Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Siku chache zilizopita wanachama wawili wa JF johnthebaptist na Ngongo walijiapiza kwamba ni lazima Hamisi Kigwangwala aapishwe kuwa Waziri wa Afya , hawakuishia hapo bali wakaendelea kutuaminisha...
8 Reactions
35 Replies
2K Views
MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ✓MHESH Ridhiwani Kikwete ameiva vya kutosha hivyo nashauri akabidhiwe majukumu makubwa zaidi awatumikie Watanzania Mtoto wa Kiongozi Mkubwa kisiasa aliyesoma...
16 Reactions
111 Replies
8K Views
Nimefuatilia kwa ukaribu mjadala unaoendelea kwa sasa kuhusiana na kauli iliyotolewa na mkuu wa mkoa wa dodoma mheshimiwa Mtaka kuhusu kuanzisha makambi ya kitaaluma kwa wanafunzi. Katika mjadala...
12 Reactions
63 Replies
6K Views
Hili baraza jipya linaonyesha jinsi CCM ya kumilikiwa na watu inavyorudi kwa kasi. Sasa 2025 kwanini wasikunyooshe? Umewapa uhalali wewe mwenyewe. Kijani wenzio watakupiga nje na ndani hakuna...
13 Reactions
84 Replies
7K Views
"Uzoefu unaonesha kuwa vijana mnageuzwa ngazi na kuwabeba na kuwa ngazi ya watu wanaotaka uongozi kwa tamaa za fedha na ahadi za nafasi za uongozi, mjiulize kama hao mliowabeba wangeonesha...
6 Reactions
38 Replies
3K Views
1 Nchi yetu kupata maendeleo ya kweli, mpaka watu wote wenye wivu kwa watu wachapa kazi watakapoacha kuzaliwa! 2. Ili nchi yetu ifikie maendeleo ya kweli, tunapaswa tupate katiba itakayotoa...
20 Reactions
78 Replies
6K Views
Kila kitu kiwekwe sawa na ukweli ujulikane. Hata kama ni mkopo wa WB kupitia janga la Uviko lakini kuna giza nene. Bunge linalofuata mwezi Februari liisimamie serikali iweke wazi namna pesa...
7 Reactions
99 Replies
6K Views
Naona pasipo woga hata wale wanajiita watumishi wa Mungu wameanzisha kusahau kazi yao na kupiga mapambio kama waumini wao na kusahau jukumu lao muhimu katika umoja wa kitaifa. Ndugu Watanzania...
10 Reactions
48 Replies
5K Views
Kwanza sijaona jipya kwenye sura za wateuliwa ,walioteuliwa utumishi wao na makandokando yao yanajulikana,wengine tuhuma za dawa za kulevya zunawahusu na wengine kuhujumu mamlaka za uteuzi...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Pwani. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Weakness kubwa ya upinzani wetu ni kutojipanga, kulialia bila vitendo, kupiga kelele tu. Haiwezekani suala zima la Katiba Mpya ambalo ni haki ya kikatiba ya kila mwananchi iwe kama hisani au...
3 Reactions
13 Replies
984 Views
Ninapenda kutumia jukwaa hili kumpongeza waziri wa michezo Nape Nauye. Hizi pongezi ni mahususi kwa Nape kwa sababu ni moja ya viongozi walioweza kusimamia haki na ukweli kwa kulipa gharama kubwa...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Mgawanyiko mkali kati ya watu wa Lukuvi,Tulia,Mussa. Kila mtu anataka mtu wake awe spika wa bunge. Na kila kundi linaona mtu wake ndio anafaa kuwa spika. Musukuma kubebwa na PhD yake ili kuukwaa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wapinzani walionunuliwa kwa gharama kubwa na Bashiru polepole na mwendazake thamani yao imekwisha KITILA MKUMBO WAITARA wamepigwa teke leo walichokula kinawatosha na walizoea kuishi kwa fitna...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Baada ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kufanya mabadiliko mbalimbali kwenye baraza lake la Mawaziri watu wameibuka na maoni tofauti tofauti. Katika mabadiliko hayo...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mchungaji Peter Msigwa amesema mtu pekee anayestahili kuwa Spika wa bunge la JMT kwa sasa ni mh Andrew Chenge...
10 Reactions
76 Replies
8K Views
Kwanza hongera kwa kuteuliwa Naibu Waziri wa Nyumba.Hakika Rais Samia kasikia kilio changu cha kukupa Unaibu Waziri. Piga kazi ingawa una maadui wengi wanaokuandama wewe na familia yako.Maadu hao...
2 Reactions
11 Replies
928 Views
Hii sasa ni kali, kumbe hawa akina mama na akina baba huwa ni mazoba tu na huwa wanawasindikiza wenye chama chao?
6 Reactions
53 Replies
3K Views
Tunajua kuna watu washakuletea mezani kwako takwimu kwamba uchumi unayumba hivyo usiongeze mishahara ya watumishi, mama akikubali hilo huo utakuwa msumari wa mwisho kwenye jeneza lako, kumbuka una...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Haiwezekani wale viongozi ambao sisi wananchi tunaona ndio wachapakazi waondolewe kinyemela tu au kwa sbb za kimichongo afu wanateuliwa wanafamilia. Hii nchi siyo mali ya rais au familia fulani...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Back
Top Bottom