Pendekezo: Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano atoke Zanzibar

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
94,481
2,000
Kwa mujibu wa Katiba ya Nchi yetu , hili ni bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , iliyotokana na Muunganiko wa Tanganyika na Zanzibar , Nchi mbili halali zenye haki sawa , wabunge wa bunge hili wanatoka bara na visiwani , hii ndio maana neema ya Tozo inainufaisha pia Zanzibar .

Haiwezekani Maspika wote wa bunge hili kuanzia Adam Sapi , Pius Msekwa , Samuel Sitta , Anna Makinda na Job Ndugai watoke nchini Tanganyika Pekee , huku ni kupora haki ya Mshirika mmoja wa Muungano .

Napendekeza safari hii tupate Spika Kutoka Zanzibar , iwe Unguja au Pemba .

Naomba kuwasilisha .
 
Bepari2020

JF-Expert Member
Nov 7, 2020
942
1,000
Acheni kujipa kujipa sifa za bure. Wanzanzibari wanataka kujitawala siyo kuwatawala nyie machogo. Mmejaa ubaguzi, ukabila, na udini. Nani anataka hayo maumivu ya kichwa na magonjwa ya presha za kuwatawala nyie?
 
telegram

JF-Expert Member
Mar 10, 2021
297
500
Acheni kujipa kujipa sifa za bure. Wanzanzibari wanataka kujitawala siyo kuwatawala nyie machogo. Mmejaa ubaguzi, ukabila, na udini. Nani anataka hayo maumivu ya kichwa na magonjwa ya presha za kuwatawala nyie?
Hovyo
 
binbaraghash

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
4,526

Safi sana thread mwanana kabisa., iwe ni zamu ya Zanzibar kwa spika wa serikali ya Muungano, Tanganyika ni ndugu wa damu na Zanzibar hakuna ubaya wowote sasa tukapata spika Mzanzibari, limeshapita hili mkuu kwa mama nnavyomjua atachakarika tu
 
yusufuj

JF-Expert Member
Sep 23, 2021
295
500
Kwa mujibu wa Katiba ya Nchi yetu , hili ni bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , iliyotokana na Muunganiko wa Tanganyika na Zanzibar , Nchi mbili halali zenye haki sawa , wabunge wa bunge hili wanatoka bara na visiwani , hii ndio maana neema ya Tozo inainufaisha pia Zanzibar .

Haiwezekani Maspika wote wa bunge hili kuanzia Adam Sapi , Pius Msekwa , Samuel Sitta , Anna Makinda na Job Ndugai watoke nchini Tanganyika Pekee , huku ni kupora haki ya Mshirika mmoja wa Muungano .

Napendekeza safari hii tupate Spika Kutoka Zanzibar , iwe Unguja au Pemba .

Naomba kuwasilisha .
Wanakaribishwa.......... CCM watupendekezee majina
 
Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
12,226
2,000
Acheni kujipa kujipa sifa za bure. Wanzanzibari wanataka kujitawala siyo kuwatawala nyie machogo. Mmejaa ubaguzi, ukabila, na udini. Nani anataka hayo maumivu ya kichwa na magonjwa ya presha za kuwatawala nyie?
Nyinyi wanywa urojo mnaweza kuimba taarab tu. Zaidi ya hapo ni takataka tu. Na mwisho wenu ni 2025. Baada ya hapo muanze kujitegemea. Maana tumechoka kuwabeba.
 
binbaraghash

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
4,526
2,000
Nyinyi wanywa urojo mnaweza kuimba taarab tu. Zaidi ya hapo ni takataka tu. Na mwisho wenu ni 2025. Baada ya hapo muanze kujitegemea. Maana tumechoka kuwabeba.
Na mukavunje majengo yenu ya Ofisi za TRA kule zanzibar, Ni nchi ya Zanzibar pekee duniani inalipa kodi kwa nchi 2, Wazanzibar wana ZRB kwa ajili ya maisha yao lakini kodi ya TRA zinakusanywa toka Zanzibar kwa maisha ya Watanganyika posho zao na mishahara pamoja na chakula ni kodi kutoka Zanzibar
 
battawi

JF-Expert Member
Mar 29, 2014
2,155
2,000
Nyinyi wanywa urojo mnaweza kuimba taarab tu. Zaidi ya hapo ni takataka tu. Na mwisho wenu ni 2025. Baada ya hapo muanze kujitegemea. Maana tumechoka kuwabeba.
Alaaa kumbe Huwa Munatubeba yakheeeeee.
Laaa kubebwa kutamuuuuuu

Na watanganyika walivyojazia! ama kumbe weyeeeeee
1641559041996.png
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom