TCRA/Idara ya Habari Maelezo zichukue hatua dhidi ya vyombo vya habari vilivyorusha maneno ya uchochezi ya Mwingira

Naona mnahangaika.
Samia naamini hawezi kuongeza chumvi kwenye kidonda Nia take NI kuiponya nchi.atakaa na viongozi wa dini hata kisiri Siri na watayamaliza
Huu NI mwanzo tu.
Na watajitokeza wengi
 
Mnajaribu njia zote kumfanya Samia atawale kama Shetani wenu marehemu mmeshindwa sasa mnatapatapa! Kaongea Gwajima uhuni wake kapiga kimya, kaongea na anendelea kuongea Polepole uhuni wake kapiga kimya, Mnyika kila siku kwenye press zake anaongea mambo ya kumkosea heshima kapiga kimya!

Ataendelea kuwapuuza milele na milele! Yeye atatawala kwa namna yake anayoona sahihi hadi hapo atapomaliza muda wake! 2030 muwekeni Dr. Musukuma ili muendelee na ujinga wenu
 
Mojawapo ni Star Tv pia YouTube channels zote na magazeti. Vyombo vingine vipelekewe taarifa ya tahadhari, hasa vinavyorusha matangazo ya wachungaji wahuni wahuni
Ongeza sauti mwaandaji was sheria kandamizi ya habari na kanuni zake, hijasikika Wala kueleweka, Haki ikitwndeka hantahitaji kifanya tote hayo hats kutetea uovu kwa kunyamazisha watu.
 
Mnaanza mambo ya mwendakuzimu mtakufa tu, haya fufueni na kile kikundi chenu cha kigaidi mnaita task force muendelee kuteka na kuua kama kawaida yenu
Baba yako yupo hai? Unajua hata maana ya task force? Au ndio umbumbumbu na ushabiki maandazi wa kinyumbu.
 
JAMANI MNATAKA WANAOTOA MADUKUDUKU YAO YA MIOYONI MWAO TUSIYASIKIE ILI KUFICHA KITU GANI? WAACHENI WALIOUMIA WATOE NYONGO ZAO SEREKALI YA AWAMU YA SITA NI SEREKALI YA HAKI INAPENDA HAKI MUNGU IJALIE AWAMU YA SITA NA SHUHUDA NYINGI OVU ZIWE WAZI ILI VIONGOZI WAJAO IWE FUNDISHO KWAO.
 
Lazima vituo vifungiwe ili akina Nyanda wakauze maembe, hauwezekani wanarusha bila kuhariri mambo hayo, hovyo kabisa, wanatumia kichwa kifuga nywele tu
 
Rais SSH Mungu kampa busara, hekima na maarifa hakurupuki hafanyikazi kwa matakwa ya kikundi fulani cha watu kwa manufaa yao. Anafanyakazi kwa manufaa ya wananchi wote kwa ujumla. Hana mihemko tufanyekazi tusimfundishe kazi tumshauri kwa busara na anakubali ushauri. Kazi iendelee au nasema uongo ndugu zangu!!.
 
Back
Top Bottom