Video: Kilio cha Mfanyabiashara wa Soko la Karume aliyeunguliwa bidhaa zake kinafikirisha

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,690
218,194
Pamoja na kilio chake lakini anazo hoja kwamba Serikali haijawahi kutoa ripoti za uchunguzi wa moto kutoka tume inazoziunda, ripoti ya moto wa soko la Kariakoo hadi sasa imekaliwa na Kasimu Majaliwa.

Je kamati za kuchunguza haya matukio wanazoziunda ikiwemo ya moto uliounguza soko la Kariakoo ni za uongo?

 
Pamoja na kilio chake lakini anazo hoja kwamba Serikali haijawahi kutoa ripoti za uchunguzi wa moto kutoka tume inazoziunda , Ripoti ya moto wa soko la kariakoo hadi sasa imekaliwa na Kasimu Majaliwa .

Je kamati za kuchunguza haya matukio wanazoziunda , ikiwemo ya moto uliounguza soko la Kariakoo ni za uongo ? View attachment 2084340
Wale wanaodai ccm imewalea ndio hawa.
 
Hawa unawalaumu tu bure. Uchaguzi wa Oktoba 2020 kilichofanyika ulikuwa ujambazi wa Magufuli, Tume na Polisi. Hawa unawalaumu bure...
Ila kweli walifanya wajibu wao. Walichagua upinzani kwa wingi sana . Dunia inajua tanzania inajua na mapolisi wanajua.
 
Huyo Mkuu wa mkoa kwa kweli kama nuksi anayo kwa kweli- Mbeya yaliungua akahamishwa na sasa tena Dar imekuwa ni upatu wa moto... sijui mama atamhamisha tena au bado sangoma wao hajaridhia?
Kama na Mbeya masoko yalikuwa yana ungua kipindi cha uongozi wake basi naye ni RC wa mchongo au kaja kimikakati zaidi.
 
Back
Top Bottom