Tunaomba mtuelewe, sisi tumeumia sana jamaa yetu kunyan'ganywa V8, tena zile mpya zilizotumika kwenye kampeni, tunaomba mtuelewe maumivu yetu. Hii krismas hataenda kijijini kwake maana watamuuliza...
Ukiwasikiliza Chadema humu na kwingineko watakwambia mama ametoa uhuru kwa vyombo vya habari kujadili,kuaongea na hata kuandika habari zozote wazitakazo.
Sasa jana Tundu kaongea na...
Kuna mjadala mkali Sana ishu ya mikopo ya Nchi ,Kwa makusudi au Kwa Nia hovu wapambe wanatufuta namna ya kumchonganisha Ndugai na Rais
Binafsi nilimsikiliz Ndugai wala hakua anamkosoa Rais Samia...
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza amesema Watanzania siyo wajinga wana uwezo mkubwa wa kuhoji mambo.
CCM haijawabeba watanzania hawa kwenye gunia bali tumewabeba kwenye Tenga ambalo kupitia kwenye...
Ndugu wana jamvi,
Japo mimi sio mchoraji wa katuni lakini nawaombeni kujua mawili matatu kuhusu hii fani; hivi huwa inaleta picha gani au taswira gani unapomchora mtu/kibonzo cha mtu kwenye...
Madai ya Askofu Jesephat Mwingira wa kanisa la EFATHA aliyoyatoa kwenye sherehe za Christmas aliyatoa sasa baada ya kuwa na Imani na serikali ya mama Samia. Aliona utu, uchaMungu wa dhati na...
Kuna jamaa yangu mara nyingi nilijiuliza alipataje kazi Kinyerezi TANESCO huku yeye alisomea degree ya education pale Chang'ombe university, kipindi mimi nafanya kazi ya Control room pale Barrick...
Sasa ni mwaka wa 20 huu nawasikia tu Wanasiasa wa Tanzania kila mara wakisema wanawapigania Wakulima na wanawapenda lakini kila Siku nasikia mpaka Kushuhudia Vilio vya Wakulima kiasi cha mpaka...
Jukumu namba moja la Jeshi la Polisi nchini, ni kuwalinda Raia na mali zao.
Katika mahubiri aliyoyatoa katika sikukuu ya Krismas, Askofu Mwingira wa kabisa la Efatha nchini, alitoa tuhuma nzito...
Utabiri wangu kura ya turufu naiweka kwa Mh Samia naamini itakuwa hotuba yenye kuliponya Taifa na yenye msingi wa kuimarisha nchi yetu kwa yote yaliyo pita. Haitakuwa na vijembe.
Lissu namkubali...
Mwaka huu Tanganyika inaazimisha miaka 60 tangu kupata uhuru wake, wapo wanaoawaaminisha wajinga wenzao wasiojuwa historia kwamba ni siku ya Uhuru wa Tanzania bara.
Ni kwamba Tanzania haijawahi...
Imefikia hatua Spika anamkosoa kila lililo jema na kukubali yasiyofaa. Ukosoaji wa namna hii si afya kwa ustawi wa nchi yetu.
Tabia hii ameanza kuonesha katika hiki cha awamu ya sita. Mbona Rais...
IN THE MISERY OF OUR POVERTY, WE HAVE FOUND SOLACE AND COMFORT!
By. M. M. Mwanakijiji
Happy New Year dear friends!
As I had expected I have read with disappointment the new year's greetings...
Watu wanapotosha sana kuhusu mikopo hasa kwenye awamu ya 5 u sahihi wake ktk source ya uhakika uko hivi.
Magufuli aliacha deni la $24,652M
Alilikuta deni ..... $15,261M
Samia amelikuta deni ...
Salaam Wakuu,
Nawashauri Wadau wa Siasa, mujifunze kuvumiliana na reconciliation. Si tabia njema kususasusa. Tangu hii tabia ya kususa ianze Kwama 2010, sijaona tija yoyote.
Yaani mnasusia nyani...
Kwa mujibu wa Rais Samia, ongezeko la gharama za uendeshwaji wa maisha limetokana na mlipuko wa Covid-19 na kupanda kwa bei za mafuta katika soko la Dunia, hatukatai ila sababu hizi hazina mashiko...
CCM wanavyohandle maoni ya Ndugai, inaonyesha kabisa kwamba hata tukiwa na katiba mpya na katiba ya CCM ikabaki kama ilivyo; bado haratakuwa na demokrasia katika nchi.
Wabunge wetu wataendelea...
Nape Nauye na January Makamba inasemekana ndio wajuzi wakubwa wa wale wanaokimiliki chama tawala cha CCM.
Kwa unyeyekevu mkubwa, tungependa kuwajua wamiliki wakubwa wa Chama chetu cha CCM. Je...
Kati ya watu nawaaminia ni mh Jobu, aliwahi charaza mtu peupe pe,
Na aina ya watu hawa usiwachezee kabisa kwa Kila wanachokiamini tena hasa ukianzisha vagi nao!
Jobu, anasimamia mhimili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.