Kipingamizi kikubwa cha mifumo mizuri ya utawala maeneo mbalimbali ni CCM. Na hakika, nchi hii kamwe hatutakuja kuwa na mifumo bora ya kiutawala mpaka CCM itakapokuwa nje ya utawala.
Kikwazo...
Wakuu Habari ya Wakati.
Katika Kesi ya Hamis Jongo&41 other vs. AG na TRA Jaji Wa Mahakama Kuu (Mgonya J Anazungumzia na Muislam Kushuudia (Affirmation) na Mkiristo Kuapa(oath)
Jaji kwenye...
Kwa kawaida joto la kisiasa hupanda na kushuka kwa kila nyakati nchini, pasi na shaka joto lililopo sasa ni matokeo ya tumaini kubwa kwa wananchi kufuatia mabadiliko katika Baraza la Mawaziri...
Ni Nani asiyechoka na hii kitu inaitwa CCM kwa sasa?
Ninaamini hata walioko CCM dua yenu ni ili siku moja asiingie mtu asiyetokana na chama chenu, maana hofu yenu ni pale itakapo walazimu...
Asisitiza nyumba kuvunjwa hata iweje.Hasa nyumba zilizopo ndani ya hifadhi ya barabara.
Amsifu polepole kwa kisimamia sheria.
Asema kama hawataki zivunjwe washauri wabunge wapeleke mapendekezo...
Walishazoea kufanya ufisadi na kuiba mali za umma na wakati wa uchaguzi wanawalaghai wananchi. Sasa watanzania walishawashutukia.
Mwaka 2015 baada ya kuona kuwa walishachafuka kwa ufisadi...
Nilikuwa naangalia "poster" yenye Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM ya 2002 ambapo Hayati Benjamin W.Mkapa akiwa Mwenyekiti wa CCM, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (Mjumbe), na Mhe. Samia Suluhu Hassan...
Hawa ndiyo wanasadikiwa kuwa ni wana CCM waliotaka kuachana na utamaduni wao wa 'miaka 10' aachiwe mwanaCCM aliyepo Ikulu aendelee 2025.
Vigogo wazito kama Spika Job Ndugai, waziri mzalendo namba...
Kauli yako ilipokelewa kishujaa sana ,baada ya Rais Samia kukujibu ulitakiwa ujiuzulu ,kosa ulilofanya ni kuomba msamaha ,hapo kwa kweli uliharibu sana sana tu.
Hoja yako ilikuwa makini sana...
Popote alipo NS Tulia Ackson, PhD angetulia tu kwenye kiti chake cha enzi cha unaibu spika, natambua hapo alipo anatamani kuweka enzi yaani yale matamanio ya kisiasa ya kupanda juu ulipo chini...
Kumbe muda wote serikali ya CCM inapanga na kutekeleza miradi mbalimbali haikuwa na chombo cha kusimamia miradi hiyo ili kuhakikisha matokeo. Sasa wameamua kuwa ili matokeo ya miradi hiyo...
Ujumbe wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan, kabla ya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, ulikuwa wazi. Ni kuwa mabadiliko ya Baraza yamefanyika ili 'kubaki' na wa kwenda nao pamoja 2025 na 'kuwapa...
Nawasalimu nyote,
Mimi si muhumini wa chama tawala tangu nilipojitambua. Ukweli hii nchi yetu ilikuwa imefikia pabaya sana kipindi cha awamu ya tano, kuna madhira mengi mno yalokuwa yamejificha...
RIDHIWAN KIKWETE HANA SIFA ZA KUITWA WAZIRI WA WATANZANIA
(i) "HATIMAYE MAMA AMEPATA AINA YA WATU WA KWENDA NAYE”
(ii) "JE, ATAACHA KULALAMIKA? ATAACHA KUTOA VISINGIZIO VYA KUSHINDWA?”
Rais...
Nawasalimu Kwa Jina La JMT.
Katika teuzi mpya zilizofanywa na Mheshimiwa Raisi Mama Samia Suluhu Hassan ni kupangua safu za baadhi ya wakuu wa mikoa.
Mabadiliko yaliyonistua ni kuondolewa kwa RC...
Ni taarifa za hivi karibuni kabisa kutoka kwa watu walio karibu na mbunge wa Nzega vijijini, Dkt. Kigwangalla.
Taarifa zinasema Kigwangalla atachukua fomu kesho pale Dodoma na tayari Wabunge...
Mahakama ya hakimu mkazi Arusha inatarajiwa kutoa uamuzi mdogo januari 14, mwaka huu wa kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole...
Kwanza kabisa mimi ni muumini wa kumkosoa mtu yoyote kwa staha, siamini kwenye kudhihaki Wala kutukana. Kama raisi kuna sehemu amekosea basi tumkosoe kwa staha tumkosoe bila kumvunjia heshima...
Kutokana na namna ambavyo imedhihirika kwamba sasa Spika hawezi kuwa na uhuru wa kuruhusu mijadala yenye afya kwa watanzania ndani ya bunge kwa hofu ya "kushughulikiwa" na chama (kwa vyama vyote)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.