Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Moto hauzimwi kwa petroli, Moto unazimwa kwa maji, mchanga na vitu ambavu si vilipuzi. Serikali ndio mlinzi wetu kwa kutumia vyombo vyetu vya usalama. Kwa vyovyote vile, haiingii akilini mtu...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Askofu Josephat Mwingira asema Raisi wa awamu ya tano atatoka nje ya madhehebu ya katoliki na uislam. Pia askofu huyo mwenye makanisa kila pande ya nchi na wafuasi lukuki aliendelea kusema...
5 Reactions
144 Replies
23K Views
Ni njia zipi unaweza zitumia kuwadhibiti na kukamata mafisadi, wala rushwa, na wahujumu uchumi hata kabla hawajavamia fedha za umma. Fuatana na mimi. Ili kuweza kupambana na fisadi, ni lazima...
1 Reactions
6 Replies
618 Views
JF ndio tegemeo la Dunia la kufichua yaliyofichwa , naomba yeyote mwenye video ya mahubiri ya Baba Askofu Mwingira alioyatoa leo, yanayosemekana ni mahubiri makali kupita yote ya maaskofu ya kudai...
38 Reactions
186 Replies
15K Views
Akiwa mbele ya Rais Magufuli mwaka 2018 Nabii Josephat Mwingira alitamka haya " nilitumia miaka 15 kumlilia Mungu atuletee mtu atayeipenda Tanzania mtu atakayewapenda watanzania Mungu ametuletea...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Maneno hayo ameyatoa Mtume na Nabii wa kanisa LA Efatha Ministries Josephat Mwingira Leo Jumapili katika ibada kanisani kwake iliyopo Mwenge. Sababu hasa ya kutoa kauli hiyo in Serikali...
1 Reactions
106 Replies
22K Views
Silaha ya mwanadamu ni fikra na katika historia ya maendeleo ni fikra mpya ndio zilizofikisha wanadamu tulipo leo katika kuelezea maendeleo yetu. Majuzi tumepeleka ‘James Webb’ telescope zaidi ya...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Mimi nimpenzi sana wamaswala ya kisiasa, popote pale huwa sijitengi na shughuli za kisiasa, lakini jambo lakushangaza tangu nimeripoti chuo X nimeona ni UVCCM tu wanakuja madarasani kutafuta new...
1 Reactions
6 Replies
956 Views
Mchungaji mwingira wa kanisa la efatha mwenge, LIVE kutoka kanisani kwake kupitia channel yake ya TRENET. Anazungumzi Uzao wa kishenzi na wa kiungwana, katika kuzungumzia somo hilo ametamka pia...
1 Reactions
55 Replies
7K Views
Wana JF, Chanzo gazeti la NYAKATI Jumapili. Hongera Askofu.
0 Reactions
27 Replies
22K Views
Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi. Mwaka 2012 kulitokea jambo la kushangaza sana ndani ya CHADEMA lakini kama kawaida makada wa Chama Cha Mbowe walitetea na kutukana mno yeyote aliyekuwa...
0 Reactions
0 Replies
513 Views
Jana kwenye ibada ya mkesha wa kuupokea mwaka mpya uliooneshwa live star TV, Waziri Nyalandu alijitokeza wazi na kuongea kikampeni akiomba waumini wa dini ya Efata kumchagua kuwa Rais. Isitoshe...
1 Reactions
174 Replies
28K Views
Simbachawene anachagua matukio yanayomfurahisha yeye na waliompa mkate. Halafu anayasherehesha kwenye vyombo vya habari ili aonekane yuko serious na kazi. Simbachawene yuko dunia gani? Hajasikia...
6 Reactions
24 Replies
1K Views
Hivi ndivyo intuition yangu inavyonieleza kuwa Mwendzake alikuwa anataka kumshughulikia au kumkwamisha Mteule wa Mungu ambae ndio angekuja kumrithi. Kwa maneno mengine, Mungu kamuwahi ili mtu...
8 Reactions
14 Replies
1K Views
MSAMAHA WA RAIS KWA WAFUNGWA KATIKA KUADHIMISHA MIAKA 60 YA UHURU WA TANZANIA BARA TAREHE 09 DESEMBA 2021 Tarehe 09 Desemba, 2021, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeadhimisha miaka...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Waziri wa afya Dr Gwajima amesema katika watu 10 wanaokufa kwa ugonjwa wa Corona 7 wanakuwa hawajachanjwa na 3 tu ndio waliochanjwa. Utafiti unaonyesha hata hao watatu waliochanjwa hufariki kwa...
9 Reactions
79 Replies
6K Views
Mama yetu mpendwa kabisa mwenye maono, msikivu, mchapakazi na mcha Mungu Mama Samia Suluhu. Ninajua hapo ikulu una list ya wauza madawa wote wakubwa nchi hii, ni kweli wengi wapo jela Ila bado...
3 Reactions
42 Replies
2K Views
Mengi yameongelewa kwenye kesi hii ya Mbowe na tuhuma za ugaidi (wao wanasema makosa ya ugaidi). Kesi hii imevuta mahakama tatu, na mbili kati ya hizo zimeshatoa hukumu ni moja tu ndio bado...
4 Reactions
0 Replies
950 Views
Kwa mujibu wa katiba, Tume ya Uchaguzi ambayo ndio inayotoa uhalali wa Mamlaka ya watawala, inateuliwa na Rais, je kimantinki na kiuhalisia ni sawa Rais ambaye naye ni mmoja wa wagombea...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Back
Top Bottom