WatesiWETU
Senior Member
- Jan 2, 2022
- 106
- 250
Kauli ya Nape kwamba CCM ina wenyewe ni kweli kabisa.. CCM ni special kwa Kizazi fulani hivi cha Babu mpaka Mjukuu na kitukuu..
Outsider ni wasindikizaji tu.. Ukiona umepewa cheo fulani na wewe hauna DNA ya babu yako uko CCM basi jua Umemshikia mjukuu wa mtu akue mkubwa umpatie nafasi yake..