekiuka Katiba, sheria, taratibu na kanuni kustahili Kuondolewa? .

Declaration of interest.
Mimi ni muumini wa Katiba, unauhusisha uendeshaji wa nchi kwa mujibu wa Katiba kwa kutumia sheria, taratibu na kanuni.

Naomba kukiri nimekuwa inspired kupandisha bandiko hili kufuatia bandiko hili

Tundu Lissu apinga vikali adhabu ya Mdee na Bulaya,

Tanzania ni nchi inayofuata Katiba kwa kuzingatia misingi ya haki, kuwa "no one is above the law" kumaanisha Katiba ndio the supreme law, hakuna yoyote aliye juu ya Katiba na sheria.

Chini ya Katiba hiyo, tunayo mihimili mitatu, ya Serikali, Bunge na Mahakama ambayo yote inapaswa kuwa huru kwa kutenda bila kuingiliwa na mihimili mingine (independently) lakini wakati huo huo kila mihimili ukiwa na majukumu ya kutenda kwa mujibu wa Katiba, ikitokea mihimili mmoja umekiuka mamlaka yake, then hii mihimili mingine ina jukumu la kuufanyia checks and balance.

Hii inaitwa "the doctrine of separation of powers".

Bunge lina jukumu la kutunga sheria, Mahakama inatafsiri sheria na Serikali inatekeleza sheria.

Serikali inatakiwa kuliwezesha Bunge na Mahakama ikiwemo kulidhibiti Bunge kupitia mamlaka ya rais kuteua mtendaji mkuu wa Bunge ambaye ni katibu wa Bunge.

Serikali inaidhibiti Bunge kwa kuridhia sheria zinazotungwa na Bunge haziwi sheria hadi mkuu wa serikali aridhie, na asiporidhia rais ana mamlaka ya kulivunja Bunge.

Serikali pia inawajibu wa kuihudumia Mahakama kwa kuiwezesha ila pia kulidhibiti kwa kuteua Mtendaji Mkuu wa Mahakama, Jaji Mkuu lakini haiwezi kumuondoa, ila pia serikali inaidhibiti Mahakama kwa kusaini hati za capital punishment.

Bunge kwa upande wake lina jukumu la kuisimamia Serikali na Mahakama kwanza kwa kuitungia sheria, kupitisha bajeti zao, na kuisimamia matumizi yake.

Serikali inapokosea kwa kukiuka mamlaka yake, inashitakiwa Mahakamani au bungeni, na mkuu wa mihimili huu wa Serikali akienda kinyume cha Katiba, anashitakiwa na Bunge na kufukuzwa kazi kupitia "impeachment process"

Kama serikali inaweza kushitakiwa Mahakamani, Mahakama inashitakiwa Bungeni na Serikalini, Jee Bunge haliwezi kushitakiwa Mahakamani?.

Serikali imewahi kushitakiwa mahakamani mara kibao tuu na ikashindwa. Sina kumbukumbu ya Mahakama kushitakiwa nje ya Mahakama, nakumbuka zile kesi za Mtikila, lakini Bunge la Tanzania halijawahi kushitakiwa mahakamani.

Hii ya Bunge kutokushitakiwa kumemfanya Mkuu wa Mhimili huu kujisahau na kujiona mungu mtu hivyo anaweza kutoa maamuzi yoyote hata yaliyo kinyume cha sheria, taratibu na kanuni na asiguswe!.

Adhabu kwa Wabunge Halima Mdee na Ester Bulaya now goes down to history books za Bunge letu kwa mara ya kwanza kushitakiwa mahakamani if at all kesi itafunguliwa kweli.

Kwa kumbukumbu zangu mtu pekee mwenye kinga ya kisheria ya kutokushitakiwa mahakamani ni Rais wa JMT pekee, hivyo serikali Inashitakika, Mahakama Inashitakika swali ni Jee Bunge nalo pia Linashitakika?!.

Mihimili hii ya dola inaongozwa na binadamu ambao sio malaika na wanaweza kukosea, ikitokea wakuu wa mihimili hii kukosea, sheria imeweka utaratibu wa jinsi ya kumuondoa rais, Jaji Mkuu na Spika wa Bunge. Swali ni Jee Spika wa Bunge Job Ndugai aondolewe?.
NB nitarejea na vifungu.
Paskali
Kaka Paskali. Hoja yote hii ni kwa sababu za adhabu ya Kina Bulaya na Mdee?
 
Tetty

JF-Expert Member
Jan 6, 2012
26,387
2,000
Umeandika vizuri ingawa nina wasiwasi na kushtakiwa kwa bunge.Nahisi bunge linaweza kustakiwa kwa mfano limeshindwa kumlipa mzabuni lakini si kwa maamuzi ndani ya bunge.

Kinachoweza kuombwa toka mahakamani ni tafsiri ya kanuni au sheria katika jambo lililofanywa ndani ya bunge.

Kwa hili la Ndugai na wabunge wawili binafsi naona Ndugai kachemka mnooo.Ghadhabu ilimjaa na tayari alishakuwa na maamuzii mdomoni na busara ikashindikana.

Nawaza tu,hivi Ndugai angesema hivi,"Mheshimiwa Mnyika nimemsikia aliyekuita mwizi lakini naomba uendelee kuchangia wakati taratibu zingine zikifanyika".Angepoteza nini?

Tunaambiwa tunajenga nyumba moja na tusigombee fito lakini si kweli,tunagawanyika katika kasi ya ajabu!!

Hivi ule umoja wa kinamama wabunge bado upo?
Ulishavunjika siku mtoto wa Celina Kombani alivyowatukana wabunge waupinzani na Naibu Spika na mwenyekiti wa wanawake wa Bunge akajisahau akapiga makofi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom