Mfumo wa kupata mwakilishi wa kibunge Tanzania ni mfumo huru lakini wenye kumnyima mwananchi fursa halisi ya uwakilishi. Hii inajidhihirisha na wingi wa wabunge ambao hugombea ubunge pasi hata a...
Hii huenda ndio ikawa hotuba bora ya Conference of Parties (COP 26 ) na huenda ikaacha historia kwa miaka mingi, Mungu Ibariki Tanzania
===
Baada ya jarida la Foreign Policy ( FP) ya Marekani...
Aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Katiba " Warioba" na mbunge wa viti maalumu mh Polepole amesema Katiba huwa inatengenezwa na Rais anayetoka madarakani na siyo Rais aliyeingia madarakani
Polepole...
===
Waziri wa TAMISEMI, Mhe Ummy Mwalimu amekemea utozaji wa michango mbalimbali kwa Wanafunzi Shuleni sanjari na vitendo vya baadhi ya Walimu kuwazuia Wanafunzi kuingia Shuleni kwa kukosa sare na...
===
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kupitia kwa Naibu Katibu Mkuu wake Salum Mwalim Juma wameipongeza Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kusimamia kwa Vitendo...
Kuna watu wanapenda kudharau watu toka Mataifa yaliyoendelea kama Marekani na mengineyo kwa kuwaita eti wao ni "Mabeberu " kitu ambacho sichema kwa ustawi wa nchi na kwanchi zinazotuletea...
===
Mtakumbuka kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ilikuokoa maisha ya watoto wa masikini alipunguza gharama za matibabu ya kuondoa uchafu kwenye damu (dialysis) hii ikiwa ni baada ya figo kushindwa...
Aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Katiba aka Tume ya Warioba mzee Butiku amesema Tanzania haihitaji katiba mpya kwa sababu Katiba ipo na misingi yake bado ni ile ile ila kinachohitajika ni kuifanyia...
Nakumbuka mwaka 2001 nikiwa kijana mdogo nilienda arusha kwa mjomba wangu kwa ajiri ya kutafuta maisha.kwa bahati mbaya sana na tena bila kutegemea nilishitakiwa na binamu zangu kwa mjoba eti...
Katibu Mkuu (Kushoto) Mhe. @jjmnyika na Mratibu Uhamasishaji @bavicha_taifa Mhe. @Twaha_Mwaipaya (kulia) wakiwa katika kanisa la Uamsho la Morovian katika ibada ya kumuaga mwimbaji Sarah Alex...
Mh Rais mimi nakupongeza sana kwa kazi nzuri unalifanyia taifa letu ktk swala la maendeleo.
Tunaziona juhudi zako na nia ya dhati uliokuwa nayo kwa watanzania kuleta maendeleo.
Mimi kiukweli...
Akiongea leo, John Heche amesema kuwa "Akina Duni Haji ambao wamekuwa na historia nzuri lakini sasa wanatumika na CCM kuharibu ujenzi wa demokrasia, Freeman Mbowe hawezi kuomba msamaha kwa kesi...
Nimesikia na kuona Mtukufu Rais akihutubia wananchi kwenye eneo la Bomang'ombe huko Kilimanjaro, sina kipingamizi na hotuba yake, bali nina hoja kadhaa.
Bomang'ombe iko Jimbo la Hai ambako ndio...
Waziri wa Afya leo ametoa msisitizo kuwa ni marufuku maduka binafsi ya dawa kuwa karibu na viunga vya hospitali za umma hivyo yanapaswa kuwa umbali usiopungua mita 500 kutoka hospitali ilipo...
Akiongea na wanahabari, msemaji wa Chama cha Mapinduzi, Shaka Hamdu Shaka amesema chama kimeptisha Tulia Acksoni kuwa mgombea wa kiti cha uspika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Pia soma...
Hope mko poa wakuu, hakuna kitu kinachoiumiza serikali vichwa kama kesi ya Mbowe, kubali kataa serikali wanashindwa hii kesi waiteme vipi.
Nilisema toka awali kuwa maamuzi ya hii kesi yatakuwa...
Naona kama kuna Nolle prosequi inapigiwa chapuo ili Mbowe awe nje na kuachiliwa huru.
Hii ni wazi kabisa kuwa atakuwa amekutwa bila hatia.
Atakuwa amepata hasara za kiuchumi na hata heshima...
Salaam Wakuu,
Leo tarehe 21/01/2022 kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe inaendelea.
Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila kinachojiri Mahakamani.
Kujua kesi ilipoishia soma...
Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango amemtembelea kumpa Pole Credit Bilali aliyempoteza Mamake Mzazi
Marehemu Safia Abeid Mama Mzazi wa Dkt Mohamed Gharibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.