Hatuhitaji Viongozi wa Dini ambao ni Wanachama wa vyama vya siasa

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Wanasiasa tunao, Wananchi wa kawaida tunao, lakini Viongozi wa Dini hatuna.

Tunahitaji viongozi wa dini kama Viongozi wa dini, wasio Viongozi wa dini wanachama wa vyama vya siasa

Tunahitaji Viongozi wa dini watakaoshughulika na siasa za Tanzania na sio Viongozi wa dini Wanachama wa vyama vya siasa vya Tanzania

Kiongozi anayeweza kujihusisha na siasa za Tanzania zenye mlengo wa Katiba ya nchi na ustaarabu wa Kiungu tu na siyo siasa ya vyama

Soma tena utanielewa tu...
 
Kati ya mambo liyosema mch. Mwingira ni lipi siasa bainisha moja baada ya lingine
 
Mwingira anayo haki ya kikatiba kuongea kama mwananch.
Ila Gwajima yeye hana?

Ni sawa na Vodacom walivyotoa siri kesi ya Sabaya watu mlishangilia na kukaa kimya.

Kwenye kesi ya Mbowe , Tigo walipofanya hivyo ikawa nuksi, zikaanzishwa kampeni za kataa line za Tigo na kuhojiwa kwanini wanatoa siri za wateja wao.

Dah noma Sana!!
 
Wanasiasa tunao, Wananchi wa kawaida tunao, lakini Viongozi wa Dini hatuna.

Tunahitaji viongozi wa dini kama Viongozi wa dini, wasio Viongozi wa dini wanachama wa vyama vya siasa

Tunahitaji Viongozi wa dini watakaoshughulika na siasa za Tanzania na sio Viongozi wa dini Wanachama wa vyama vya siasa vya Tanzania

Kiongozi anayeweza kujihusisha na siasa za Tanzania zenye mlengo wa Katiba ya nchi na ustaarabu wa Kiungu tu na siyo siasa ya vyama

Soma tena utanielewa tu...
Mene, tekeli na peres i juu yenu.
Hamjui kesho yenu!!
 
Wanasiasa tunao, Wananchi wa kawaida tunao, lakini Viongozi wa Dini hatuna.

Tunahitaji viongozi wa dini kama Viongozi wa dini, wasio Viongozi wa dini wanachama wa vyama vya siasa

Tunahitaji Viongozi wa dini watakaoshughulika na siasa za Tanzania na sio Viongozi wa dini Wanachama wa vyama vya siasa vya Tanzania

Kiongozi anayeweza kujihusisha na siasa za Tanzania zenye mlengo wa Katiba ya nchi na ustaarabu wa Kiungu tu na siyo siasa ya vyama

Soma tena utanielewa tu...
Ukiwa kiongozi wa dini unapoteza haki ya kuwa mwananchi?
 
Wanasiasa tunao, Wananchi wa kawaida tunao, lakini Viongozi wa Dini hatuna.

Tunahitaji viongozi wa dini kama Viongozi wa dini, wasio Viongozi wa dini wanachama wa vyama vya siasa

Tunahitaji Viongozi wa dini watakaoshughulika na siasa za Tanzania na sio Viongozi wa dini Wanachama wa vyama vya siasa vya Tanzania

Kiongozi anayeweza kujihusisha na siasa za Tanzania zenye mlengo wa Katiba ya nchi na ustaarabu wa Kiungu tu na siyo siasa ya vyama

Soma tena utanielewa tu...
Viongozi wa dini kama hawa hatuwahitaji
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom