Rais Samia ametoa mashine za Dialysis kwenye Hospitali za Rufaa sita

Ze Bulldozer

JF-Expert Member
Jun 12, 2020
1,002
523
===
Mtakumbuka kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ilikuokoa maisha ya watoto wa masikini alipunguza gharama za matibabu ya kuondoa uchafu kwenye damu (dialysis) hii ikiwa ni baada ya figo kushindwa kufanya kazi ya kuondoa maji na taka mwili kwenye damu vizuri

===
Rais Samia alipunguza bei ya dialysis kwa mara ya kwanza kutoka TZS 300,000 hadi kuwa chini ya TZS 100,000 sasa tayari huduma imeshafika kwenye hospitai za rufaa za mikoa sita ndani ya kipindi hiki kifupi cha Rais Samia Suluhu Hassan

===
Mikoa hiyo iliyofikiwa na huduma hii ya dialysis ni Tanga, Mtwara, Mara, Arusha, Kagera na Kigoma kwa Zitto Kabwe,Tuendelee kufurahia matunda ya Rais Samia Suluhu Hassan huku tukimwombea na kufanya kazi kwa bidii.

photo_2021-11-10_07-06-30.jpg

VIVA SAMIA || VIVA TANZANIA VIVA
 
Safi sana
Kwa fani yangu, nilipata kishawashi cha shetani kutoka kwa pedejee mwenye hela ambae hajui chochote kuhusu dialysis lakini huku akitaka nimsaidie kununua machine ili kuanza kuwakamua wanyonge kwa garama ya dola 150 kwa session.
My moral ethics says big NO
 
Mkuu na wewe huna usingizi?
 
===
Mtakumbuka kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ilikuokoa maisha ya watoto wa masikini alipunguza gharama za matibabu ya kuondoa uchafu kwenye damu ( dialysis ) hii ikiwa ni baada ya figo kushindwa kufanya kazi ya kuondoa maji na taka mwili kwenye damu vizuri,
===
Rais Samia alipunguza bei ya dialysis kwa mara ya kwanza kutoka TZS 300,000 hadi kuwa chini ya TZS 100,000 sasa tayari huduma imeshafika kwenye hospitai za rufaa za mikoa sita ndani ya kipindi hiki kifupi cha Rais Samia Suluhu Hassan ,
===
Mikoa hiyo iliyofikiwa na huduma hii ya dialysis ni Tanga, Mtwara, Mara, Arusha,Kagera na Kigoma kwa Zitto Kabwe,Tuendelee kufurahia matunda ya Rais Samia Suluhu Hassan huku tukimwombea na kufanya kazi kwa bidii,

View attachment 2006409
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
Huyo Samia ni tajiri kiasi gani hadi awe anatoa tu mapesa mfukoni mwake?
Kama ni pesa yetu iliyotokana na kodi zetu msiseme kuwa rais katoa, semeni serikali imenunua. Samia sio serikali.
 
Wanaboa kinyama, kama wanafikiri wanamuuza wajue ndiyo wanamharibia kwa watu wanaojitambua. Hii ya kusema Rais Samia katoa wajue inanunuliwa na mataburalasa pekee.
 
===
Mtakumbuka kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ilikuokoa maisha ya watoto wa masikini alipunguza gharama za matibabu ya kuondoa uchafu kwenye damu ( dialysis ) hii ikiwa ni baada ya figo kushindwa kufanya kazi ya kuondoa maji na taka mwili kwenye damu vizuri,
===
Rais Samia alipunguza bei ya dialysis kwa mara ya kwanza kutoka TZS 300,000 hadi kuwa chini ya TZS 100,000 sasa tayari huduma imeshafika kwenye hospitai za rufaa za mikoa sita ndani ya kipindi hiki kifupi cha Rais Samia Suluhu Hassan ,
===
Mikoa hiyo iliyofikiwa na huduma hii ya dialysis ni Tanga, Mtwara, Mara, Arusha,Kagera na Kigoma kwa Zitto Kabwe,Tuendelee kufurahia matunda ya Rais Samia Suluhu Hassan huku tukimwombea na kufanya kazi kwa bidii,

View attachment 2006409
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
Asante kwa taarifa hii.Endelea kutujuza na mengine.
 
Kodi kila kona acha atoe tu
 
Ni hela/kodi zetu zimefanya hayo kupitia serikali,Samia hana huo uwezo! Ujinga peleka kwa wajinga labda mtafanana
 
Back
Top Bottom