Viapo vya Mawaziri ambao ni Waislamu ni batili kisheria

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,238
Wakuu Habari ya Wakati.

Katika Kesi ya Hamis Jongo&41 other vs. AG na TRA Jaji Wa Mahakama Kuu (Mgonya J Anazungumzia na Muislam Kushuudia (Affirmation) na Mkiristo Kuapa(oath)

Jaji kwenye maamuzi yake alisema Kwamba Kwenye Kiapo Chochote Kile Muislam Hapashwi Kusema Naapa (oath) Ila atasema Kwamba Ninathibitisha (Affirm)

Na Mkiristo Hapashwi Kusema nathibitisha (affirm) atasema Ninahapa (oath)

So Viapo Vingi Vya Mawaziri na Wabunge Wanaoapa Bungeni au Ikulu Vinakuwa ni Batili Kisheria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kawaida katika kiapo mkristo ANAAPA na mwislamu ANATHIBITISHA...
Hii ni mwamujibu wa sheria ya viapo na matamko ya kisheria RE.2019.

Hata Wakati Mwl. Bashiru Akila kiapo Pale Bungeni alithibitisha na si kuapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu Habari ya Wakati.

Katika Kesi ya Hamis Jongo&41 other vs. AG na TRA Jaji Wa Mahakama Kuu (Mgonya J Anazungumzia na Muislam Kushuudia (Affirmation) na Mkiristo Kuapa(oath)

Jaji kwenye maamuzi yake alisema Kwamba Kwenye Kiapo Chochote Kile Muislam Hapashwi Kusema Naapa (oath) Ila atasema Kwamba Ninathibitisha (Affirm)

Na Mkiristo Hapashwi Kusema nathibitisha (affirm) atasema Ninahapa (oath)

So Viapo Vingi Vya Mawaziri na Wabunge Wanaoapa Bungeni au Ikulu Vinakuwa ni Batili Kisheria

Sent using Jamii Forums mobile app
... hii habari ya wanasiasa nchi hii kuapa sijui kuthibitisha ni usanii tu maana matendo yao yako mbali mno na viapo vyao! Waape, wasiape it doesn't make any difference!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom