Siku Chadema ikishika madaraka,viongozi waandamizi wa serikali watatoka mikoa hii.

kyanyangwe

JF-Expert Member
Oct 31, 2018
1,147
2,746
Nikiangalia wapiganaji wa hiki chama ,napata picha kwamba siku chadema ikishika madaraka,viongozi waandamizi watatoka mikoa ifuatayo.
1.kilimanjaro
2.Mara
3.Arusha
4.Mwanza
5.kagera
6.Mbeya
7.Iringa.
 
sijui kwa nini chadema inawakosesha raha maccm? kwa sasa chadema ikitajwa tu maccm roho juu.
Kwakuwa wamesimama upande washetani na wenzao wamesimama upande wa haki, ni kama vile ilivyo mafuta na maji havichangamani🤔.
 
Nikiangalia wapiganaji wa hiki chama ,napata picha kwamba siku chadema ikishika madaraka,viongozi waandamizi watatoka mikoa ifuatayo.
1.kilimanjaro
2.Mara
3.Arusha
4.Mwanza
5.kagera
6.Mbeya
7.Iringa.
Yaani kutoa mada hapa bila ya kuandika CHADEMA unaona kabisa itasusiwa!middle class wangu amka its 21st century now ukabila ni mambo ya stone age hayo.
 
sijui kwa nini chadema inawakosesha raha maccm? kwa sasa chadema ikitajwa tu maccm roho juu.

Hizi kauli mbiu hazina tija tena, kuna haja ya kuja Na kauli Mpya zenye ujumbe wa tofauti ila hizi zimepitwa Na wakati
 
Mmeanza na kugawana madaraka kabisa.
Mtaweza kuwatumikia wananchi kweli nyie?
Bora hawa wanaotoa trailer la movie yao mapema kuliko hawa waliopo ambao mpaka mtu akae pale ndipo anajaza wa kutoka kwao, hebu angalia...
 
Yaani kutoa mada hapa bila ya kuandika CHADEMA unaona kabisa itasusiwa!middle class wangu amka its 21st century now ukabila ni mambo ya stone age hayo.
Vpi wao kutoa mada bila kumwongelea Magu ingawa alishaoza siku nyingi,huwa unaona inakuwa na mashiko
 
Ni vitu viwili tofauti,ukabila ni sumu ya umoja wa Taifa lolote regardless utofauti wa kiitikadi,Magu kaacha legacy mbaya mno nchini na tulifikia mahala tukawa hatuzikani,why nchi hii haina role models wenye moral na uchungu wa binadamu mwenzako?humu jukwaani tulikua na member mwenzetu Saanane,hivi wewe ulishawahi kujiuliza what happened to him ?dunia nzima inamlilia Archbishop Desmond Tutu sasa na hii inaonyesha kuwa alikua ni moral compass ya maisha .Magu mwache aoze maana kauzosha wengi tu(viroba vya maiti pale coco beach DSM(
 
Una ushahidi wa Ben saanane?
 
Nikiangalia wapiganaji wa hiki chama ,napata picha kwamba siku chadema ikishika madaraka,viongozi waandamizi watatoka mikoa ifuatayo.
1.kilimanjaro
2.Mara
3.Arusha
4.Mwanza
5.kagera
6.Mbeya
7.Iringa.
Mikoa hiyo inatosha sana kutuwakilisha katika uongozi ko hakuna tatzo
 
Back
Top Bottom