Nani kuwania Ubunge Iramba ikiwa Mwigulu akigombea Urais 2025?

Lyambalyetu

JF-Expert Member
Apr 6, 2021
265
240
Je, ni Jumbe Katala?
Je, ni Zaipuna Yonah?
Je, ni Timothy Lyanga?
Je, ni Richard Mkumbo wa Ujenzi?
Je, ni Innocent Msengi? Diwani wa kata ya Mwigulu Kyengege?

Tujadili kwa faida ya Iramba yetu! Manake piga ua garagaza Dr. Mwigulu 2025 ni lazima agombee URais 2025 kama ambavyo ameshapangwa na WaChina!
 
D
Je ni Jumbe Katala?
Je ni Zaipuna Yonah?
Je ni Timothy Lyanga?
Je ni Richard Mkumbo wa Ujenzi?
Je ni Innocent Msengi? Diwani wa kata ya Mwigulu Kyengege?

duuh Mwigulu hizi hujuma zako dhidi ya Bi Kidude uwe unazifanya huko kwenye magroup ya Wasap
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Mwigulu Nchemba agombee Urais? Acha KUKURUPUKA!!!

Je ni Jumbe Katala?

Je ni Zaipuna Yonah?
Je ni Timothy Lyanga?
Je ni Richard Mkumbo wa Ujenzi?
Je ni Innocent Msengi? Diwani wa kata ya Mwigulu Kyengege?

Tujadili kwa faida ya Iramba yetu! Manake piga ua garagaza Dr. Mwigulu 2025 ni lazima agombee URais 2025 kama ambavyo ameshapangwa na WaChina!
 
Hapo kampeni tayari? amekutuma muda mbaya, hawi na hatakuja awe Rais wa Tanzania katika Maisha yake make hata huo uwaziri tu ni swala la muda.
 
Sijasema atakuwa Rais ila atagombea. Sasa iktokea amegombea ina maana nafasi yake ya ubunge ndiyo tunajadili nani anastahili?
 
CCM vikumbo vimeanza ha ha ha

Dawa yenu ni Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi...ndipo mtaacha huu mchezo wenu wa kuigawana Tanganyika kama vipamde vya kanzu.
 
Je ni Jumbe Katala?
Je ni Zaipuna Yonah?
Je ni Timothy Lyanga?
Je ni Richard Mkumbo wa Ujenzi?
Je ni Innocent Msengi? Diwani wa kata ya Mwigulu Kyengege?

Tujadili kwa faida ya Iramba yetu! Manake piga ua garagaza Dr. Mwigulu 2025 ni lazima agombee URais 2025 kama ambavyo ameshapangwa na WaChina!
Yaani Mumesahau Damu za watu zilivyomwagika huyu akiwa Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi? Katika watu ambao ni hatari kwa Ustawi wa Nchi hi ni pamoja na Huyu Jamaa.
Kama Tumelogwa ama mtu amelogwa basi hii ni Sample ya Kipimo cha Ulozi!!
 
Sasa tufanyeje asiwe mbunge tena? Huyu jamaa kwa kweli ni Mafia!
 
Je ni Jumbe Katala?
Je ni Zaipuna Yonah?
Je ni Timothy Lyanga?
Je ni Richard Mkumbo wa Ujenzi?
Je ni Innocent Msengi? Diwani wa kata ya Mwigulu Kyengege?

Tujadili kwa faida ya Iramba yetu! Manake piga ua garagaza Dr. Mwigulu 2025 ni lazima agombee URais 2025 kama ambavyo ameshapangwa na WaChina!
Mwingulu kugombea U-Rais 2025 !? Kwani Mwingulu ana bifu gani na Mama Rais,mpaka akajitokeze kugombea badala ya kumwachia Mama amalizie Ungwe yake ya pili ? Wee Vipi !
 
Je ni Jumbe Katala?
Je ni Zaipuna Yonah?
Je ni Timothy Lyanga?
Je ni Richard Mkumbo wa Ujenzi?
Je ni Innocent Msengi? Diwani wa kata ya Mwigulu Kyengege?

Tujadili kwa faida ya Iramba yetu! Manake piga ua garagaza Dr. Mwigulu 2025 ni lazima agombee URais 2025 kama ambavyo ameshapangwa na WaChina!
Dr zaipuna anafaa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Je ni Jumbe Katala?
Je ni Zaipuna Yonah?
Je ni Timothy Lyanga?
Je ni Richard Mkumbo wa Ujenzi?
Je ni Innocent Msengi? Diwani wa kata ya Mwigulu Kyengege?

Tujadili kwa faida ya Iramba yetu! Manake piga ua garagaza Dr. Mwigulu 2025 ni lazima agombee URais 2025 kama ambavyo ameshapangwa na WaChina!
Mwigulu kabla hajafikiria kugombea urais, asimame hadharani awaambie watanzania, zile maiti zilizokuwa zinatupwa kwenye viroba, kando ya mto, Ruvu wilayani Bagamoyo ni akina nani?
Wamekosa nini?
Kwanini walitupwa na si kuzikwa?
 
Atajitetea kwa hilo. Yumo humu muda mwingi tu!
 
Back
Top Bottom