Lady Mwali
Senior Member
- Nov 15, 2018
- 147
- 332
Napenda kutanguliza shukrani zangu kwa mtukufu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kumteua Ridhwani Kikwete kuwa naibu wa Wazara ya Nyumba na Makazi.
Mh.Rais umeonesha uzalendo wa hali ya juu kukumbuka mchango wa Mh.Rais JK Kikwete katika nchi hii.
Kipindi cha uongozi wa Mwendazake mh.Ridhwani Kikwete alisaulika ingawa alijitolea kutetea maisha ya wananchi wa Chalinze anaowakilisha bungeni.
Mh.Rais Samia ,wewe mtukufu umemkumbuka mh.Ridhwani kwa kumpa Unaibu waziri ambao wakati wa Magufuli hawakumfikiria.
Siku za nyuma nilipost andiko la l
Kutaka Ridhwani Kikwete awe Rais baada ya Samia Suluhu.
Nawasilisha