Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimemsikiliza kwa makini Rais Samia Suluhu Hassan, akimpa "za uso" Spika Ndugai, kuhusu kile alichotufunulia ni kuwa ni mbio za Urais wa 2025, angalau kimebatizwa jina na hao mahasimu wake kuwa ni...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Wanataka kuunda serikali katika hali ambayo hawana umoja, hali ambayo wanachukiana sana.
0 Reactions
1 Replies
847 Views
Habarini! Hii vita inayoendelea inaonyesha Jinsi gani watanzania ndio tuna shida kubwa na ndio sababu hatuendelei. Ndugai kasemea Juu ya jambo ambalo lina maslahi kwa Nchi lakini anakuja Mtu ana...
19 Reactions
94 Replies
6K Views
Baadaa ya kipigo kikali walichopewa kutoka kwa chuma,jiwe,the rate mwenyewe Jpm hatimae msoga gang inarejea taratibu Hadi kwenye uwaziri hapo tukiwa tuishamwona mmoja J makamba hatimae Nape Nauye...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Naomba kumnukuu Mh.Tundu Lissu katika hotuba yake kwa wananchi. Tundu Lissu anasema .......Kwa hiyo jumla ya madeni ya mwaka huu peke yake ni takriban dola bilioni 2.5, sawa na takriban shilingi...
9 Reactions
23 Replies
2K Views
Jana alisema leo Saa 5 atakuwa na jambo lake.. Hata hivyo ameahirisha ghafla mpaka Saa 9 alasiri.. Hii inanipeleka nyuma wakati Nape aliitisha press kama hii baada ya kuvuliwa uwaziri.. Baada ya...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Ugomvi wa Ndugai na Samia na akina Mwigulu haupo kwenye mkopo wenyewe hasa bali "Mgawanyo" wake ambao umeipendelea Zanzibar kwa kiwango cha kukufuru Na ni wepesi wa kusahau, lakini Ndugai...
23 Reactions
45 Replies
3K Views
Inawezekana kabisa washauri na actors mbalimbali ndani ya Serikali kwa sasa ni waamini wa mikopo. They might have good sweeter arguments for now. Lakini wazalendo wa kweli tutabaki na msimamo...
26 Reactions
62 Replies
3K Views
Ni utamaduni wetu huu, Baada ya kula kiapo tayari anakua na mamlaka lazima tumtii na kumuheshimu kama Rais wa Nchi, Pasitokee mtu yoyote kujifanya ana madharau yake kisa nafasi aliyopo na...
1 Reactions
8 Replies
741 Views
Ukimwona anavyozungumzia mambo ya wananchi humwoni kama ana utu na huruma. Mimi namfahamu shangazi yangu ambaye ameweka umeme kwa tsh 27,000 na majirani zake wengi. Mwaka jana mwezi wa kwanza...
10 Reactions
33 Replies
2K Views
FRIDAY OCTOBER 22 2021 Dodoma. Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (LAAC), imesema deni la Sh45 bilioni inayodaiwa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga na Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma...
1 Reactions
3 Replies
808 Views
Katibu mkuu wa wizara ya fedha Emmanuel Tutuba amesema serikali imeipa PSSSF kiasi cha tsh trillion 2. Naye Mkurugenzi mkuu wa PSSSF Hosea Kashimba amesema kuanzia sasa wastaafu wote watalipwa...
8 Reactions
61 Replies
7K Views
Wenyewe wanasemaje? Habari za leo Friends of Bukoba. Hii hapa ni video ya watetezi wa Mkoa wa Kagera zidi ya hujuma za Mkoa wa Chato. Tunawashukuru wote walioshiriki ikiwa ni pamoja na: (1)...
3 Reactions
42 Replies
5K Views
Toka mama aingie Madarakani kumekuwa na ukosowaji mwingi na Zaid toka Kwa CCM BARA Tunawaambia mkitaka msitake MITANO tena Kwa Mama sababu # Mama kazuia TRA kufungia Maduka wanao wadai Kodi #...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Huyu ni DC na kada wa CCM ambaye pia katabia ka ufisadi amekuwa nacho tangu akiwa chuoni pale mzumbe nakumbuka alivyokula pesa za serikali ya wanafunzi (MUSO) akiwa kama Vice President. Jamaa huyu...
0 Reactions
61 Replies
11K Views
CAG kimsingi amekubali kukagua fedha za mikopo iliyoingiwa na serikali ya Awamu ya 5. CAG Kichere amesha sema anasubiri maelekezo tu. Kutokana na mijadala, hata humu JF, kuna watu wamepanic...
45 Reactions
210 Replies
12K Views
Kila kona ya nchi yetu mjadala ni mmoja tu yaani Spika Ndugai na mikopo. Je, ndio kusema Ndugai amekuwa maarufu kiasi cha Chadema kumsahau Mbowe na Sukuma gang kumsahau Ole sabaya?
2 Reactions
15 Replies
807 Views
Nawaambia CCM! KKumlazimisha spika wa bunge aachie ngazi kisa tu aliwaza tofauti na Rais ni kuichimbia kaburi demokrasia katika taifa letu! Rais Samia ataingia kwenye record mbaya mno kuwahi...
2 Reactions
17 Replies
764 Views
Nchi yetu y a Tanzania imepitia changamoto nyingi sana tangu uvamizi wa kikoloni karne 19 , wapo watu katika watanzania wenzetu walipoteza maisha yao na wengine kupata ulemavu wakipinga dhuluma na...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Kuna watu siku za karibuni wamesahau kuwa bunge ni mhimili na Mh. Job Ndugai ndiye aliye mkuu. Hali hizi hazina afya hata kidogo: Huku ni zaidi ya kutaka kumchezea sharubu chui aliyejeruhiwa...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Back
Top Bottom