BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,789
288,015
Where do the drugs police cease go?


By Elisha Magolanga

The Citizen Correspondent

Dar es Salaam.

In the wake of the suspension of senior law keepers over their alleged involvement in stealing exhibits under their custody, concern is mounting over where the hundreds of kilogrammes of drugs the Police Force impound annually from traffickers go.

The Home Affairs minister, Dr Emmanuel Nchimbi, told reporters last Sunday that he had suspended three top officers in Mbeya Region -- the regional crime officer, assistant crime officer and the Field Force Unit regional commander - after 1.9kg of cocaine seized by police last year vanished while under their care.

This was discovered after it was discovered that a sample of purported drugs that had been seized were nothing but a mixture of sugar and salt after they were tested by the Government Chemist.

Activists and other commentators warned that the revelation that senior police officers have been nabbed for replacing drug exhibits with sugar and salt was an indicator of how widespread crookedness was rife within the Police Force.

Speaking to The Citizen at different occasions, they said the fact that Tanzania has become a significant conduit for heroin headed for Europe and elsewhere as pointed out by a UN report last year has further eroded the integrity of the Tanzania Police which has always given the idea it was fighting the drug trafficking.

This, they said, called for protracted cleanup in the Force to restore the public trust towards the law keepers.

The Police Force has been seizing drugs ranging from marijuana to heroin but where the consignments ended up "could be anybody's guess", commentators said.

The head of the Anti-drugs Unit (ADU), Senior Assistant Commissioner of Police (SACP), Godfrey Nzowa, said the seized drugs are usually destroyed after cases surrounding them have been concluded in court.

The destruction of consignments, usually through burning - is carried out by the Police in conjunction with officials from the National Environmental Management Council (NEMC), the Chief Government Chemist, and the High Court judge who handled the cases as witnesses.

According to Mr Nzowa, the last time seized drugs were destroyed was in March 8, 2010 when 95kg of cocaine and heroin were torched in Tanga during an exercise that was witnessed by the journalists.

Since then, no other destruction of drugs has been carried out because cases involving the ones that are in police hands have not been concluded yet, he said.

Drugs that are still in police hands include the 210kg of heroin worth a staggering Sh9.4 billion which was seized in Lindi Region last year.

This was, according to Mr Nzowa, the largest drug haul in the last two decades in the country.

He declined to give the figure for the amount of drugs currently in police hands due to security reasons. He, however, refused to comment on the charge that the impounded drugs find their way back to the market thanks to rogue elements within the Police Force.

"The minister for Home Affairs has just addressed the media on the matter and efforts are being made to put things in check; I've nothing more to add," Mr Nzowa said, referring to the press conference Dr Nchimbi called on Sunday during which he released names of senior officers he had suspended for what he said was their role in the disappearance of drug exhibits in Mbeya Region.

But activists noted that the Police Force has not been transparent on what happens to drugs they impound.

The executive director of Fordia, a non-governmental organisation, Mr Bubelwa Kaiza, said recent developments in the Force, like police stealing cash they seize in botched robberies and dubious recruitment system as factors that mess up the credibility of the Force.


"It is not a secret: the Police Force has their good share of crooked elements. In fact, one of the senior police officers suspended by Dr Nchimbi last weekend is said to have been soliciting and receiving bribes from those who applied to join the Force. You can just imagine how many thugs must have joined the force through corruption," Mr Kaiza said.

He said under the prevailing circumstances, it should be understood why people are worried over what happens to the hundreds of kilo of heroin and cocaine under police watch.

The Legal and Human Rights Centre (LHRC), executive director Dr Hellen Kijo-Bisimba said replacing illegal drugs with sugar and salt as it happened in Mbeya region was just the tip of the iceberg.

"There is serious moral decay within our Police Force. The minister should in fact go further and form a special team to investigate the integrity of the Force and its involvement in drug trafficking. I fear for the worst, our dear Police Force has such close connections with the international drugs trafficking rings," she bemoaned.
 
The Force has been stinking for all these years. They reflect the vision and agenda of the rulers.

Everything rises or falls depending on leadership. They are there to feed their stomachs and not to serve the people. Shame on them. I hate the force to the core. The IGP should suffer summary dismissal.
 
Policemen expelled over loss of `exhibit money`arraigned

By Karama Kenyunko


14th March 2013

Policemen who were expelled by the police force on Tuesday this week following the disappearance of 150m/- exhibit money while in their hands, yesterday appeared before the Kisutu Resident Magistrate's Court in Dar es Salaam charged with theft of the cash.

The prosecution led by state attorney Bernard Kongola named the accused as D 8845 Detective Staff Sergeant Dancan Mwasabila (43), E 9288 Detective Cpl Geofrey (39), E 5525 Detective Cpl Rajabu Nkurukwa (46), E 2924 Detective Cpl Kawanani Hamphrey (38), and E 5548 Detective Cpl Kelvin Mohamed (44).

It was alleged by the prosecution before Resident Magistrate Emilius Mchauru that on December 18, last year, at Kariakoo in Ilala District, Dar es Salaam the accused stole 150m/-, the property of Mire Artan Ismail.
State Attorney Kongola informed the court that investigation into the case is still in progress and that they do not have any objection regarding granting the accused bail, but they requested it to consider Section 48 of Criminal Procedure Act (CPA) when issuing bail to the accused.

Explaining bail conditions to the accused, Magistrate Mchauru said the accused will have to sign a bond of 5m/- each and bring two sureties from a recognized institution, who will also have to sign a bond of 5m/- each.
He also ordered the accused to deposit 15m/- in cash or to place immovable property worth not less than 15m/-.

The accused pleaded not guilty to the charge.
In the circumstances, accused Mohamed was remanded in custody after failing to meet bail conditions, while the rest were bailed out.
The magistrate adjourned the case until March 27, this year when it will come up for mention.

Earlier this week in a police briefing, Dar es Salaam Special Zone Police Commander Suleiman Kova said the officers were expelled after they were allegedly involved in ‘misplacing evidence' which was stolen money that later on went missing for good.

According to Commander Kova, the officers were prosecuted in the military court whereby their cases were concluded.
He explained that expelling them from the force was one of the court's ruling and that they will be charged in accordance with the set of laws which demand that before being charged in a civil prosecution, they should first be convicted in the military court.

The five are suspected to have stolen 150m/- that was robbed from Artan Company by bandits in Kariakoo in December last year.
The arrest of the officers was made after an investigation conducted by a team of five experts led by the Chief Inspector of Crimes in Dar es Salaam Special Zone, Ahmed Msangi.

SOURCE: THE GUARDIAN
 
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia muundo na maadili ndani ya jeshi la polisi. Nimegundua kuwa kwa sasa jeshi hili linaendeshwa kisiasa kwa sehemu kubwa.

1) Kuna kikundi kidogo kilicho na nguvu ya kuajiri yeyote wanaomtaka wao hata kama hana vigezo vya kumfanya mhusika kuwa askari. (Utilimilifu wa kimaumbile ni miongo mwa vigezo muhimu sana - matege, anduje na makengengeza ni sehemu ya dosari zinazoweza mnyima mtu sifa)kunaushahidi wazi wa makamanda wasiokidhi kigezo hiki ambao utendaji wao unatia shaka kama kamanda Ko.va.

2) Watendaji wakuu wamekuwa ni watu wa kupewa maelekezo na na wanasiasa bila kujali waledi wala uzalendo kwa taifa - angalia intelijensia zao zilivyo za kizushi wakati wanapata kigugumizi wanapotakiwa kutolea taarifa matukio ya kutisha yanayoendelea nchini - sakata la dkt. ulimboka, kibanda na mwangosi...kwa uchache!

3) Sakata la utapeli kwa udahili wa askari walioingizwa chuoni Moshi na kisha kurudishwa kisanii na msemaji wa jeshi la polisi kushindwa kulitolea maelezo thabiti.

Wanajamvi tuongeze matulio mengine katika orodha hii.
 
Kiongozi mkuu wa jeshi la polisi anachaguliwa na mwenyekiti wa CCM, sasa unategemea nini? Ndio mana tunataka vetting kwenye katiba mpya,
 
Polisi wakamatwa na bangi gunia 18
Waisafirisha kwa gari la mkuu wa FFU

na Charles Ndagulla, Moshi
TANZANI DAIMA

SIKU chache baada ya Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kuwakamata askari 16 wakituhumiwa kujihusisha na biashara ya magendo, askari wengine wawili wa jeshi hilo wamekamatwa mkoani Kilimanjaro wakiwa na shehena kubwa ya bangi wakiisafrisha kwenda nchini Kenya.

Askari hao walikamatwa Mei 19 mwaka huu saa nne usiku eneo la Kilemapofu, Wilaya ya Moshi Vijijini wakiwa na magunia 18 ya bangi ambayo walikuwa wameyapakia kwenye gari la Mkuu wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) mkoani Arusha aina ya Toyota Land Cruiser lenye namba PT 2025.

Akithibitisha kukamatwa kwa askari hao, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Robert Boaz alisema askari hao walikuwa wakipeleka bangi hiyo Wilaya ya Rombo kwa mfanyabiashra mmoja ambaye hakutaka kumtaja jina lake.

Kamanda Boaz aliwataja askari waliokamatwa na wanashikiliwa kwenye kituo kikuu cha polisi katika mji mdogo wa Himo kuwa ni F.1734 Koplo Edward (dereva) wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) mkoani Arusha na G.2434 Konstebo George wa kituo cha polisi Ngarenanyuki Wilaya ya Arumeru.

Alibainisha kuwa kukamatwa kwa askari hao kunatokana na operesheni ya kukabiliana na dawa za kulevya inayofanywa na polisi katika mikoa ya Arusha na Kilimanjaro.

Alisema operesheni hiyo imefanyika kikamilifu katika Mkoa wa Arusha uliokuwa ukitumika kupitishia bidhaa hiyo, na sasa wahusika wameamua kuutumia Mkoa wa Kilimanjaro.

Baada ya kuwahoji askari wale, walidai kuwa walikodishwa na mfanyabiashara huyo kuipeleka bangi hiyo wilayani Rombo tayari kwa kusafirishwa kwenda nchini Kenya ambako inaaminika kuna soko kubwa, alisema.
Kamanda Boaz alisema hivi sasa polisi wa Kilimanjaro kwa kushirikiana na wenzao wa Arusha wanafanya uchunguzi kubaini mtandao wa askari hao unaojihusisha na vitendo haramu.

Aliongeza kuwa hatua inayofuata kwa askari hao ni kufunguliwa mashtaka ya kijeshi na iwapo watakutwa na hatia watafukuzwa kazi kisha watafikishwa katika mahakama za kiraia.

Kamanda Boaz alibainisha kuwa kwa kawaida askari wanapotoka mkoa mmoja kwenda mwingine hupatiwa kibali maalumu cha kusafiria (Movement Order).
Alisema kibali hicho husaini kila mkoa ambao askari husika hupita, lakini waliokamatwa na bangi hawakuwa nacho.

Kamanda Boaz alibanisha kuwa kwa hali ilivyo askari hao waliondoka na gari la mkuu wa FFU bila kumpa taarifa wala kupata kibali chake.

Tanzania Daima limedokezwa kuwa askari hao wamekuwa wakisafirisha bangi hiyo mara kwa mara kupitia mji huo wa Himo bila kukamatwa kutokana na gari lao kuwa na namba za kijeshi, hivyo kuwa vigumu kwa askari wenzao kuwatilia shaka.

Taarifa zaidi zimedai kuwa kukamatwa kwa askari hao kulitokana na gari lao kupata hitilafu katika eneo hilo la Kilemapofu, na ndipo askari wa doria walipofika kwa lengo la kutoa msaada kwa wenzao, lakini ghafla walisikia harufu ya bangi.

Mtoa taarifa aliyezungumza kwa sharti la kutotaka jina lake litajwe, alisema baada ya askari hao kusikia harufu ya bangi waliwaarifu viongozi wao waliowaamrisha walifanyie upekuzi gari hilo sambamba na kuwaweka chini ya ulinzi askari wote waliokuwamo.

Chanzo hicho kiliongeza kuwa katika upekuzi huo walibaini uwepo wa magunia 18 ya bangi yaliyolengwa kupelekwa nchini Kenya.
Kilibainisha kuwa baada askari hao kukamatwa, mmoja wao alisikika akiongea na mtu aliyemuita bosi kumuarifu kukamatwa kwao.

Chanzo hicho kiliongeza kuwa bosi aliyearifiwa tukio hilo alihoji imekuwaje wakakamatwa kizembe namna hiyo.
Kilidokeza kuwa bosi huyo alimhoji aliyempigia simu kuwa wamebaki na shilingi ngapi ili wawape rushwa polisi waliowakamata.
Bosi aliambiwa kuna laki tano, naye akawaambia wawape fedha hizo zote, lakini kwa bahati mbaya hawakufanikiwa, kilisema chanzo chetu.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas, hakukiri wala kukanusha kuwapo kwa taarifa za kukamatwa kwa askari wake.

Tanzania Daima lilitaka kujua Jeshi la Polisi mkoani Arusha limechukua hatua gani dhidi ya askari hao ambapo kamanda Sabas alisema hayupo katika nafasi nzuri ya kulizungumzia jambo hilo kwa kuwa yupo hospitalini.
 
Policemen expelled over loss of `exhibit money`arraigned

By Karama Kenyunko

14th March 2013

Policemen who were expelled by the police force on Tuesday this week following the disappearance of 150m/- exhibit money while in their hands, yesterday appeared before the Kisutu Resident Magistrate’s Court in Dar es Salaam charged with theft of the cash.

The prosecution led by state attorney Bernard Kongola named the accused as D 8845 Detective Staff Sergeant Dancan Mwasabila (43), E 9288 Detective Cpl Geofrey (39), E 5525 Detective Cpl Rajabu Nkurukwa (46), E 2924 Detective Cpl Kawanani Hamphrey (38), and E 5548 Detective Cpl Kelvin Mohamed (44).

It was alleged by the prosecution before Resident Magistrate Emilius Mchauru that on December 18, last year, at Kariakoo in Ilala District, Dar es Salaam the accused stole 150m/-, the property of Mire Artan Ismail.
State Attorney Kongola informed the court that investigation into the case is still in progress and that they do not have any objection regarding granting the accused bail, but they requested it to consider Section 48 of Criminal Procedure Act (CPA) when issuing bail to the accused.

Explaining bail conditions to the accused, Magistrate Mchauru said the accused will have to sign a bond of 5m/- each and bring two sureties from a recognized institution, who will also have to sign a bond of 5m/- each.
He also ordered the accused to deposit 15m/- in cash or to place immovable property worth not less than 15m/-.

The accused pleaded not guilty to the charge.
In the circumstances, accused Mohamed was remanded in custody after failing to meet bail conditions, while the rest were bailed out.
The magistrate adjourned the case until March 27, this year when it will come up for mention.

Earlier this week in a police briefing, Dar es Salaam Special Zone Police Commander Suleiman Kova said the officers were expelled after they were allegedly involved in ‘misplacing evidence’ which was stolen money that later on went missing for good.

According to Commander Kova, the officers were prosecuted in the military court whereby their cases were concluded.
He explained that expelling them from the force was one of the court’s ruling and that they will be charged in accordance with the set of laws which demand that before being charged in a civil prosecution, they should first be convicted in the military court.

The five are suspected to have stolen 150m/- that was robbed from Artan Company by bandits in Kariakoo in December last year.
The arrest of the officers was made after an investigation conducted by a team of five experts led by the Chief Inspector of Crimes in Dar es Salaam Special Zone, Ahmed Msangi.

SOURCE: THE GUARDIAN

Msaada, hii ni lugha gani?
 
Kupandikiziw watu kesi, polisi
mauaji ya raia ,polisi
Kutesa raia polisi.
Magendo polisi,
Rushwa polisi
kila maobu ni polisi, kuna haja ya kuwa na polisi kweli???
 
Leo asubuhi inasemekana wamefika kwenye tukio la wizi wa fedha mitaa ya karibu na kituo cha faya dsm na wakakamata kiasi cha fedha lakini ni kama wakaonekana wanagana tena zile fedha,walioshudia kwa karibu wanawasiwasi kama mama muhanga wa wizi huo atapata fedha zake. polisi siwaamini na nawachukia,vijana wanazidi kuharibika na unga wao wanapita wanadakishwa wanaendelea kunywa viroba kwenye defenda,bure kabisa,hii serikali sijui inatupeleka wapi?!
 
Kaka washa jeshi la polisi ni noma, kwanza wanaongoza kwa kubambikia watu kesi, alafu wao ndio majambazi mchana polisi usiku majambazi asilimia kubwa ya majambazi wanashirikiana na polisi ambao sio waadilifu.

Tumeona mapolisi wamekamata majambazi na milioni 150 mwisho wa siku wakaishia kugawana hizo hela
Tumeona vizibi vya dawa za kulevya vikipotea mikononi mwa polisi
Tumeona polisi walimbambikizia madawa ya kulevya mtoto waDr mengi

Kusuhu vigezo mimi pia nashaangaa kova anakengezea ambalo linataka kuwa kama chongo vile lakini ukiuliza utaambaiwa aliipata kazini akiwa kwenye operesheni za kamata kamata
 
Back
Top Bottom