Rais Samia: Taifa haliwezi kwenda na fedha za tozo pekee

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kumekuwepo watu wanaohoji kwanini Nchi imekopa japokuwa kuna fedha za tozo, akifafanua kuwa Taifa haliwezi kwenda na fedha za tozo pekee

Ameeleza hayo akipokea taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya COVID-19

Amesema kuleta ustawi wa Nchi sio miujiza na ni lazima kutumia mbinu zote zilizopo akisisitiza, "Kama kuna tozo tutaendelea kutozana, kama kukopa kutatusaidia tutakupa. Tutaangalia aina ya Mikopo"
 
Hii nchi ina maliasili nyingi tu kwani lazima tozo na mikopo tu?madini ya kila aina yapo,utali upo na mengine mengine why tuwaze kukopa tu!tena mikopo yenyewe kwa ajili ya madarasa na vyooo! Serious!
 
Back
Top Bottom