Kwa viongozi, wanachama na wafuasi wa Chama chetu na Watanzania wote kwa ujumla,
PEOPLE'S
Naomba nianze kwa kuwapa salamu za msimu huu wa Sikukuu ya Noeli na kuwatakia kila lenye kheri katika...
Hali ya wanaCCM kuogopa kujiita wanaCCM kujiita wanaCCM imerudi tena baada ya baadhi ya wanaCCM kwa makusudi kabisa kuamua kunajisi taswira na jina la CCM mbele ya jamii.
Jamii imeanza kupata...
MAMA ANAUPIGA MWINGI SANA ENEO HILI LA WATUMISHI.
Na Thadei Ole Mushi.
Serikali imeanza kulipa madeni kwa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) ili Wastaafu wasisumbuke kupata...
Hii dhana kuwa Jeshi linapokuwa na utii ni matokeo ya viongozi wa juu wa Jeshi huwa inanifanya nijiulize kama huo ndio ukweli, mtu kama Samweli Doe aliwezaje kuongoza mapinduzi ya kijeshi akiwa na...
Kwanza nawatakia sikukuu njema wakristo na watanzania wote kwa ujumla .kuelekea kuadhimisha sherehe ye krismas hapo kesho,Kuna tofauti gani unayoiona Kati ya mwaka huu na Miaka mitano iliyopita...
Katibu wa NEC CCM mzee Lubinga nawe unaingia kwenye mtego ambao Chongolo anataka kuingia bila kujua mnaweza kujinasuaje.
Haya masuala kwa nini yawe leo? Hizo shule za wazazi ziliuza miaka mingi...
Kuna nyuzi nyingi mno humu hasa za mataga zikimshauri Rais Samia asimwachie huru Mbowe.
Kosa yote usikose akili, mataga hayajui kuwa Rais haruhusiwi kisheria kuingilia Mahakama, shauri la Mbowe...
Kuna sababu nyingi sana za kuwaambia kua mtakwama sana kukivuruga chama na serikali, sababu kuu ni hizi;
1.Ninyi ni wageni kwenye chama hamjui historia na itikadi za chama nyie.
2.Mmejaa visasi...
Katiba ni mali ya wananchi. Jitihada za kutufikisha kuliko haki haziwezi kufanyikia gizani.
Hii mambo ya kina TCD na kina Zitto haziwasimamishi wasioridhika nazo kuchukua mwelekeo mwingine...
CCM Ina wazee wa Chama kibao waliofanya makubwa nchi hii lakini wengi wa watoto wao hawana political future wakiwemo akina Nape ,fatuma karume akina Makamba ,Makongoro Nyerere,Ridhiwani Kikwete Nk...
Ukiona watu kama GWAKISA bado wako ofisini ndio maana Kuna wakati unaona wazi KABISA CCM kweli imeshindwa kuongoza hv kweli serikali makini inaweza kuwa inatembea na mla Rushwa?
Hivi mtumishi...
Wasielewa waelewe hili;
Kwamba, CCM ni chama cha siasa kama vilivyo vyama vingine vyote hapa nchini kwa maana ya CHADEMA, CUF, NCCR Mageuzi, ACT WAZALENDO nk nk.
Malengo ya chama chochote cha...
Bila kupepesa macho,na bila kuhangaika na itikadi za vyama,na pia ukiachana na uchambuzi wa kitaalamu,awamu ya Mzee Mwinyi na awamu ya kikwete,ndizo awamu ambazo mwananchi wa kawaida alifurahia...
Sina mengi ,kwanza niwasalimu, wanajf popote mlipo, KILA mmoja KWa imani yake.
Pili niende kwenye mada moja kwa moja
Tanzania tunavyama vingi Kama sio utitiri vinanvyo simamia taaluma flani...
Mifumo yetu yote yakijasusi na kiraia imekosa au imepungukiwa watu wenye akili na kukaliwa na watu wenye nguvu. Watu wenye akili hata wakizeeka au kuugua still wanaweza kutoa strategies...
Jana nimepima nikakukutwa na virusi vya Korona (COVID 19). Sina maumivu yoyote mpaka sasa zaidi ya mafua tu lakini nimekutwa positive.
Chanjo imesaidia kutopata madhara makubwa. Nimekaa eneo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.