Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,087
- 6,568
From nowhere muanze kuwaingizia sumu watanzania kuwa hayati JPM hafai kisa tu aliziba na kuwabana msifanye ufisadi.Mbona wote mmekata kilimilimi chenu?
Hii nchi ina raia wanaojitambua na wameumizwa sana na wanasiasa wenye njaa na wanaopenda kujaza matumbo yao kama Bulembo, Zitto na wengine wengi.
Na mpaka sasa mmeshajipaka matope kwa wananchi, na majibu ya uovu wenu dhidi ya watanzania mtayapata.