Rais kuhutubia Bomang'ombe haitamsaidia lolote

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
142,668
Reaction score
287,444
Nimesikia na kuona Mtukufu Rais akihutubia wananchi kwenye eneo la Bomang'ombe huko Kilimanjaro, sina kipingamizi na hotuba yake, bali nina hoja kadhaa.

Bomang'ombe iko Jimbo la Hai ambako ndio anatokea mwamba wa siasa za Tanzania Freeman Mbowe, mtu ambaye amebambikwa kesi ya uongo ya Ugaidi na serikali ya Huyohuyo Hangaya, kwa tafsiri ya haraka haraka ni kwamba Mtemi Hangaya alipita Bomang'ombe ili kujisafisha, hii ni kwa sababu alikoalikwa kwa sherehe za kimagumashi zilizoandaliwa na "watu wa serikali " ili kuwadanganya wachaga siyo Bomang'ombe , kulikuwa na haja gani ya kuhutubia hapo pasipohusika?

Nifupishe kwa kusema hivi, nadhani Hangaya mwenyewe ameona mwitikio aliopata, huu ni mwanzo tu, huko mbele ataona makubwa zaidi, kama umeamua "kumuua nyani " ya nini kumtazama usoni? Endelea kufanya kama ulivyoelekezwa na wapambe wako, hakuna haja ya kutafuta huruma, Dunia nzima inafahamu kwamba Mbowe siyo Gaidi, UNAPOTEZA MUDA WAKO TU.
 
Nimesikia na kuona Mtukufu Rais akihutubia wananchi kwenye eneo la Bomang'ombe huko Kilimanjaro , sina kipingamizi na hotuba yake , bali nina hoja kadhaa .

Bomang'ombe iko Jimbo la Hai , ambako ndio anatokea mwamba wa siasa za Tanzania Freeman Mbowe , mtu ambaye amebambikwa kesi ya uongo ya Ugaidi na serikali ya Huyohuyo Hangaya , kwa tafsiri ya haraka haraka ni kwamba Mtemi Hangaya alipita Bomang'ombe ili kujisafisha , hii ni kwa sababu alikoalikwa kwa sherehe za kimagumashi zilizoandaliwa na "watu wa serikali " ili kuwadanganya wachaga siyo Bomang'ombe , kulikuwa na haja gani ya kuhutubia hapo pasipohusika ?

Nifupishe kwa kusema hivi , nadhani Hangaya mwenyewe ameona mwitikio aliopata , huu ni mwanzo tu , huko mbele ataona makubwa zaidi , kama umeamua "kumuua nyani " ya nini kumtazama usoni ? endelea kufanya kama ulivyoelekezwa na wapambe wako , hakuna haja ya kutafuta huruma , Dunia nzima inafahamu kwamba Mbowe siyo Gaidi , UNAPOTEZA MUDA WAKO TU .
Hivi inakuwaje mtu anatesa wenzako kwa story za kusikia Vijiweni?
 
Wachaga sio wajinga mumuibie kura na bado mnataka kumfunga malizeni mliyopanga kumfanyia msisahau hata Ben Saanane hayupo wachaga wanamlilia sana. Msiende uchagani mnajichumia laana.
Chifu Hangaya atakuja huko uchagani kila anapotaka na mbege mtamtengenezea, kudadadeki!!!!
 
Nimesikia na kuona Mtukufu Rais akihutubia wananchi kwenye eneo la Bomang'ombe huko Kilimanjaro, sina kipingamizi na hotuba yake, bali nina hoja kadhaa.

Bomang'ombe iko Jimbo la Hai ambako ndio anatokea mwamba wa siasa za Tanzania Freeman Mbowe, mtu ambaye amebambikwa kesi ya uongo ya Ugaidi na serikali ya Huyohuyo Hangaya, kwa tafsiri ya haraka haraka ni kwamba Mtemi Hangaya alipita Bomang'ombe ili kujisafisha, hii ni kwa sababu alikoalikwa kwa sherehe za kimagumashi zilizoandaliwa na "watu wa serikali " ili kuwadanganya wachaga siyo Bomang'ombe , kulikuwa na haja gani ya kuhutubia hapo pasipohusika?

Nifupishe kwa kusema hivi, nadhani Hangaya mwenyewe ameona mwitikio aliopata, huu ni mwanzo tu, huko mbele ataona makubwa zaidi, kama umeamua "kumuua nyani " ya nini kumtazama usoni? Endelea kufanya kama ulivyoelekezwa na wapambe wako, hakuna haja ya kutafuta huruma, Dunia nzima inafahamu kwamba Mbowe siyo Gaidi, UNAPOTEZA MUDA WAKO TU.
Nakazia mbowe sio gaidi kabisa.
 
Na Professor Issa Shivji

Kwani uchifu ni utamaduni wetu? Makabila mengi hawakuwa na wachifu. Waliwekwa na wakoloni kwa maslahi yao (km Wazanaki). Uchifu ulipigwa marufuku na sheria mnamo 1962. Machifu waliyokuwepo (km Adam Sapi, Fundikira, Kunambi nk) waliingizwa Serikalini katika nyadhifa mbalimbali.

Ufutaji wa uchifu ulitusaidia sana kujenga umoja wa kitaifa.Nchi zingine Za Afrika (kmNigeria, Ghana nk) wamepata shida kujenga umoja wa kitaifa. Sababu mojawapo ni machifu kulinda himaya zao kwa kukuuza ukabila badala ya utaifa. Tunachotakiwa kusisitiza ni utamaduni wa kitaifa.
 
Mbowe ana tuhuma za uhalifu kama Sabaya tu hawana tofauti. Mbowe sio mfalme wa Hai kama alivyo Kwa wajinga MaCHADEMA.

Samia hahitji watu wa wilaya fulani tu bali watanzania wote Na tunampenda sana Na ataendelea mpaka 2030 Mungu amlinde na husuda kama za MaCHADEMA.

Umeandika nyongo tu uliyonayo Kwa Rais Na kupenda kushabikia wahalifu. Igeni ACT wenye hoja za maana maCHADEMA hopelessly kazi kukaa mahakamani kila siku badala ya kushughulika na shida za wananchi.

#MBOWE NI MTUHUMIWA KAMA SABAYA#
 
Sabaya ni mfungwa mhalifu uache ujinga wako.

Hizo hoja za ACT kama zinawafaa igeni CCM.
 
Back
Top Bottom