Baraza la Mawaziri bora

Maryam Malya

Senior Member
Nov 29, 2021
115
258
Kwa kawaida joto la kisiasa hupanda na kushuka kwa kila nyakati nchini, pasi na shaka joto lililopo sasa ni matokeo ya tumaini kubwa kwa wananchi kufuatia mabadiliko katika Baraza la Mawaziri yaliyotangazwa hapo jana.

Baadhi ya mambo yaliyovutia wadau wengi katika baraza la Mawaziri ni pamoja na;

1. Uteuzi kuzingatia taaluma na uzoefu unaohitajika

2. Uteuzi kuzingatia rekodi ya uadilifu na uzalendo

3. Uteuzi kuzingatia mahitaji ya sasa ya nchi katika nyanja za uwekezaji

4. Uteuzi kuzingatia ujumuishi na usawa wa kijinsia kwa kuanzishwa Wizara mpya yenye lengo la kuongeza ufanisi.

5.. Uteuzi kuzingatia uchapakazi na historia ya kujitoa kwa Taifa

6. Uteuzi kuzingatia nafasi ya kijana katika uongozi.

7. Uteuzi kuzingatia uwakilishi wa viongozi kutoka maeneo yote nchini.

Utamaduni wa kupokezana vijiti ndio falsafa kubwa inayosadifu mabadiliko yaliyofanywa. Kongole kwa Rais Samia Suluhu kwa kuendelea kuimarisha utendaji kwa wizara zote.

#MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Tayari mmeandaliwa wa kulipambana? Hili ndilo baraza uchwara kuwahi kutokea. January na miguru wana uadilifu na uzarendo upi?.
 
Nilivuoona Nape kateuliwa kuwa waziri wa habari nikaikumbuka kesi ya Makoonda. Sijui kwanini.
 
Kwa kawaida joto la kisiasa hupanda na kushuka kwa kila nyakati nchini, pasi na shaka joto lililopo sasa ni matokeo ya tumaini kubwa kwa wananchi kufuatia mabadiliko katika Baraza la Mawaziri yaliyotangazwa hapo jana.

Baadhi ya mambo yaliyovutia wadau wengi katika baraza la Mawaziri ni pamoja na;

1. Uteuzi kuzingatia taaluma na uzoefu unaohitajika

2. Uteuzi kuzingatia rekodi ya uadilifu na uzalendo

3. Uteuzi kuzingatia mahitaji ya sasa ya nchi katika nyanja za uwekezaji

4. Uteuzi kuzingatia ujumuishi na usawa wa kijinsia kwa kuanzishwa Wizara mpya yenye lengo la kuongeza ufanisi.

5.. Uteuzi kuzingatia uchapakazi na historia ya kujitoa kwa Taifa

6. Uteuzi kuzingatia nafasi ya kijana katika uongozi.

7. Uteuzi kuzingatia uwakilishi wa viongozi kutoka maeneo yote nchini.

Utamaduni wa kupokezana vijiti ndio falsafa kubwa inayosadifu mabadiliko yaliyofanywa. Kongole kwa Rais Samia Suluhu kwa kuendelea kuimarisha utendaji kwa wizara zote.

#MUNGU IBARIKI TANZANIA.
R1 na Marope???!!!!
 
naunga mkono hoja
P
 
Naomba connection ya kuwa praise team tafadhali
 
Back
Top Bottom