Shaka Hamdu Shaka: Sukuma ndani! " Mkibaini mchwa yeyote popote wa fedha za miradi ya Umma "

Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Jul 10, 2020
1,103
2,000
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka wakati akisoma Azimio la kumpongeza Mwenyekiti wa CCM ambaye ni amiri Jeshi Mkuu na Rais wa JMT Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa na nzuri zilizotukuka tena zilizofanyika kwa kipindi kifupi Shaka amewataka Viongozi wote wa Kamati za Siasa kuanzia Kata, Wilaya hadi mkoa kuhakikisha hakuna senti moja ya mradi wowote wa umma|Serikali inatafunwa na aliyewaita " Mchwa " yaani majizi,

Mhe Shaka amewakumbusha Viongozi wa kamati za Siasa kuwa Chama Cha Mapinduzi ndio Chama kilichopewa ridhaa na Watanzania na ndio chenye Jukumu la kuhakikisha Wananchi wanafikiwa na huduma zote muhimu kwa wakati kwani Ilani inayotekelezwa ni Ilani ya CCM ya 2020|25,Mhe Shaka amesisitiza miradi yote ya mkopo wa IMF kwa mujibu wa Serikali itamalizika baada ya miezi tisa ( 9 ) hivyo kamati zote za Siasa zifuatilie kwa Ukaribu sana miradi hii,

Katibu huyo wa Itikadi na Uenezi Taifa amesema kuwa Chama cha Mapinduzi hakitamvumilia yeyote atakayehusishwa na rushwa au Ufisidi wa fedha za miradi ya wananchi huku akiwataka kamati zote za Siasa kuzielekeza dola kuwafikisha michwa hao kwenye vyombo vya kisheria ikiwa ni baada ya kujiridhisha kuwako na ubadhilifu wa pesa za miradi yote zikiwemo pesa za mkopo wa TZS 1.3Trilioni toka IMF ambao Rais wetu ameupata kwa sababu tu ya imani ya Wahisani kwake na kila mtanzania atahusika kuulipa mkopo huo hivyo pesa hizo sio Sadaka zilindwe kwa wivu mkubwa,

photo_2021-10-13_01-36-46.jpg
 
white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
6,303
2,000
Hata siku moja ma CCM, na upigaji hawajawahi kuwa mbali mbali!!hayo ni maneno tu tena , pesa hizi ndio zitapigwa kweli kweli, enzi za jitu katili watu waliweza kupiga licha ya vitisho vyote vile sumbuse sasa hivi?!!hahaaaa!!!utaniambia
 
Memento

JF-Expert Member
Jun 13, 2021
1,495
2,000
Shaka aanze kurudisha pesa za rushwa alizopewa na madiwani kule morogoro
 
VUGU-VUGU

JF-Expert Member
Feb 24, 2017
597
1,000
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka wakati akisoma Azimio la kumpongeza Mwenyekiti wa CCM ambaye ni amiri Jeshi Mkuu na Rais wa JMT Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa na nzuri zilizotukuka tena zilizofanyika kwa kipindi kifupi Shaka amewataka Viongozi wote wa Kamati za Siasa kuanzia Kata, Wilaya hadi mkoa kuhakikisha hakuna senti moja ya mradi wowote wa umma|Serikali inatafunwa na aliyewaita " Mchwa " yaani majizi,

Mhe Shaka amewakumbusha Viongozi wa kamati za Siasa kuwa Chama Cha Mapinduzi ndio Chama kilichopewa ridhaa na Watanzania na ndio chenye Jukumu la kuhakikisha Wananchi wanafikiwa na huduma zote muhimu kwa wakati kwani Ilani inayotekelezwa ni Ilani ya CCM ya 2020|25,Mhe Shaka amesisitiza miradi yote ya mkopo wa IMF kwa mujibu wa Serikali itamalizika baada ya miezi tisa ( 9 ) hivyo kamati zote za Siasa zifuatilie kwa Ukaribu sana miradi hii,

Katibu huyo wa Itikadi na Uenezi Taifa amesema kuwa Chama cha Mapinduzi hakitamvumilia yeyote atakayehusishwa na rushwa au Ufisidi wa fedha za miradi ya wananchi huku akiwataka kamati zote za Siasa kuzielekeza dola kuwafikisha michwa hao kwenye vyombo vya kisheria ikiwa ni baada ya kujiridhisha kuwako na ubadhilifu wa pesa za miradi yote zikiwemo pesa za mkopo wa TZS 1.3Trilioni toka IMF ambao Rais wetu ameupata kwa sababu tu ya imani ya Wahisani kwake na kila mtanzania atahusika kuulipa mkopo huo hivyo pesa hizo sio Sadaka zilindwe kwa wivu mkubwa,

View attachment 1972961
NATAKA KUHAMIA CCM WAKUU,

mimi ni chadema kitambo ila kwa sasa kwa yanayoendelea nimeamua nihamie tu CCM,
Chama na Serikali wote wananifurahisha sana na nimeridhika naweza kuishi CCM, Naombeni kadi wakuu
Hongera Chama cha Mapinduzi
 
Matrix19

JF-Expert Member
Feb 24, 2020
2,653
2,000
Huyu atueleze kwanza pesa za ujenzi airport Chato zile Trillion 1.5 zilitumikaje.

Pili atueleze sakata la Kangi Lugola la ununuzi wa vifaa vya zima moto liliishaje..

Tuanzie hapo sana
 
ABC ZA 2020

JF-Expert Member
May 2, 2018
654
500
Huyu atueleze kwanza pesa za ujenzi airport Chato zile Trillion 1.5 zilitumikaje.

Pili atueleze sakata la Kangi Lugola la ununuzi wa vifaa vya zima moto liliishaje..

Tuanzie hapo sana
Nani Sasa?

Nenda kesho Chato kunajambo utauliza huko
 
CM 1774858

JF-Expert Member
May 29, 2021
2,439
2,000
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka wakati akisoma Azimio la kumpongeza Mwenyekiti wa CCM ambaye ni amiri Jeshi Mkuu na Rais wa JMT Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa na nzuri zilizotukuka tena zilizofanyika kwa kipindi kifupi Shaka amewataka Viongozi wote wa Kamati za Siasa kuanzia Kata, Wilaya hadi mkoa kuhakikisha hakuna senti moja ya mradi wowote wa umma|Serikali inatafunwa na aliyewaita " Mchwa " yaani majizi,

Mhe Shaka amewakumbusha Viongozi wa kamati za Siasa kuwa Chama Cha Mapinduzi ndio Chama kilichopewa ridhaa na Watanzania na ndio chenye Jukumu la kuhakikisha Wananchi wanafikiwa na huduma zote muhimu kwa wakati kwani Ilani inayotekelezwa ni Ilani ya CCM ya 2020|25,Mhe Shaka amesisitiza miradi yote ya mkopo wa IMF kwa mujibu wa Serikali itamalizika baada ya miezi tisa ( 9 ) hivyo kamati zote za Siasa zifuatilie kwa Ukaribu sana miradi hii,

Katibu huyo wa Itikadi na Uenezi Taifa amesema kuwa Chama cha Mapinduzi hakitamvumilia yeyote atakayehusishwa na rushwa au Ufisidi wa fedha za miradi ya wananchi huku akiwataka kamati zote za Siasa kuzielekeza dola kuwafikisha michwa hao kwenye vyombo vya kisheria ikiwa ni baada ya kujiridhisha kuwako na ubadhilifu wa pesa za miradi yote zikiwemo pesa za mkopo wa TZS 1.3Trilioni toka IMF ambao Rais wetu ameupata kwa sababu tu ya imani ya Wahisani kwake na kila mtanzania atahusika kuulipa mkopo huo hivyo pesa hizo sio Sadaka zilindwe kwa wivu mkubwa,

Waoooh,

Viva CCM,

Pacha unajificha sana kuna nini?
Nimependa sana hii statement inampa nguvu sana Mama,

Shaka and team hongereni sana,
 
Malume

JF-Expert Member
Dec 29, 2013
952

Sawa tuanze na ndugai kwanza maana ametumia pesa za umma kwa matibabu ya anasa
 
Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Jul 10, 2020
1,103
2,000
Waoooh,

Viva CCM,

Pacha unajificha sana kuna nini?
Nimependa sana hii statement inampa nguvu sana Mama,

Shaka and team hongereni sana,
Nipo Pacha nasubiri ambulance 395 na zile Cruiser 214 pacha alizotuambia mama,

Siku zinakimbia sna aise
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom