Awamu ya Sita imeshakopa Trillion 10 ndani ya miezi 9 madarakani. Tunaomba ufafanuzi

sambulugu

JF-Expert Member
Jun 1, 2021
3,932
7,273
Mbatia katika hotuba yake ya mwisho wa mwaka alisikika akisema mpaka sasa Serkali ya awamu ya sita imeshakopa takriban Trillion 10 tokea iingie madarakani! Nauliza kwanini serikali haiji kutoa ufafanuzi wa kutosha badala yake kufunika funika mambo?.

Mheshimiwa Spika Ndugai japo kaomba msamaha kwa maneno yake lakini nahisi kuna kitu hapa hakiko sawa hususani kwenye kukopa madeni kwenye utawala wa Rais Samia!.

Waingereza wanasema ujumbe wa Ndugai sent and delivered mambo mengine ni kuwahadaa wananchi na kuweka sawa maslahi yao!.

Tuache kumsakama tu Spika ila tujadili sasa kuhusu Trillion 10 pamoja na tozo ndani ya miezi 9 zimefanya nini?.

Serkali kama ilivyoombwa kutoa ufafanuzi kwenye akiba ya fedha za kigeni na hapa tunaomba ufafanuzi juu ya kauli ya mkopo wa trillion 10 kama Mbatia na wengineo wanavyosema.
 
Speaker yuko sahihi sana, kaweka wazi kuwa, MAMIKOPO, MIKOPOOOOO, MIKOPOOOOOO, yaani tukope tuuuuuu, nchi yetu itapigwa mnada, yaani Speaker kaweka TAHADHARI NZURI SANAAA SANAAA, MANENO YAKE YATASAIDIA NCHI YETU SANA

JAMANI, mikopo sio kukimbilia tu, LAZIMA MKOPO MKUBWA WA NCHI IJULIKANE SENTI KWA SENTI INAENDA WAPI, NA BUNGE LIJUE KWA UWAZI KILA KITU.

Isije ikawa mkopo mmoja wa Tril. 1.3 unajulikana kila senti imewekwa wazi, alafu mikopo mingine inafichwa fichwa, yaani inatia mashaka, mara fulani na fulani wahisiwa kupiga hela.

Suala la mikopo ya Taifa, ni kitu very very very SENSITIVE, sio jambo rahisi hata kidogo, yaani ukikopa, lazima 100% ijulikane hata na wananchi tu wa kawaida, hizi hela zimekopwa zimeenda wapi, na kazi yake ionekane, na uwazi katika mikopo utatoa kila aina ya mashaka au wasiwasi, yaani kutakuwa hakuna maswali kuwa kwanini tukope au mkopo umeenda wapi.

Mikopo lazima iwe wazi kabisa kabisa, inaenda fanya nn. La sivyo, kama Speaker alivyosema tukiacha mikopo tu, mikopo inaendelea tu kiholela, nchi yetu itapigwa mnada aisee..

Tahadhari ya Mh. Speaker muhimu sana sanaa.
 
Mbatia katika hotuba yake ya mwisho wa mwaka alisikika akisema mpaka sasa Serkali ya awamu ya sita imeshakopa takribani Trillion 10 tokea iingie madarakani! Nauliza kwa nini serkli haiji kutoa ufafanuzi wa kutosha badala yake kufunika funika mambo?.Mheshimiwa Spika Ndugai japo kaomba msamaha kwa maneno yake lakini nahisi kuna kitu hapa hakiko sawa hususani kwenye kukopa madeni kwenye utawala wa Rais Samia!. Waingereza wanasema ujumbe wa Ndugai sent and delivered mambo mengine ni kuwahadaa wananchi na kuweka sawa masrahi yao!.Tuache kumsakama tu Spika ila tujadili sasa kuhusu Trillion 10 pamoja na tozo ndani ya miezi 9 zimefanya nini?.Serkali kama ilivyoombwa kutoa ufafanuzi kwenye akiba ya fedha za kigeni na hapa tunaomba ufafanuzi juu ya kauli ya mkopo wa trillion 10 kama Mbatia na wengineo wanavyosema!
Wasukuma tunataka ufafanuzi, kwànini hela ya mkopo kiasi kikubwa kipelekwe Zanzibar wakati ni kanchi kadogo,,? Sisi ni kabila kubwa sana gumekosa mgao
 
Utakuwa na matatizo na wasukuma bila shaka ulikuwa na vyeti feki. Maisha yako yanastress kubwa. Muombe mama akurudishe kazini na cheti chako feki.
Aisee huu mchambo kiboko..😂
 
Mbatia katika hotuba yake ya mwisho wa mwaka alisikika akisema mpaka sasa Serkali ya awamu ya sita imeshakopa takribani Trillion 10 tokea iingie madarakani! Nauliza kwa nini serkli haiji kutoa ufafanuzi wa kutosha badala yake kufunika funika mambo?.Mheshimiwa Spika Ndugai japo kaomba msamaha kwa maneno yake lakini nahisi kuna kitu hapa hakiko sawa hususani kwenye kukopa madeni kwenye utawala wa Rais Samia!. Waingereza wanasema ujumbe wa Ndugai sent and delivered mambo mengine ni kuwahadaa wananchi na kuweka sawa masrahi yao!.Tuache kumsakama tu Spika ila tujadili sasa kuhusu Trillion 10 pamoja na tozo ndani ya miezi 9 zimefanya nini?.Serkali kama ilivyoombwa kutoa ufafanuzi kwenye akiba ya fedha za kigeni na hapa tunaomba ufafanuzi juu ya kauli ya mkopo wa trillion 10 kama Mbatia na wengineo wanavyosema!
Hata huyo mungu mtu wenu aloko trilion 13 ndani ya miez12
 
SIyo tu kutoa ufafanuzi bila ushahidi huku wanajisifia wanakusanya kodi sijui 2.5T lakini hatujui zinaenda wapi, tuna taka ushahidi nani amelipwa nini in details with vivid evidence
Hakika mkuu! Sema kiongozi akihoji tena akiwa mwanachama wa CCM atasakamwa hatari! CCM kuna shida kubwa sana!
 
Hoja ya Magufuli kokopa sio uhalali wa Samia kukopa ovyo pia! Lazima tuhoji mwana huyu anaweza kukopa trillion 60 kwa maiaka hii mitano!
Kumbe wewe unataka tatizo liwe kwa samia tu kukopa trilion 10 kwa miezi 9 ila kukopa kwa magufuli trilion 13 ndani ya miezi 12 lisiwe tatizo na hutaki hata kulijadili, basi huna akili.
 
Kumbe wewe unataka tatizo liwe kwa samia tu kukopa trilion 10 kwa miezi 9 ila kukopa kwa magufuli trilion 13 ndani ya miezi 12 lisiwe tatizo na hutaki hata kulijadili, basi huna akili.
Wewe ni chawa tu ila huyo bibi yako subiri! Atakaposhindwa kulipa mishahara ndo utajua hujui! Kwanza hata akiba ya fedha za kigeni hajui ni kiasi gani anajua Mwiguru Nchemba peke yake!
 
Back
Top Bottom