8 September 2020
Ruaha -Mikumi, Morogoro
Tanzania
PROF JAY ALIVYOPOKEWA KWA SHANGWE NA WANANCHI AKIZINDUA KAMPENI, KAFUNGUKA WASANII KUMTENGA
Mgombea wa ubunge jimbo la Mikumi mkoa wa Morogoro...
IGP Mwema, wananchi hawana imani na jeshi unaloliongoza. Vituko vya jeshi la polisi ungekuwa mzalendo na sio mchumia tumbo, kusema kweli mzee wangu ungejiuzulu. Wananchi badala ya kulindwa...
Kama kuna watu ambao mimi binafsi sijuhi utendaji wao wa kazi katika nchi yetu ni Mkuu wa Kitengo cha Kupambana na Rushwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi. Tangu watu hawa washike nyazifa zao, sioni...
How long shall we wait for this guy to go? NI kweli wabunge wanaogopa kutaka aondolewe? watu wangapi wameteswa mikononi mwa polisi na kufa; ni mara ngapi tumelalamikia nguvu zinazotumiwa na polisi...
Wanajamvi, Leo nimesikiliza madam President Samia Suluhu Hassan mwanzo mwisho. Mimi siyo mfanyakazi, lakini niliikubali hotuba yake na kuona busara nyingi sana ndani yake.
Hata hivyo, sikuwa...
Wakuu nisipende kuwachosha
Ila inasikitisha sana kuona ikulu ambapo Nyerere aliwahi kusema kuwa ni mahala patakatifu imebadilika na kuwa pango la walanguzi.
Leo ikulu hapafanyiki tena mikutano ya...
Shabaha kubwa na ya Makusudi ya ACT-WAZALENDO kumuombea Mhe Freeman Mbowe msamaha kwa Rais amsamehe kuhusu kesi yake ya tuhuma za ugaidi inaonekana chama hiki kwa kujua au kutokujua kinataka...
Picha: Renatus Muabhi
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Kijamii (CCK), Renatus Muabhi (53) na mwenzake wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Kwa kosa la kujifanya maofisa usalama...
Mambo vipi,
Moja kwa moja kwenye mada. Juzi nikiwa kwenye daladala nikasikia watu wakilaumu Serikali kwamba ''Heri Magufuli alivyo kuwepo, saivi watoto wametakiwa kulipa michango ya kama 22k...
Yanayoendelea kwa vijana wetu Wasomi na ambao sio Wasomi huwezi kutofautisha kitu Katika kundi hili. Hoja za matusi na kutukana ndio njia pekee ya hawa vijana, Wanaamini upande mmoja wa habari...
Picha: Renatus Muabhi
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU) inamshikilia Katibu Mkuu wa Chama cha Siasa kiitwacho Chama Cha Kijamii (CCK), Renatus Muabhi kwa kujifanya...
Where do the drugs police cease go?
By Elisha Magolanga
The Citizen Correspondent
Dar es Salaam.
In the wake of the suspension of senior law keepers over their alleged involvement in...
Chama Cha Siasa Cha Sauti ya Umma (SAU) kimeungana na watanzania kumpongeza na kumtakia Heri ya siku ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muunguano wa Tanzania a Samia Suluhu Hassan ambaye alizaliwa tar...
Kwenye kesi ya Mbowe Kama hasingekuwa huyu kijana, Tusingejua kinagaubaga Cha hii kesi maana sio wote tunaweza kwenda mahakamani.
Lakini kijana huyu ni zaidi ya ITV,Star TV, TBC, yaani anafanya...
Tafadhali, enyi wenye uweledi na taaluma za Uongozi!
Hili lakutangaza misamaha likoje?
Niliamini utumishi Bora ni kuzingatia kanuni za utumishi, na kwamba mtumishi anahesabika kukosea baada...
Wandugu,
Baada ya kufuatilia kwa kina kinachoendelea mahakamani naweza kuja na nadharia ifuatayo. Freeman Mbowe alimuomba Denis Urio amtafutie walinzi.
Lakini kwa kuwa DCI alikuwa anafuatilia...
Naendelea kuona jinsi mtaala mbovu unavosababisha janga la ukosefu wa ajira nchini!
Kila mwaka graduates wanalundikana mtaani tena wakiwa wamekata tamaa kabisa hata huko kunakoitwa kujiajiri...
BARUA YA WAZI KWA WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA AMBAYE NI RAIS WA CHAMA CHA SKAUTI TANZANIA MANTIKI YA MGOGORO WA KIKATIBA SKAUTI
Salaam kwako Mheshimiwa Waziri wa Elimu, Sayansi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.