Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jana Jumanne 18/01/2022 niliwasikia kupitia Wapo Radio madiwani wa mji wa Mtwara wakiitaka TARURA iondoe vibao vya mitaa vyenye majina ya yasiyopendeza! Madiwa hao walipendekeza TARURA iweke...
0 Reactions
6 Replies
651 Views
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene kesho Agosti 16, 2020, anatarajia kuanza ziara yake ya kutembelea makambi na makazi ya wakimbizi katika Mikoa ya Kigoma, Katavi na Tabora...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Jana nilishtuka baada ya kumsikia aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai na Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na usalama wa eneo hilo akidai kuwa kesi yake ya Uhujumu uchumi ni ya "Kutengeneza" Nabaki...
12 Reactions
52 Replies
4K Views
Waungwana salamu [emoji1538] Nisipoteze muda mwingi niende moja kwa moja kwenye mada. Kujiuzuru uspika kwa Mhe. Ndugai kumezidi kuonesha ni kwa namna gani kama Taifa bado hatufahamu mambo mengi...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Leo tarehe 3/12/2021 inaweza kuwa siku nzuri kwa wapenda haki duniani , baada ya mmoja wa Wasiginaji wa kubwa wa haki hizo kuburuzwa Mahakamani kwa tuhuma kadhaa ikiwemo uvamizi wa kutumia silaha...
19 Reactions
130 Replies
15K Views
Kila siku jaji anaandika na kuweka mafaili lundo. Sasa nauliza tangu kesi ianze mpama leo bado anakumbuama tu aliandika nini na aliandika wapi? Je, nani wa kuhakikisha kwamaba manavyovisema...
2 Reactions
3 Replies
737 Views
KATIBU MKUU WA CCM DANIEL CHONGOLO AFANYA MAZUNGUMZO NA ZITTO KABWE Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amefanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia...
5 Reactions
95 Replies
10K Views
MADIWANI VITI MAALUM WAKUTANA NA DC. JOKATE Madiwani wa Viti Maalum wakutana na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe Jokate Mwegelo lengo ni kujadiliana mambo mbali mbali yanayohusu wanawake katika...
1 Reactions
4 Replies
942 Views
Nimesoma hiyo story ya magazetini kuhusu maelezo ya balozi wa marekani kuwa serikali ya Kikwete haijawasiliana na serikali ya Marekani kuhusu suala la Balali kurejeshwa nyumbani. Nimesoma pia ile...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Taarifa zinasema kwamba Mh Kubenea amefikia uamuzi huo baada ya Hakimu Mkaazi wa Mahakama za Kinondoni na Kisutu kugoma kimchongo kufungua kesi hii ya Matumizi mabaya ya madaraka , uvamizi na...
13 Reactions
63 Replies
6K Views
Joshua Nassari aliyekuwa mbunge wa Arumeru kwa tiketi ya Chadema na sasa ni mkuu wa wilaya huko Mara amepiga marufuku Wazazi wa wanafunzi kuchangishwa michango yoyote wakati huu shule...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Asalaam Tanzania! bilashaka mmejibu kazi iendelee. binafsi nimehuzunishwa sana na kauli ya SPIKA akiwa bungeni siku ya alhamisi tarehe 8/4/2021 yakuwa "MKUBWA akishasema wengine inabidi tukae...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Arusha. Mke wa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, Jesca Thomas (28) ameieleza Mahakama namna walivyokamatwa na mume wake na askari waliokuwa na silaha jijini Dar es Salaam. Jesca...
28 Reactions
64 Replies
8K Views
Nawaona kakikundi fulani wana underestimate uwezo wa Rais. Kila mara Rais akiteua wanakuja kusema JPM alimtumbua, je ni watu wangapi JPM aliwatumbua na baadae kuwarudisha ni watu wangapi ambao...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Inawezekana mkanipinga kama ilivyokawaida yenu huwa hampendi kuambiwa ukweli. Chadema hii ni ya vijana waoga sana sana, wako Dkt. Slaa CHADEMA walikuwa wakitangaza maandamo yanakuwa maandamano...
1 Reactions
5 Replies
860 Views
Msanii wa miondoko ya Reggae Ras Mtimanyongo amesema hakuna mwananchi aliyewatuma wanasiasa kudai katiba mpya kwa niaba yao hivyo wasiwaingilie. Ras anasema Zitto Kabwe yuko sahihi kwa 100%...
0 Reactions
8 Replies
900 Views
Shahidi wa 3, Lengai Ole Sabaya{35} ambaye alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro anayekabiliwa na Kesi ya Uhujumu Uchumi leo ameanza utetezi wake katika kesi ya uhujumu uchumi...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Naendelea kuwasisitiza watanzania wenzangu, jitahidini kusoma Rasimu ya Katiba Toleo la Pili, nasema hivi kwasababu ili muweze kuona tofauti kati ya Rasimu na Katiba inyopendekezwa ni lazima uijue...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Mkuu wa wilaya ya Ilala amesema baada ya siku 7 za uchunguzi kukamilika, siku ya 8 kamati itasoma ripoti yake hadharani mbele ya Waziri wa Tamisemi mh Bashungwa, RC Makala na Wamachinga wote...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom