Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwenyekiti wa Taifa wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia ametinga Mahakama Kuu ya Tanzania na ameshafungua kesi ya kikatiba kuhusu kujiuzulu kwa Spika Job Yustino Ndugai. Kwa taarifa nilizonazo binafsi...
12 Reactions
85 Replies
6K Views
Huyu aliwahi kuwa ofisa wa Polisi wa ngazi ya juu , kwanza alikuwa MKUU WA UPELELEZI WA KANDA MAALUM na Baadaye akapanda hadi kuwa RPC , ni askari aliyekisaidia " chama chake " kama hawa wengine...
18 Reactions
73 Replies
13K Views
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Samia Suluhu leo aanaongea na viongozi wa mkoa wa Dar es Salaam pamoja na viongozi wa wamachinga Ikulu ya Dar es Saam. Kumekuwa na badiliko la sera ya...
2 Reactions
55 Replies
8K Views
Kama kweli katiba ilikiukwa juu ya kupatikana spika basi Mahakama kuu itende haki na uchaguzi wa spika usifanyike. Mahakama iwe huru na kufanya kazi yake.
7 Reactions
95 Replies
8K Views
Mzee Juma Duni Haji kwanza Shikamoo , waendeleaje na hali yako mzee wangu ? Nimekusikia Mzee ukizungumzia sakata la Freeman Mbowe , umesema ukipata nafasi ya kusaidia Mbowe kutoka gerezani...
16 Reactions
43 Replies
4K Views
Ninapenda kwanza kutoa heshima zangu kwa Mheshimiwa Mbowe, aliyekuwa kizuizini, kwa kuonewa na bila kupewa haki yake kama sheria inavyosema. Nikirudia mada yangu, hivi karibuni tumeona kuwa...
4 Reactions
55 Replies
4K Views
Wanafunzi wanaosoma katika shule ya msingi Kododo Tarafa ya Mgeta wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, wapo katika hatari ya kuangukiwa na madarasa wanayoyatumia kufuatia madarasa hayo ambayo...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Mh Ally Kipendaroho ni miongoni mwa Wenyeviti wa serikali za mitaa waliopita bila kupingwa , kwenye uchaguzi uliosimamiwa kikamilifu na aliyekuwa Waziri wa Tamisemi Mtukufu Jaffo mwaka 2019...
11 Reactions
47 Replies
5K Views
Wananchi wetu wataonja raha lini? Tangu nchi ipate uhuru nchi yetu imetawaliwa na chama kimoja tu hicho hicho kwa awamu zote, lakini kila ikija awamu mpya na kila Waziri, Mkuu wa Mkoa na mkuu wa...
8 Reactions
36 Replies
3K Views
  • Closed
Nawakumbusha 1950's Machifu wa Kinyakyusa Walienda Uingereza Kudai Uhuru wa Nchi yao ya REPUBLIC OF SOUTHERN Highlands walikaa Mbele ni Kutoka Kushoto Chief Mwangobola, Chifu Mwansansu, Chief...
27 Reactions
112 Replies
11K Views
Waziri wa afya Ummy Mwalimu amesema hospitali ya Muhimbili imejengwa miaka 60 iliyopita na miundombinu yake imeelemewa kabisa. Hivyo serikali itajenga miundombinu mipya na ya kisasa kabisa...
10 Reactions
71 Replies
8K Views
Tunzeni haya maneno ninayowaambia. Hii serikali ya mwanamke mpole, mama, ambae hataki kuchukiwa haitaendeshwa na fedha za ndani maana haina ubavu wa kuziba mianya ya wizi wa mapato ya ndani kama...
12 Reactions
108 Replies
6K Views
Kwema Wakuu! Yule wa ñyuma alisema atakayebaki Mjini mpaka Mwezi July ni mwanaume akiwa amelenga watu warudi vijijini hasa wasio na shughuli Rasmi, nakiri Leo hakuwa amedhamiria. Aliongea tuu...
22 Reactions
64 Replies
5K Views
Anaandika katika kurasa yake Twita Tumepokea maoni na ushauri kuhusu Kanuni za mwaka 2020 zinazosimamia usajili wa majengo ya dawa (ikiwemo maduka binafsi karibu na Hospitali/Vituo vya huduma za...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
Wanaukumbi, Tatizo kubwa la vijana wa Chadema na wafuasi wao karibia wote sasa hivi wanameshikiwa akili na Lissu, Lema na wanaharakati huko Team Space kila siku mnajikuaanya na kulishwa pumba...
4 Reactions
55 Replies
4K Views
Mimi siyo mtaalamu wa uchumi, ila naona siasa ilitumika katika kuwasilisha taarifa kwa umma. Tanzania ni nchi ya UCHUMI WA KATI WA CHINI na siyo nchi ya UCHUMI WA KATI kama inavyosemwa. Wataalamu...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Wanaukumbi. CHADEMA hamjui hata vigezo vya kuwa chama kikuu cha upinzani. Sasa CHADEMA kwa matamko kwamba hamtambui UCHAGUZI MKUU wa 2020 wala matokeo yake, mnakuwaje tena chama kikuu cha...
7 Reactions
113 Replies
8K Views
"Dada aliteyetoa taarifa za mipango ya kuuwawa kwangu aliuawa Rombo Hotel Shekilango Dar es Salaaam." Askofu Mwingira leo Maiti ya huyo dada ILITUPWA WAPI? Wamiliki wa Mahoteli kumbe nao walikua...
4 Reactions
46 Replies
5K Views
Juma Duni Haji amesema akipata nafasi yoyote ya kumuwezesha Freeman Mbowe kutoka mahabusu na kuungana na familia yake, ataitumia bila kujali kama atatukanwa ama lah. Amesema serikali haijawahi...
5 Reactions
94 Replies
9K Views
Watanzania wanalipa Kodi, usimamizi wa Kodi hizo ni changa moto ambayo kimsingi walio teuliwa na kuajiliwa na serikali ni watu WA ovyo Sanaa.. Kama Kuna sehemu pesa za serikali zinatafunwa ni...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom