Naitamani Sana siku IGP Sirro na Sabaya wakitimba kutoa ushaidi

Cathelin

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
2,071
3,992
No one is above the law, kwenye kesi ya Mbowe Jamuhuri walibainisha wataleta mashaidi 24, mpaka Sasa wameleta mashaidi 10 Tena kwa kusua sua.

Upande wa utetezi ulibainisha utaleta mashaidi, wakiwepo wanajeshi wastaafu, IGP sirro na Sabaya. Saimon siro tarehe 21/08/2021 aliitisha press conference na kueleza kuwa wanao ushaidi wa kutosha wa jinsi Mbowe ametekeleza nyama za ugaidi.

Kwenye Charge sheet jamuhuri walibainisha kuwa Mbowe alipanga njama za kumuua jambazi Sabaya.

Naisubiria kwa hamu iyo siku, na je sirro akigoma watamfanyaje, je Sabaya atasafishwa kutoka kisongo hadi Dar, je mawakili wa Serikali watapata muda wa kumpaga Sabaya?

Kesi tamu Sana hiiii
 
Na sabaya katika maisha yake kamwe hataitetea serikali labda mama amuhakikishie msamaha
 
Hiyo siku inakuja wala haiko mbali pale mahakamani patakuwa patamu kweli, yule jamaa yangu alieshindwa hata kujua maana ya intelijensia sijui siku hiyo atakuwa na hali gani, wamuandalie maji mengi ya kunywa mapema.
 
Mwingine alisema Terrorism ni utalii..hawa mashahidi wa mchongo kazi kweli "kumeza" script
 
Kesi tamu wakati unanyonywa kwa Tozo.
Hao mashahidi wakienda mahakamani wanalipwa posho,wapo nje kikazi.
 
Hiyo siku inakuja wala haiko mbali pale mahakamani patakuwa patamu kweli, yule jamaa yangu alieshindwa hata kujua maana ya intelijensia sijui siku hiyo atakuwa na hali gani, wamuandalie maji mengi ya kunywa mapema.
Na lazima aje maana kawekwa kwenye list na kina kibatara
 
Kesi tamu wakati unanyonywa kwa Tozo.
Hao mashahidi wakienda mahakamani wanalipwa posho,wapo nje kikazi.
Unajua naishi nchi gani na nafanya kazi gani ,yaani ka mshahara ka $700 za hao mawakili nayo ni hela
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Sirro ataletwa hata kwa pingu

Kwenye kesi ya Sabaya , nashangaa kwanini hawaiti Makamu wa Rais Mpamgo na Gavana wa BOT kama mashahidi wa upande wake kwani aliwahi kuwataja kuwa walikuwa wanajua mpango wa Task Force yake!! Kama ni Kweli kwanini wasije kama mashahidi?
 
No one is above the law, kwenye kesi ya Mbowe Jamuhuri walibainisha wataleta mashaidi 24, mpaka Sasa wameleta mashaidi 10 Tena kwa kusua sua...

Back
Top Bottom