Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Anajua akimchafua Magufuli labda atapata kiki maana sasa wapinzani na wanaCcm kwa ujumla walishamchukia na kumuona ni tapeli la kisiasa lenye kujali matumbo yake. Amejaribu kuonyesha na kuchambua...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Unapouliza mapungufu kwenye masuala ya demokrasia yetu nchini ni rahisi sana kusikia kuwa demokrasia yetu bado ni changa sana ukilinganisha Na nchi za marekani Na ulaya, hivyo bado tunajifunza...
15 Reactions
28 Replies
2K Views
Nimemsikiliza Jumanne Muliro Naona kama amepaniki na tayari anahukumu badala ya kuonesha nia ya kufahamu ukweli anapomwita Askofu Mwingira kufika polisi kufanya mahojiano juu ya kauli yake...
19 Reactions
39 Replies
4K Views
Imekuwa mazoea sasa ambapo watu wanaopata huduma ya Dialysis pale Bugando kushindwa kufanyiwa huduma kwa kuambiwa kuwa vifaa havipo au havijafika. Wagonjwa wa Dialysis idadi yao inajulikana na...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mithili ya Kigogo!! Ndugu Zitto Kabwe alipotakiwa kutoa maelezo ya Ushahidi wa uwepo wa mauaji ya watu yaliyofanywa huko Kigoma alishindwa au kugoma. Ikumbukwe huu ulikuwa ni mmojawapo wa uzushi...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
"...ni ajabu kama yote hayo alitendewa na bado hakuwasilisha malalamiko kwenye vyombo vya dola inaleta ukakasi." "...hivi kweli utendewe yote hayo muda wote huo ndiyo usubiri hasi Krismasi...
11 Reactions
115 Replies
11K Views
Askofu Gamanywa amemuomba waziri wa mambo ya ndani mh Simbachawene aishauri serikali iunde chombo cha kusimamia maadili ya viongozi wa dini kama ilivyo Tume ya Maadili ya Watumishi wa Umma...
2 Reactions
71 Replies
6K Views
Hizo tuhuma ni nzito kwa Chadema kutoka kwenye andiko lake hapa jf. Chadema kunasabaishwa na kilichopata kutuhumiwa ni chama cha kigaidi cha RENAMO cha huko Msumbiji ni jambo linalo fikirisha...
5 Reactions
57 Replies
4K Views
Mimi nikiulizwa nitaje uwendawazimu uliofanywa na watu wasio wendawazimu nitataja vihoja vya chaguzi mbili tatu ambazo wagombea kutoka chama cha Mapinduzi (CCM) kupita bila kupingwa. Ule ulikuwa...
11 Reactions
26 Replies
2K Views
kuna tetesi ambazo kila mahali zinazimwa kwamba kuna viongozi wakuu wa upinzani waliopata mgao,kama taifa tuna haki ya kuwajua
0 Reactions
58 Replies
6K Views
Uongozi wa magufuli wa awamu ya tano umeacha madoa na makovu mabaya sana katika historian ya taifa letu. Ni kweli alijenga miundo mbinu lakin mabaya aliyoyafanya yanafunika hayo mazuri. Imagine...
18 Reactions
106 Replies
6K Views
Waziri wa mambo ya ndani anajifanya ana tahamaki eti Askofu Mwingira mambo anayosema ni mazito. Anasema serikali wanataka waingize kwenye record. Usijaribu kufukua mashimo marefu kuliko uwezo wako...
14 Reactions
19 Replies
2K Views
Nakumbuka, takriban miaka 4 iliyopita, mtu anayejiita Nabii na Mtume, Josephat Mwingira, ambaye aliwahi kutamka kwamba kabla ya “kuokoka” alikuwa jambazi sugu, aliwafanyia unyama wa kutisha...
9 Reactions
60 Replies
10K Views
Polepole ni kati ya wale vijana ambao walifikiri wana nguvu kuliko walionayo. Sasa amefikia wakati eti wa kutoa elimu ya uongozi!! Elimu gani ya uongozi? 1. Kwenye tume ya katiba kwanza alienda...
3 Reactions
7 Replies
890 Views
Kipindi Live TRENET: Mtume na Nabii Josephat Mwingira katika mahubiri yake ameeleza kuwa yeye kama mtumishi wa Mungu anatangaza kuwa walioko madarakani mafisadi na wapiga mabomu mwisho wao ni...
10 Reactions
111 Replies
17K Views
Bonge la uwasilishaji hakika Tundu lisu nje ya mambo machache yanayo mkosesha heshima lkn ni mtu anayefahaa sana kuwa kiongozi tena mkubwa. Jamaa ni mtaalam sana wa kujenga hoja tatizo lake ni...
10 Reactions
17 Replies
2K Views
Haya anayasema saa hii wakati anatoa mahubiri yake hapa kanisani. Anadai ameonyeshwa serikali wamemtuma mtu aje hapa kanisani ku spy ndipo alipoanza wewe uliyetumwa ni mshenzi na mambo yako ni...
5 Reactions
212 Replies
35K Views
Naangalia kipindi cha mahubiri trenet tv huyu jamaa anahubiri anasema kuna watu wamekalia uchumi wetu wako ikulu, wako maofisini wamejimilikisha mali zetu sasa wana mbinu za kutaka kufanya mbinu...
7 Reactions
57 Replies
10K Views
Chadema ndio chama kinachopelekeshwa na matukio kuliko chama kingine chochote hapa nchini Jana kutwa walikuwa wanamshangilia nabii Mwingira wakidai anafanana sana na Tundu Lisu Leo wameshamsahau...
8 Reactions
68 Replies
3K Views
Muda ni Mwalimu mzuri sana ! Wanafiki wote wamejidhihirisha. Tabia za ki TIKITI MAJI nje wa kijani na ndani mwekundu, ziko wazi . Jambo moja la kumshukuru JPM ni la kutufanya tujue tabia za watu...
14 Reactions
23 Replies
4K Views
Back
Top Bottom