Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Dkt. Akandunduma anasema kibaiolojia kuna watu wanazaliwa wakiwa na roho ya ushawishi ndani yao ( God gifted) na huyo ndio Freeman Mbowe anayemjua. Dkt. Akandunduma anasema fikiria huyu Mbowe...
7 Reactions
14 Replies
1K Views
Kampasi ya Chuo cha Utumishi wa Umma tawi la kanda ya ziwa kitajengwa wilayani Chato, amethibitisha waziri wa utumishi wa umma George Mkuchika. Kwa mujibu wa Mkuchika ni kuwa amejiridhisha kuwa...
10 Reactions
53 Replies
10K Views
Siku zote msamaha anaombwa aliyekosewa. Kwa kila mwenye akili, mkweli wa nafsi, anayemtumikia Mungu wa kweli, na mwenye Roho wa Mungu, hawezi kusita wala kuwa na kigugumizi kutamka kuwa Mh. Mbowe...
11 Reactions
24 Replies
2K Views
Mojawapo ya sifa za msingi za uzalendo ni kuziishi mila na desturi za ama nchi yako au chama chako au kikundi chako chochote unachoamini katika falsafa na maslahi yake. Wafuatao ni makada nguli wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Katika maisha huwa kuna mambo yaliyowahi kukukera kuliko yote, mambo yaliyowahi kukusikitisha kuliko yote, na pia huwa yapo yaliyowahi kukufurahisha au kukupa faraja kuliko yote. Vyovyote iwavyo...
18 Reactions
44 Replies
3K Views
Hapo zamani, enzi za akina Jaji Nyalali, Augustino Ramadhani, Rugakingira, Jaji Warioba, ukisikia jaji anasema kitu, unakaa chini ili usikie anasema nini. Kama ni gazeti, lazima utanunua ili ujue...
17 Reactions
27 Replies
2K Views
Bandugu nawasabh nikitokea Mutukula,hapa mpakani mwa Tanzania na Uganda. Wenyeji wa hapa hawapendi kupaita Uganda wanapaita Yuganda, ukifika hapa Kuna mutukula ya Magufuli na Mutukula ya Mseveni...
8 Reactions
68 Replies
6K Views
Kwasababu malipo ni hapa hapa duniani, basi hilo litakuja kutimia huku Mama akishuhudia na wakati huo akiwa hana tena Mamlaka na nguvu alizonazo leo hii. Kama si Mama, basi ni wale walio nyuma ya...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Katika Hali ya kushangaza Askari polisi ,Meshack Laizer aliyepandishwa cheo Na IGP Simon Siro Disemba 22,2019 jiji Arusha Kwa kukataa Rushwa ya sh,milioni kumi ,amevuliwa vyeo vyote rasimi baada...
17 Reactions
86 Replies
10K Views
Miaka kadhaaa iliyopita na Sasa ni miezi kadhaaa, alimashauri ya Sengerema, ilikuwa ikipata pesa na kuzikopesha kupitia chama Cha ushirika wa Akiba na Mikopo Uzinza Saccos kilichopo hapo Sengerema...
3 Reactions
1 Replies
610 Views
Tumeendelea kuwa na viongozi wengi ambao wao wakiona unakinzana na maoni au maslahi Yao wapo tayari kutumia mbinu zozote aidha wakuondoe au wakufanye unyamaze. Wao kwao siyo Kila uhai ni wa...
10 Reactions
12 Replies
1K Views
Huu mwaka haukuwa mzuri sana kwa taifa letu maana tumepoteza ndugu na viongozi wetu. Wengine baada ya kuondoka na kuaga dunia yameibuka mambo mengi. Sasa kila mtanzania anayepinga ufisadi na...
2 Reactions
7 Replies
869 Views
Hajasikika kwa muda mrefu huyu mwanasiasa nguli ambaye wengi humfananisha na Tundu Lissu awapo mbele ya media akiongelea maamuzi mbalimbali ya CHADEMA. Yuko wapi Kamanda Tumaini Makene? Jumaa kareem
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Hizi ni salamu mchanganyiko kutoka vitengo mbali mbali, ikiwemo Bavicha na Chadema Digital, ni salamu za baraka kutoka Chadema kwenda kwa Wananchi wote wapenda haki tu. Hizi ni salamu kwa wale...
15 Reactions
40 Replies
3K Views
Hivi karibuni nilitoa maoni yangu kupitia humu Jamiiforums kuhusu Waziri wa Nishati January Makamba na mienendo yake kuhusu TANESCO. Kama anavyosema Jenerali Ulimwengu yawezekana kweli Tanzania...
32 Reactions
85 Replies
7K Views
Hakuna tamasha Wala mkesha mkuu wa Christmas mwaka huu. Je, umezuiwa au utengamano wa waandaji umetingishwa? Kesho ni Chrissmas, Misa kuu Kitaifa itakuwa na kiongozi wa Kitaifa au ndo tutasali...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwa maana tumepewa mtoto wa mwanamme na uweza wa kifalme utakuwa juu yake naye ataitwa jina lake Emmanuel. Leo inategemewa askofu Gwajima na viongozi wengine wa dini watatembelea gereza la Ukonga...
6 Reactions
48 Replies
4K Views
Naomba kumuuliza Mhe. Zitto kama ameshiriki kuunda hii timu iliyotajwa na Msajili au Msajili Kwa namna alivyoona inafaa ndiye kaja na wajumbe wake? Mwenyekiti wa timu hii kweli tunaamini ni mtu...
7 Reactions
75 Replies
6K Views
Wewe ndiwe Petro na juu ya Mwamba huu nitalijenga Kanisa langu wala milango ya kuzimu haitalishinda. Merry Christmas Freeman Mbowe. Merry Christmas watu wote wenye mapenzi mema Siasani. Mungu...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Jaji Maarufu kimataifa Mhe. Joseph Sinde Warioba ameweka rekodi ya kipekee kwa kuongoza Tume mbili za Rais katika historia ya JMT na katika historia ya Majaji wa Tz. Tume yake ya kwanza ilikuwa ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom