1. Nimemsikia Mheshimiwa Waziri Simbachawene akimuelekeza Kamanda wa polisi mkoa wa Dar amtafute Askofu Mwingira na kumhoji kutokana na kauli alizozitoa jana kanisani kwake.
2. Wiki mbili zilizopita Zitto Kabwe kupitia mitandao ya kijamii alitanabaisha kumjua Kijana aliyechoma shamba lake la mikorosho na nyumba yake. Alidai kuwa kijana huyo alitumwa na serikali ya awamu iliyopita.
Haya mambo mawili yanafanana lakini nimeshangaa kuona mmoja atahojiwa na Polisi lakini mwingine hakuguswa hata kidogo.
Zitto anatumiwa na serikali kufifisha mada zinazokuwa threat kwa mhimili? Au anatumia uchawi wa Kigoma?