Dkt. Kigwangalla kugombea Uspika, atachukua fomu CCM kesho

Wabunge wamuunge mkono au laah lakini ninachojua wabunge hawana uamuzi mwingine zaidi la kupitisha jina moja litakalopendekezwa.Au sivyo bwasheee?
 
Ni taarifa za hivi karibuni kabisa kutoka kwa watu walio karibu na mbunge wa Nzega vijijini Dr Kigwangalla.

Taarifa zinasema Kigwangalla atachukua fomu kesho pale Dodoma na tayari Wabunge wengi wameonyesha kumuunga mkono.

Je, atapita?.........ngoja tuone!
Endeleeni kuona Jo
Screenshot_20220104-220254.jpg
 
Hivi kuwa spika sio lazm uwe umesomea sheria eeeh!
Bas sawa all the best kigwa!
 
Ni taarifa za hivi karibuni kabisa kutoka kwa watu walio karibu na mbunge wa Nzega vijijini Dr Kigwangalla.

Taarifa zinasema Kigwangalla atachukua fomu kesho pale Dodoma na tayari Wabunge wengi wameonyesha kumuunga mkono.

Je, atapita?.........ngoja tuone!
Bwashe huyo akipita mm nitaacha kunywa mbege ya mama Pendo hapa Rau Madukani. HAPITI.
 
Back
Top Bottom