Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nawatakia Watanzania wote Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya. Tusherehekee kwa furaha, amani, utulivu na kiasi. Tuendelee kuwa wamoja katika mwaka 2022, tukifanya kazi kwa weledi wa hali ya juu, kwa...
9 Reactions
102 Replies
8K Views
1. Nimemsikia Mheshimiwa Waziri Simbachawene akimuelekeza Kamanda wa polisi mkoa wa Dar amtafute Askofu Mwingira na kumhoji kutokana na kauli alizozitoa jana kanisani kwake. 2. Wiki mbili...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Kiongozi wa dini ni kiungo cha jamii. Hapaswi kuwa mrengo wa kulia au kushoto (katika kujenga jamii moja). Hivyo ni muhimu mno kwa kiongozi wa dini atumie vema ulimi wake ili mwisho wa siku utoe...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Japokuwa Chadema wametoa umuhimu mkubwa kwa mahubiri ya nabii Mwingira na kusahau kabisa ujumbe wa mwenyekiti wao Freeman Mbowe, watu makini tunaona walau Mbowe ameongea kitu muhimu kwa Krismas...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Arusha Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya amesema alinusurika kuuawa mara mbili akiwa katika wadhifa huo na kuwa mkimbizi katika nchi yake kwa sababu ya sababu...
7 Reactions
112 Replies
11K Views
Wanasiasa tunao, Wananchi wa kawaida tunao, lakini Viongozi wa Dini hatuna. Tunahitaji viongozi wa dini kama Viongozi wa dini, wasio Viongozi wa dini wanachama wa vyama vya siasa Tunahitaji...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Mwakikagile's books are used in various academic disciplines up to the post-graduate level including doctoral studies. He has also been invited to give lectures at different colleges and...
1 Reactions
0 Replies
746 Views
Uchaguzi huu umekwisha na Upinzani unapaswa kucheza karata zake vizuri ili kuepusha majanga mengine mwaka 2025. Kelele za kutaka uchaguzi urudiwe hazitozaa matunda sasa ambapo hata maandamano tu...
5 Reactions
55 Replies
4K Views
Kamati ya Maudhui ya TCRA imesema kipindi cha Shule ya Uongozi cha Mbunge Humphrey Polepole kinatolewa pasipo kuzingatia misingi, sheria na kanuni za huduma ya utangazaji. Kamati imeongeza kuwa...
26 Reactions
173 Replies
13K Views
Nimeshangazwa sana Kuona CCM na JAJI Mtungi wanaunda KIKOSI kazi cha Kuunda TUME HURU YA UCHAGUZI. Watanzania nadhani MNAKUMBUKA Vizuri Chama cha UPINZANI CHADEMA kimekuwa kinalalamika Uwepo wa...
7 Reactions
15 Replies
1K Views
Mipango yako unaipanga wewe, elewa changamoto za wivu zipo kwenye maisha. Good morning JF. Mod I expect you to delete this nonsense if not I can live with the message. Happy new year JF
1 Reactions
5 Replies
876 Views
Mojawapo ni Star Tv pia YouTube channels zote na magazeti. Vyombo vingine vipelekewe taarifa ya tahadhari, hasa vinavyorusha matangazo ya wachungaji wahuni wahuni
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Nikiangalia wapiganaji wa hiki chama ,napata picha kwamba siku chadema ikishika madaraka,viongozi waandamizi watatoka mikoa ifuatayo. 1.kilimanjaro 2.Mara 3.Arusha 4.Mwanza 5.kagera 6.Mbeya 7.Iringa.
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Msemaji wa Latra amesema treni iendayo Moshi imeongeza abiria hadi kufikia 1500 kwa safari moja baada ya kuonekana abiria ni wengi sana Hii maana yake ni kuwa abiria ambao wangesafirishwa na...
22 Reactions
59 Replies
4K Views
Ingawa wanajiona kuwa wao CCM ni smart katika kupindisha uwepo wa Tume huru na Katiba mpya ,ukweli kuchelewesha au wao kukataa kulitekeleza hili ni pigo kubwa kwao msimu unapobadilika. Tumewaona...
1 Reactions
1 Replies
545 Views
Katika moja ya mistake kubwa ilifanyika ni kuanza harakati za Katiba Mpya wakati wanachama wameparaganyika. Enzi za Mwendazake ilikua kufanya siasa ni dhambi kiasi ambacho wengi ya wapinzani...
3 Reactions
5 Replies
756 Views
Kutokana na siasa zetu za kutowajali wenzetu kifo cha Askofu Tutu ni kama cha mtu yeyote yule! Tukumbuke chini ya ubaguzi Askofu Tutu aliishi eneo la weupe tu lakini hakuthamini maisha hayo bali...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Kila mwisho wa mwaka wakazi wa kaskazini huhangaikia usafiri wa kwenda makwao, pamoja na hilo kuwa ni utamaduni lakini viongozi wa TRC huwa hawaliandai shirika lao kubeba abiria! Je, ni makusudi...
1 Reactions
5 Replies
627 Views
Jana kwenye MAHOJIANO NA kipindi cha msumari wa Moto kinachorushwa na WASAFI TV mheshimiwa Humphrey Polepole kazungumza nje ndani Yani Kwa kizungu ndo kusema Black and White kuhusiana na Hali ya...
7 Reactions
71 Replies
7K Views
Kichwa cha habari kinajieleza , wewe ndio nembo na taa halisi ya ukombozi , sina haja ya kurejea yote yanayofahamika juu yako . Umeifanya Chadema kuwa Chama cha watu wote kabisa na sasa...
21 Reactions
53 Replies
3K Views
Back
Top Bottom