Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Salehe Mohamed SITAKI kuamini kuwa Rais Kikwete, aliamua kutoa kauli kuwa atampangia kazi nyingine aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Hamad Yusuf Masauni...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Naamini hii ndo kauli iliyomwudhi zaidi Mama Samia kuliko hilo la kukopa ndiyo maana hakulizungumzia. Ni kama "betrayal" kwamba walikubaliana huko halafu Ndugai akaja kuvujisha. Tusubiri huenda...
2 Reactions
18 Replies
900 Views
Natumai sote tuko poa na salama, hakika Mungu ashukuriwe Kwa rehema na neema zake. Japo nchi na raia wengi wamepokea taarifa za kujiuzulu Kwa speaker wa Bunge Kwa taharuki na mshangao. Lakini...
26 Reactions
106 Replies
12K Views
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan wakati akiwaapisha mabalozi Ikulu Dares Salaam amesema kwenye hili janga la corona dunia nzima imekubaliana na philosophy ya hayati Magufuli kuwa ugonjwa wa...
11 Reactions
60 Replies
7K Views
Naibu waziri wa ujenzi Mwita Waitara amewasimamisha kazi Watumishi wawili wa mamlaka ya bandari kufuatia kitendo cha watendaji hao kuficha taarifa za ubovu wa meli mpya iliyopokelewa mwaka jana...
2 Reactions
40 Replies
5K Views
Nafikiri mpaka sasa Watanzania wengi watakuwa wamepata habari kuhusu tukio la spika wa bunge kujiuzuru. Swali litakalofuata ni, nani anafaa kuziba pengo lake? Mimi binafsi nafikiri Mussa Azzan...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Tundu Lissu umepigwa risasi ukipigania haki ya kuhoji na kumpinga Rais. Sasa imekupasa kufanyika mfano wa utaua na mzee wa kitaifa, a towering statesman Spika Ndugai hakujali ulipopigwa risasi...
8 Reactions
57 Replies
4K Views
Jeshi la Polisi limevamia ofisi za CHADEMA kanda ya Kaskazini na kuzuia maandalizi ya Kongamano la Tume huru ya uchaguzi lililopangwa kufanyika leo Jan 8 mwaka 2022 Kongamano hili ambalo mgeni...
2 Reactions
45 Replies
4K Views
Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nikipata fursa huja na zile makala zangu Kwa Maslahi ya Taifa, ambazo huchapishwa na gazeti la Nipashe la kila siku za Jumapili. Wajameni, ni mimi tuu au na...
26 Reactions
110 Replies
8K Views
Hili lipo wazi kabisa uongozi wa taifa hili chini ya CcM ni kurithishana na kupeana mapande ya kupiga madili. Mwaka 2025 ndio wakati muafaka wa kuwaadhibu. Maana wanarithishana upigaji madili na...
0 Reactions
0 Replies
505 Views
Kama kawaida muda unakwenda kasi sana imekua kama muujiza Humphrey Polepole kuanza kuparuana makucha na MICCM mienzake chanzo halisi kikiwa hakieleweki Naiona harufu ya CCM kumtumia huyu bwana...
5 Reactions
43 Replies
4K Views
Ndugai ameonekana kuhoji mkopo wa serikali wa Tril.1.3,ni sawa lakini tukumbuke mambo mawili yafuatayo: 1.Mbona hakumuunga mkono CAG prof.Assad kipindi ambacho palikuwa na matumizi mabaya...
2 Reactions
3 Replies
745 Views
Siku Magufuli alipotamka hadharani kwamba Kabudi na Lukuvi hawatagombea Urais kwa sababu ya umri wao mkubwa, wengine walicheka wakiichukulia kama ni kauli ya ghafla. La hasha, hii ilikuwa ni kauli...
28 Reactions
123 Replies
15K Views
Wakuu amani iwe nanyi, Jana Mh Rais ameteua Baraza la Mawaziri na miongoni wa Mawaziri walioteuliwa ni aliyekuwa Mkurugenzi wa kituo cha uwekezaji Tanzania Mr Geoffrey Mwambe. Geofrey Mwambe...
16 Reactions
171 Replies
27K Views
Nimeshangazwa na kauli hii ya Mh Rais, kuita msimamo wa mteule wake Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje, kuwa NONSENSE, tena hadharani. Nimesikitishwa na kauli hiyo kwa sababu...
72 Reactions
309 Replies
24K Views
Gazeti la mwananchi la May 20, 2010 lilivyomnukuu JK MWENYEKITI wa CCM, Jakaya Kikwete amepiga msumari wa mwisho kwa aliyekuwa mwenyekiti wa UVCCM Hamad Yusuph Masauni, akisema alijimaliza...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Niwe mkweli tu CDM ndio chama pinzani chenye ushawishi na nguvu kwasasa katika siasa za nchi yetu. Hakuna atakayebisha hali waliopitia miaka mitano ya uongozi wa Hayati Mzee Magufuli, ilikuwa...
1 Reactions
2 Replies
510 Views
Mpaka sasa kuna wingu kubwa sababu ya Ndugai kusakamwa na mpaka akajiuzulu. Kama kuhoji juu ya mkopo wa tril 1.3 huku kuna tozo za miamala haukuwa na kosa. Maana ulihoji kama Spika na mtanzania...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom