Kuzorotesha kuwepo kwa Tume huru ya Uchaguzi na katiba mpya Ugumu wao Utawamaliza CCM

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,942
3,819
Ingawa wanajiona kuwa wao CCM ni smart katika kupindisha uwepo wa Tume huru na Katiba mpya ,ukweli kuchelewesha au wao kukataa kulitekeleza hili ni pigo kubwa kwao msimu unapobadilika.
Tumewaona akina Nape,Lowasa Kinana ,Polepole ,Bashiru na wengi tu ,ambao sasa wanateseka na kutokuwepo kwa Katiba Mpya na pia Tume ya Uchaguzi,maana Chama walichokuwa wanakilinda kwa kila hila ikiwemo kuzuia mabadiliko ya tabia nchi ya Katiba mpya,Tume huru.

Tunaona Maraisi wastaafu wanavyodhalilika kwa kujichomeka kwenye utawala ambao kwa sasa walitakiwa wapumzike wakila bata raha mustarehe ila kwa katiba iliyopo wakikaa pembeni tu watashughulikiwa vilivyo.

Angalia kule Zanzibar kama mnawajuwa maspika wa Baraza la wawakilishi wastaafu, leo hii wamekuwa hohe hahe ,ubabe wote waliokuwa nao leo haupo ,wanadhalilika mabarabarani ,yote katiba iliyopo haiwapi kipau mbele cha kutunzwa,wakimaliza wanakuwa wapo wapo tu wamebanwa hawawezi kujinafasi ,maana watashughulikiwa.
CCM kubalini mabadiliko ya Tabia nchi kuwepo na katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi ,vinginevyo mkistaafu tu mtakiona kilichomfanya safari hii sio kuku, ni bata kutembea upande upande.
 
Ngoja tuone!

Screenshot_20210523-214312.png
 
Back
Top Bottom