Sinior Makamba alijua hivi, kumbe mambo yanaweza badilika yakawa hivyo

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Sinior Makamba alijua mwanae ana andaliwa kuwa Rais wa jamhuri, enzi za kikwete ikala kwake enzi za mwendazake.

Alipokufa Mzee magu baba akawa na Imani yakuwa January amerudi Tena,je January ulifurah magu alipokufa?

Sasa leo Makamba anajua yakuwa January amerudi kuwa Waziri kwa Samia kwa nguvu jakaya akajua ndoto ya urais ni ya kweli Sasa imeisha kula hiyo.
 
Mama anatakiwa ajue kundi linalomuunga mkono dhidi ya Sukuma Gang ndio lina uchu wa madaraka ya Urais kuliko hata Sukuma Gang.
Afanye mabadiliko ya baraza la mawaziri haraka iwezekanavyo.

Lkn hapo itakuwa imenyesha na panapovuja pataonekana vizuri.

Bora hata kwa sasa, pakivuja, tunasema Sukuma Geng.

Kama JK alipata tabu ambaye alijaza marafiki kwenye serikali yake; Itakuwaje kwa mama?

Cha muhimu hapa ni umakini, kusikilizana, kutoshikana uchawi na kusimamiana.

Sio kutishana wala kudhalilishana.
 
Sinior Makamba alijua mwanae ana andaliwa kuwa Rais wa jamhuri, enzi za kikwete ikala kwake enzi za mwendazake.

Alipokufa Mzee magu baba akawa na Imani yakuwa January amerudi Tena,je January ulifurah magu alipokufa?

Sasa leo Makamba anajua yakuwa January amerudi kuwa Waziri kwa Samia kwa nguvu jakaya akajua ndoto ya urais ni ya kweli Sasa imeisha kula hiyo
Baraza jipya Ridhwan ndani ya nyumba
 
Kwa maneno yake mwenyewe Madam SSH hakuwahi kabisa kuwaza kama ataweza kuwa #2; then 2015 wakubwa wa chama wakamshauri JPM amchukue SSH kama running mate.

Mwana wa Yusuf aligombea na kupenya 5 bora, nadhani bado anayo nafasi kwa msingi wa umri wake 2030 kwa msingi wa 2025 SSH ashatabainisha kuendelea na CCM huwa wanatoa form 1 tu.

Ushauri wangu kwa mwana wa Yusuf na wengine wote wenye matamanio na "UKULU", pigeni kazi walau hata kazi zenu ziweuze.

Alietangulia mbele ya haki kati ya 1995-05 alipiga kazi hasa kwenye ujenzi wa barabara na alionekana kuwa mkali kwa kutaka deliverables. 2005 alipoulizwa kama ana nia, yeye akaweka wazi hana mpango na amekusudia kujenga lami toka BK mpama Mtwara ili watu waende kwa taxi. Kama kwa term 2 tu tayari watu walishamfikiria kama a potential candidate kwa Urais na hakuchukua form 2005.

Sasa nyie wenzetu mliopata "neema" mbele ya madama SSH pigeni kazi basi walau tuone umeme unawaka kwa uhakika, JNHPP inaisha fasta umeme uwe wa bei nafuu, hata hiyo new connection cost ya TANESCO fikiria basi hata kui-spread kwa miezi say miezi 12 ili mteja alipe kidogo kidogo in the course of kitumia umeme.

Au kama ni yoyote yule, basi tuone mishemishe tangibles, tuone deliverables. Kuna mkubwa mmoja awamu ya 5 alikuwa vey powerful na very outgoing, sasa hivi yupo madarakani ila ni kama amepunguza kasi au sijui kapunguzwa kasi kwenye ku-push mambo yaende.

Kila la kheri wale mtakaotemwa maana inaonekana mmejiandaa na 2025, kila la kheri wale mtakaobaki 2030 nayo ipo; cha msingi, pigeni kazi tuone mki-solve problems, tuone solutions. Onesheni uongozi kwa kufanya vitu ambayo kwa generations kadhaa, hicho mnachofanya sasa kitabaki na itakuwa landmark ambayo 2030 itawabeba kwenye

Mradi kama JNHPP ambao uko chini ya mwana wa Yusuf, uta-serve generations to come, I wish kungekuwa na major efforts ku-push ili kazi ifanyike hata shift 3 walau umeme uje uwe wa kutosha na ankara zipungue.

F
 
Sasa umekubali ee! Hiyo ndio ndoto ya Vasco Dagama; atamuchaje huyo kichwa cha nazi?
Tatizo tu Ridhiwani alijichafuwa mwenyewe mapema lakini kiukweli kama JK aliwalea vijana na kuwapa madaraka hata Ridhiwani alistahili kuingizwa serikalini kupata uzoefu wa serikalini.

Lakini badly mpaka sasa katika watoto wa viongozi aliyeonesha ana maadili mema ni Hussein Mwinyi peke yake na ndio maana wala haikumsumbuwa kurithi legacy ya mzee wake.

Huyu Ridhiwani na lake oil wake ni kichefuchefu kitupu.
 
Umejuaje kiongozi? Mbona naona kama kuna gundi fulani ambayo inahitaji nguvu ya ziada kumtenganisha? Mnakumbuka Bashite?
Sinior Makamba alijua mwanae ana andaliwa kuwa Rais wa jamhuri, enzi za kikwete ikala kwake enzi za mwendazake.

Alipokufa Mzee magu baba akawa na Imani yakuwa January amerudi Tena,je January ulifurah magu alipokufa?

Sasa leo Makamba anajua yakuwa January amerudi kuwa Waziri kwa Samia kwa nguvu jakaya akajua ndoto ya urais ni ya kweli Sasa imeisha kula hiyo
 
Kwa maneno yake mwenyewe Madam SSH hakuwahi kabisa kuwaza kama ataweza kuwa #2; then 2015 wakubwa wa chama wakamshauri JPM amchukue SSH kama running mate...
Tatizo ni rushwa, kila mgombea analazimika kutoa burungutu ili apenye kwa nafasi aliyoomba kwahiyo ni lazima waangaike sasaivi ndio maana hawatulii.
 
Sinior Makamba alijua mwanae ana andaliwa kuwa Rais wa jamhuri, enzi za kikwete ikala kwake enzi za mwendazake.

Alipokufa Mzee magu baba akawa na Imani yakuwa January amerudi Tena,je January ulifurah magu alipokufa?

Sasa leo Makamba anajua yakuwa January amerudi kuwa Waziri kwa Samia kwa nguvu jakaya akajua ndoto ya urais ni ya kweli Sasa imeisha kula hiyo
Mmmm
 
Back
Top Bottom