Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nawasalimu kwa Jina la JMT Leo napenda kutoa uchambuzi wangu kidogo juu ya Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri Kwa Mawaziri Kwanza napenda kusema Mama hajafanya vibaya! Mawaziri ni wasimamizi wa...
6 Reactions
34 Replies
3K Views
Nape aliposema CCM ina wenyewe wengi hawakumuelewa! Nape alimaanisha kuwa CCM imeshikiliwa na kundi fulani la watu wenye nguvu na ushawishi wao ndio huamua wanamtaka nani ndani ya CCM na nani...
14 Reactions
44 Replies
4K Views
Waziri wa Tamisemi Ummy Mwalimu amesema wanafunzi watako anza kidato cha kwanza mwaka huu waende shuleni hata na nguo za shule ya Msingi ili mradi waingie darasani! Kusema ukweli huu uamuzi ni wa...
5 Reactions
133 Replies
8K Views
Binafsi nimeshituka kusikia waziri anasema kati ya cheti feki kiasi cha alfu kumi na tano hivi 4000 wamerudishwa. Kiasi hiki ni kikubwa sana. Hii inatia shaka kama zoezi la kuwatambua lilifanyika...
2 Reactions
34 Replies
8K Views
Katika kuzingatia màhitaji ya wakati huu kisiasa, watu wengi wamejiweka katika nafasi za kisiasa na kila mmoja akijiona mbobezi wa mambo ya siasa na mchambuzi mahili, hapa yamejitokeza makundi...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Si mtego mgumu...lakini ni mtego mkali... CCM kwa miaka yote imejitahidi sana kukwepesha na wakati mwingine kuahirisha milongas ya mihimili. Kuanzia wakati wa Baba wa Taifa Mwl. J. K. Nyerere na...
73 Reactions
255 Replies
19K Views
Nimejulishwa na wakili anayesimamia jopo la utetezi kutoka THRDC kuwa leo Jamhuri itampeleka Optter mahakamani. Optter ameshikiliwa zaidi ya siku 10. Pamoja na tuhuma za kimtandao, amebanwa...
17 Reactions
62 Replies
7K Views
Siku chache zilizopita wanachama wawili wa JF johnthebaptist na Ngongo walijiapiza kwamba ni lazima Hamisi Kigwangwala aapishwe kuwa Waziri wa Afya , hawakuishia hapo bali wakaendelea kutuaminisha...
8 Reactions
35 Replies
2K Views
MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ✓MHESH Ridhiwani Kikwete ameiva vya kutosha hivyo nashauri akabidhiwe majukumu makubwa zaidi awatumikie Watanzania Mtoto wa Kiongozi Mkubwa kisiasa aliyesoma...
16 Reactions
111 Replies
8K Views
Nimefuatilia kwa ukaribu mjadala unaoendelea kwa sasa kuhusiana na kauli iliyotolewa na mkuu wa mkoa wa dodoma mheshimiwa Mtaka kuhusu kuanzisha makambi ya kitaaluma kwa wanafunzi. Katika mjadala...
12 Reactions
63 Replies
6K Views
Hili baraza jipya linaonyesha jinsi CCM ya kumilikiwa na watu inavyorudi kwa kasi. Sasa 2025 kwanini wasikunyooshe? Umewapa uhalali wewe mwenyewe. Kijani wenzio watakupiga nje na ndani hakuna...
13 Reactions
84 Replies
7K Views
"Uzoefu unaonesha kuwa vijana mnageuzwa ngazi na kuwabeba na kuwa ngazi ya watu wanaotaka uongozi kwa tamaa za fedha na ahadi za nafasi za uongozi, mjiulize kama hao mliowabeba wangeonesha...
6 Reactions
38 Replies
3K Views
1 Nchi yetu kupata maendeleo ya kweli, mpaka watu wote wenye wivu kwa watu wachapa kazi watakapoacha kuzaliwa! 2. Ili nchi yetu ifikie maendeleo ya kweli, tunapaswa tupate katiba itakayotoa...
20 Reactions
78 Replies
6K Views
Kila kitu kiwekwe sawa na ukweli ujulikane. Hata kama ni mkopo wa WB kupitia janga la Uviko lakini kuna giza nene. Bunge linalofuata mwezi Februari liisimamie serikali iweke wazi namna pesa...
7 Reactions
99 Replies
6K Views
Naona pasipo woga hata wale wanajiita watumishi wa Mungu wameanzisha kusahau kazi yao na kupiga mapambio kama waumini wao na kusahau jukumu lao muhimu katika umoja wa kitaifa. Ndugu Watanzania...
10 Reactions
48 Replies
5K Views
Kwanza sijaona jipya kwenye sura za wateuliwa ,walioteuliwa utumishi wao na makandokando yao yanajulikana,wengine tuhuma za dawa za kulevya zunawahusu na wengine kuhujumu mamlaka za uteuzi...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Pwani. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Weakness kubwa ya upinzani wetu ni kutojipanga, kulialia bila vitendo, kupiga kelele tu. Haiwezekani suala zima la Katiba Mpya ambalo ni haki ya kikatiba ya kila mwananchi iwe kama hisani au...
3 Reactions
13 Replies
983 Views
Ninapenda kutumia jukwaa hili kumpongeza waziri wa michezo Nape Nauye. Hizi pongezi ni mahususi kwa Nape kwa sababu ni moja ya viongozi walioweza kusimamia haki na ukweli kwa kulipa gharama kubwa...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Back
Top Bottom