Miaka yote tunaambiwa uchaguzi ni huru chini ya tume huru leo tunatafuta tume gani Watanzania sio wajinga

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,086
4,881
Nimeshangazwa sana Kuona CCM na JAJI Mtungi wanaunda KIKOSI kazi cha Kuunda TUME HURU YA UCHAGUZI. Watanzania nadhani MNAKUMBUKA Vizuri Chama cha UPINZANI CHADEMA kimekuwa kinalalamika Uwepo wa TUME isiyo HURU Katika kila Chaguzi lakini CCM na Serikali vimekuwa vikisemaTUME ni HURU.

Mwaka 2015 JAJI Lubuvi Alisema UCHAGUZI ni HURU chini ya TUME HURU. Mwaka 2020 JAJI Kaijage na Mahera Waliuhakikishia Umma wa Watanzania kuwa UCHAGUZI ni HURU na TUME ni HURU.

Pia Prof Mkandala nae Akasema UCHAGUZI ni Huru naomba Kuwauliza CCM na JAJI Mtungi.
  • Kwanini tunatafuta TUME HURU sasa kwani Tume iliyopo Sio HURU?
  • Kwanini Chaguzi zote CHADEMA walipoilalamikia TUME ya UCHAGUZI kuwa Sio HURU mlikuwa anasema TUME ni Huru
  • Kwa hiyo mlikuwa MNAWADANGANYA Watanzania ndio maana Mnatafuta TUME HURU Leo?
WATANZANIA Sio Wajinga Hatutaki TUME HURU kabla ya KATIBA MPYA
 
Huwa najifikiria Sana kwann katiba mpya ccm wanaipinga wakati ni katiba ya watanzania wote, na inataka kuleta Mambo mazuri kwa watanzania wote.
 
Ccm huwa wanamatatizo ya kusahau kasoro tu ikifika muda wa uchaguzi kumbukumbu huwa zinawarudi.

Yote ayo ni danganya toto. Hakuna anayeweza fanya maamuzi ie. Mtungi
 
Tume huru ya uchaguzi bila katiba mpya ni sawa na kuziba mashimo ya Panya kwa Mikate!

Maana Tanzania uchaguzi ni mfumo sio tume tu.Nguvu ya Rais na wateule wake, polisi, TISS, Jeshi, Tume, Tamisemi na wengineo lazima viangaliwe kwa pamoja kupitia katiba mpya kwa kuwa vinahusiana na chaguzi.

Hiki kinachoitwa ni Tume huru ya uchaguzi ni changa la macho kwa wajinga ambao ndiyo wengi kwenye hii nchi.
 
ccm ndo adui number moja wa taifa hili, bila kumng'oa ccm taifa litaendelea kupitia mateso makubwa.
 
Hakuna tume huru Tz japo kwa 5%
Angalieni mwendazake alivyokuwa akiumuru watangazwe ccm bila hata kushinda, hii tume ilikuwa wapi, jaji mutungi alikuwa wapi kama sio walewale wa 'michongo'
 
Nimeshangazwa sana Kuona CCM na JAJI Mtungi wanaunda KIKOSI kazi cha Kuunda TUME HURU YA UCHAGUZI. Watanzania nadhani MNAKUMBUKA Vizuri Chama cha UPINZANI CHADEMA kimekuwa kinalalamika Uwepo wa TUME isiyo HURU Katika kila Chaguzi lakini CCM na Serikali vimekuwa vikisemaTUME ni HURU.

Mwaka 2015 JAJI Lubuvi Alisema UCHAGUZI ni HURU chini ya TUME HURU. Mwaka 2020 JAJI Kaijage na Mahera Waliuhakikishia Umma wa Watanzania kuwa UCHAGUZI ni HURU na TUME ni HURU.

Pia Prof Mkandala nae Akasema UCHAGUZI ni Huru naomba Kuwauliza CCM na JAJI Mtungi.
  • Kwanini tunatafuta TUME HURU sasa kwani Tume iliyopo Sio HURU?
  • Kwanini Chaguzi zote CHADEMA walipoilalamikia TUME ya UCHAGUZI kuwa Sio HURU mlikuwa anasema TUME ni Huru
  • Kwa hiyo mlikuwa MNAWADANGANYA Watanzania ndio maana Mnatafuta TUME HURU Leo?
WATANZANIA Sio Wajinga Hatutaki TUME HURU kabla ya KATIBA MPYA
Katakuwa ni katume ka mchongo, hamna kitu hapo.
 
jamaa wanajua hawachaguliki
 
Back
Top Bottom