Naomba nisipingane na asili ambayo inalandana hata mitazamo ya kiimani kwamba ALIYE NACHO HUONGEZEWA! Kuna uwezekano mkubwa mabepari walijifunzia huku.
Matukio haya mawili ni ya ma rais wetu...
Salamu wakuu!
Niende moja kwa moja kwenye hoja ya msingi. Kwa mtazamo wangu mubashara nimeunganisha nukata na kugundua kwamba ripoti ya Nape kuhusu uvamizi wa Makonda Clouds Media haijakamilika...
Trend analysis hazidanganyi kugombea uspika tu watu wanakaribia 200
2025 natabiri wabunge waliopo wajiandae kutakuwa na wachukua fomu zaidi ya 100 kutaka kuteuliwa na CCM kuwa wagombea wa jimbo...
List of shame ilivyowekwa wazi pale mwembe Yanga na watanzania kutambua kuwa taifa lao linaibiwa, wapinzani tulipata nguvu. Tukapata heshima ya kuwa wakombozi wa taifa hili dhidi ya mafisadi...
Wanajukwaa habari za siku...!
Kiukweli nchi kama Taifa halina raha na wanchi wake hawana raha.
Kwa wanaongalia mambo kiundani utakuja kugundua wananchi hawana furaha na viongozi waliowachagu...
Amepost tweet hii dakika chache zilizopita, je huo ukimya ni nini? Tusubiri saa 1:00 usiku
====
Update, Joseph Mbilinyi (Sugu) avunja ukimya kwa kuongelea Covid-19
Aliyekuwa Mbunge wa Mbeya...
Tumesikia malalamiko memgi juu ya baraza jipya la mawaziri la Rais Samia.
Kuna malalamiko ya kukosekana usawa wa jinsia, mawazir wanawake ni 36% na manaibu ni 20 tu
Kuna malalamiko ya kanda...
Mpaka dakika hii mwenzenu sielewi dhana ya form za kugombea nafasi ya uspika kutolewa kwenye ofisi ya CCM.
Mimi dhana yangu ni kwamba ukishakuwa mbunge wa chama fulani nafasi yeyote ile ya...
Tulia Ackson unaamini Raisi wa nchi yetu hastahili kunyooshwa kidole, ona hii clip ya kilichotokea huko Uingereza kwenye Jumba la Waziri Mkuu uone jinsi dola ilivyojitenga na siasa na wanasiasa...
11 January 2022
EXCLUSIVE THE BIG AJENDA USIKU WA LEO NA ALIYEKUWA MGOMBEA WA JIMBO LA KAWE, FURAHA DOMINICK.
Baada ya ukimya wa kipindi kirefu ajitokeza kwa mahojiano ya kina.
Furaha...
GENTAMYCINE nawaomba tu hao 'Team Mikakati Awamu ya 6' wajitahidi kwa sasa kubadili Mbinu za Kuungua 'Kimkakati' kwa 'Masoko Makubwa' nchini kwani kwa sasa hata Mtoto Mdogo ameshajua kuwa nia ni...
Ilianza soko la K/Koo, likawaka moto na kuleta hasara kubwa kwa wafanyabuashara na Taifa kwa ujumla, pamoja na serikali kuingilia kati na kuundwa kwa kamati ya uchunguzi wa sakata hilo (Ingawa...
Waziri wa Tamisemi Mh Bashungwa ametoa siku 7 kwa tume ya uchunguzi kukamilisha kazi na kutoa taarifa ya chanzo cha moto soko la Karume.
Nao wamachinga wamemtaka RC Makalla awaruhusu wajenge soko...
Naunga mkono Serikali kuunda kama ya kiuchunguzi kujua kiini cha kuungua soko la mchikichini la Karume na kuja na mapendekezo yake, japo kuwa kamati zinazoundwa huwa hazitow taarifa kwa umma,ila...
Hii siyo nchi ya WAZEE, siyo nchi ya familia flani ni nchi yetu sote. Hawa wazee wakubali umri umekwenda na wakubali ni wakati wa new generation. Leo Ridhiwani Naibu Waziri, Mama Mbunge anamuuliza...
Pamoja na kilio chake lakini anazo hoja kwamba Serikali haijawahi kutoa ripoti za uchunguzi wa moto kutoka tume inazoziunda, ripoti ya moto wa soko la Kariakoo hadi sasa imekaliwa na Kasimu...
Kila Mkuu wa mkoa Dar ana kibarua cha wamachinga, why akili huwa haitumiki kabisa?
Toka Marehemu Ditopile Mzuzuri anaongea live kwenye tv DTV kuhusu kuwaondoa wamachinga .hadi Leo mambo ndo...
Wakuu Kwema!
Ajira Hakuna!
Tumetoka familia Masikini Sana.
Nina rafiki zangu wengi waliokuwa wanauza uza mitumba Yao pale Karume.
Mitaji Yao wameipata Kwa mbinde Jamani! Ndugu zangu wote...